steveachi
JF-Expert Member
- Nov 7, 2011
- 10,643
- 12,247
Si ndio hapo,huo mkoa wa Moro ni mrefu ka mkojo,halafu eti hawauguswi,wanaona sawa tuMimi binafsi siyo mwenyeji kati ya mikoa ambayo ingemegwa sikurahi kabisa mpango huo wakulazimisha mkoa mpya wakati Geita bado mkoa mpya unaacha kugawa Morogoro uliyoanza Tanga kwa urefu mpaka Njombe.
Raia eti atoke huko jirani na Njombe afuate huduma ofisi ya mkoa wa Morogoro kilomita karibu 590 halafu hawaoni kuwa hilo ni tatizo