shabanmbarak
JF-Expert Member
- Aug 17, 2022
- 1,178
- 1,150
Nachokiona ni chuki moyon mwako. Kuna Haja gani ya kuitaja burigi [emoji2369]Habari ndugu Wana jukwaa.
Ile ndoto ya Mwendazake kuifanya Chato kuwa Mkoa inaonekana kugonga mwamba Kama sio kuota mbawa kabisa kufuatia Mikoa Jirani Kugoma.
Taarifa kutoka huko Kigoma,Mwanza na Kagera Ni kwamba Wananchi wamekataa maeneo Yao kuwa sehemu ya Mkoa mpya wa Chato hivyo kuzika rasmi wazo la Mkoa wa Chato/Burigi Chato [emoji23][emoji23].
Mie Ni mjumbe tuu ,someni wenyewe hapa [emoji116]