Ndoto za Chato kuwa mkoa zayeyuka baada ya mikoa jirani kugoma kuachia maeneo yao

Ndoto za Chato kuwa mkoa zayeyuka baada ya mikoa jirani kugoma kuachia maeneo yao

Habari ndugu Wana jukwaa.

Ile ndoto ya Mwendazake kuifanya Chato kuwa Mkoa inaonekana kugonga mwamba Kama sio kuota mbawa kabisa kufuatia Mikoa Jirani Kugoma.

Taarifa kutoka huko Kigoma,Mwanza na Kagera Ni kwamba Wananchi wamekataa maeneo Yao kuwa sehemu ya Mkoa mpya wa Chato hivyo kuzika rasmi wazo la Mkoa wa Chato/Burigi Chato [emoji23][emoji23].

Mie Ni mjumbe tuu ,someni wenyewe hapa [emoji116]

Nachokiona ni chuki moyon mwako. Kuna Haja gani ya kuitaja burigi [emoji2369]
 
B

Hivi wewe bado hujaona tatizo la Magufuli kwenye hilo la kutaka kuundwa mkoa wa Chato?

Wadau hapa JF wanasema Chato haina sifa zozote za kuwa mkoa, Magufuli alipanga kuifanya Chato kuwa mkoa kwa sababu Chato ni nyumbani kwake. Na huo ndio upumbavu wa Magufuli unaopingwa.
Hapo kuna upumbavu hupi, Magufuli kufanya kwao alikotokea kuwa Mkoa,Mbona hata Wachaga walimwomba Samia Moshi uwe Mkoa,hapo sikusikia makelele kama haya kisa Wachaga?Sioni tatizo chato kuwa Mkoa labda kwasababu alikuwa anatokea Magufuli.
 
Hapo kuna upumbavu hupi, Magufuli kufanya kwao alikotokea kuwa Mkoa,Mbona hata Wachaga walimwomba Samia Moshi uwe Mkoa,hapo sikusikia makelele kama haya kisa Wachaga?Sioni tatizo chato kuwa Mkoa labda kwasababu alikuwa anatokea Magufuli.

..tatizo ni kwamba wanaodai Chato kuwa mkoa wanataka kumtukuza na kumuenzi Magufuli tu, sio kwasababu wananchi wanahitaji huo mkoa.
 
Kuna umuhimu wake mkuu,binafsi nimeona impact ya kuugawa mkoa wa Mbeya na kuupata Songwe......kuna baadhi ya wilaya zilisahaulika kama Ileje,now angalau zimefikiwa na maendeleo
Kuna mdau kasema hapo juu,yote hiyo ni siasa tena naongezea za umbumbumbu.

Neno ugatuzi wa madaraka unalifahamu katika angle zipi.

Anyway, ni kwamba viongozi kwenye maeneo husika wawe na nguvu kamili na kuweza kupanga mipango yao hukohuko walipo sio kusubiri kila kitu kutoka Dodoma.

Unachokiona kilichofanyika hapo Songwe,kuna watu wa eneo jingine wameminywa katika mahitaji yao ili kuhudumia mkoa mpya ili nao ustawi.
Hivyo unaminya huku,unapeleka kule.
 
Hawa watu wanachuki binafsi na Magufuli akuna kingine unakuta Mtu anatoka Biaramulo anafuata uduma Bukoba njini ambapo ni mwendo wa masaa zaidi ya 7 hawezi kwenda na kurudi siku hiyo hiyo,sasa Biaramulo ikimegwa kudogo ikapelekwa Chato ambapo ni karibu kuna ubaya gani?

Biharamulo ni Halmashauri ya Wilaya. Bukoba Mjini pia ni Halmashauri.

Unafata huduma gani Bukoba Mjini ambayo haipo Biharamulo?

Na kama kipo cha zaidi Bukoba Mjini ni kwa nini msidai Halmashauri ya Biharamulo iletewe hizo huduma kama wengine wa Halmashauri ya Bukoba Mjini ??

Na ni kivipi Chato ingekuwa Mkoa ingeleta hizo huduma Biharamulo ?
 
kutenga mikoa ni kulaisha uduma za jamii baada ya kutumia Siku mbili unafatilia uduma,utumie masaa tu,nimekutolea mfano kutoka Biaramulo mpaka Bukoba ambapo ni makao makuu ya mkoa ni zaidi ya masaa 8 hapo haujatokea vijiji vya mpakani,lakini kuja Chato inaweza kuwa masaa 3,sasa mtu kama huyu asili inamsadia nini?
Hivi ni huduma gani katika zama hizi za mawasiliano ambazo zitatakiwa kuwepo makao makuu ya mkoa na yasiwepo wilayani,katani hadi ngazj ya chini kabisa ya mtaa na vijiji.

Ukiona ipo,basi ndo maana tupo kama hivi tulivyosasa,yaani TUMEPAUKA sana

N.B
Najua unachozungumza na huduma unayomaanisha.
Hapo ndipo niliposema ugatuzi wa madaraka haupo mf kuna hasara gani mtu kupata leseni ya udereva wilayani hadi imlazimu kwenda mkoani?
 
Hakuna lelote jipya Kuhusu Mkoa wa Chato zaidi ya Uhasama tu. Zaidi ya kujenga nadhari, potofu, zaidi ya kujenga kuwa karibu yote aliyefanya J.P.M ni ya kipuuzi.
Yaani tatizo ni kwamba wanaodai Chato haikutakiwa kuwa mkoa wanataka Kumsimanga na kukatisha tamaa, kumbeza Hayati Raisi Magufuli tu, kwasababu Serikali inaboresha Nchi.

Kuna mikoa mingapi zilimegwa kabla ya Hayati J.P.M?
 
SUKUMA gang wana uhasama na mama, lakini wacha Mungu na wasiotaka perepeche wanasimama na mama
Nawajua mafashisti na wengine waliokuwa na mawazo mgando, huwa wanafikiri Mungu kawabarikia, Wanapenda kweli kudai na wenzao wamebarikiwa pale Ujambazi wao Ukihalalishwa.

Sioni ajabu na Mhemeko.
 
Habari ndugu Wana jukwaa.

Ile ndoto ya Mwendazake kuifanya Chato kuwa Mkoa inaonekana kugonga mwamba Kama sio kuota mbawa kabisa kufuatia Mikoa Jirani Kugoma.

Taarifa kutoka huko Kigoma,Mwanza na Kagera Ni kwamba Wananchi wamekataa maeneo Yao kuwa sehemu ya Mkoa mpya wa Chato hivyo kuzika rasmi wazo la Mkoa wa Chato/Burigi Chato 😂😂.

Mie Ni mjumbe tuu ,someni wenyewe hapa 👇


Ndiyo wakome.Asingekufa yule Bwana Chato ingelikuja kuwa Nchi huru inayojitegemea Kama Ukrain au Slovenia.
 
Hapo kuna upumbavu hupi, Magufuli kufanya kwao alikotokea kuwa Mkoa,Mbona hata Wachaga walimwomba Samia Moshi uwe Mkoa,hapo sikusikia makelele kama haya kisa Wachaga?Sioni tatizo chato kuwa Mkoa labda kwasababu alikuwa anatokea Magufuli.
Loh!Jivi wewe upo Ulimwemgu gani? Hivi ni lini wachaga waliomba Moshi uwe mkoa.

Yawezekana huelewi hata maana ya mkoa! Moshi sasa hivi ni nini?
 
Back
Top Bottom