Si ndio hapo,huo mkoa wa Moro ni mrefu ka mkojo,halafu eti hawauguswi,wanaona sawa tuMimi binafsi siyo mwenyeji kati ya mikoa ambayo ingemegwa sikurahi kabisa mpango huo wakulazimisha mkoa mpya wakati Geita bado mkoa mpya unaacha kugawa Morogoro uliyoanza Tanga kwa urefu mpaka Njombe.
Chato ina mapato gani ya kuifanya iwe Mkoa?Morogoro na Tabora kuna mapato gani kuzidi Geita ?
Saizi unaugulia tuu huko 🤣🤣Jibu swali acha kurukaruka
Lkn bado kulikuwa na watu wanalifanya kama ni jambo la lazima hasa kipindi Magufuli yupo madarakani.Lilikuwa kosa kubwa sana
fafanua acha kuropokaLilikuwa kosa kubwa sana
Tuliza akili wacha kurusha ngumi hewanifafanua acha kuropoka
Sasa hivi nchi imetengemaaaUlikuwa ni upunguwani wa mtu mmoja tu,ubinafsi uliokithiri
Njombe na Katavi Wana Uchumi mkubwa kuliko Mkoa pendekezwa na Sababu za msingi za kugawa zipo ikiwemo ukubwa wa Mikoa husika.Wakati mnaigawa Rukwa Magufuri alikuwa Rais ? Au wakati mnaifanya Njombe yenye watu laki nane kuwa mkoa ni Magifuri ndiye aliyeidhinisha ?
Morogoro na Tabora zitagawanywa Wala msiwazeSi ndio hapo,huo mkoa wa Moro ni mrefu ka mkojo,halafu eti hawauguswi,wanaona sawa tu
Raia eti atoke huko jirani na Njombe afuate huduma ofisi ya mkoa wa Morogoro kilomita karibu 590 halafu hawaoni kuwa hilo ni tatizo
Sasa hivi labda utabakia mkoa kwenye vichwa vyao tuMawazo mfu(mabovu) ya Magufoool aliwakilisha ushamba wa mangosha.
Tuombe Mungu iwe hivyo kwa kweliMorogoro na Tabora zitagawanywa Wala msiwaze
Acha uongo wewe kenge,hata ramani tuu ya Mikoa unayoitaja inasomeka vizuri na ilistahili Tena kwa sababu za kimsingi kabisa.Hakuna mkoa nisiofika nchi hii wewe ndio unakurupuka. Unaujua umbali wa kutoka Ngara hadi makao makuu ya mkoa Bukoba ? Unajua umbali wa kutoka Kakonko hadi Makao makuu ya mkoa Kigoma ? Wewe ndio hujui kitu. Ukweli ni kwamba mikoa ya Njombe na Katavi ilianzishwa kwa sababu ya ushawishi ya viongozi wazawa waliokuwa huko kama spika wa bunge na waziri mkuu lakini haikustahili kabisa. Knachokusumbua ni chuki wala hujui chochote.
Point kubwa na Geographical difficulties na sio umbali pekee..Morogoro na Tabora kuna mapato gani kuzidi Geita ?