Flano
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,446
- 14,880
Mkuu nimekuwekea na ushahidi wa video kabisa za marabbi wa kiyahudi wakizungumzia namna walivyoishi kwa amani na upendo kwenye nchi za kiarabu wakati kwenye nchi za Ulaya (Kikristo) hawa chosen people walikua wanafukuzwa na kufanyiwa mauji ya kimbari.Tuache unafiki wa kihistoria sababu ya udini kuna masalia mangapi ya wayahudi waliokimbia ukimbizini nchi za kiarabu baada ya kuvamiwa na kutolewa pale na warumi na makhalifa wa kiarabu na waturuki?????
Ina maana unadhani mauaji ya halaiki ya wayahudi yalianzia kwa wahispania na wajerumani na warumi pekee????
Unajua makhalifa wa kiarabu walichokua wanawafanyia wayahudi waliokataa kua waislamu??????
The historical journey of the Jewish people over the past thousand years A series of short histories relating to community relations with Jews over the past thousand years.
1080 - Expelled from France.
1098 - Expelled from the Czech Republic.
1113 - Expelled from Kievan Rus (Vladimir Monomakh).
1113- Massacre of Jews in Kiev.
1147 - Expelled from France.
1171 - Expelled from Italy.
1188 - Expelled from England.
1198 - Expelled from England.
1290 - Expelled from England.
1298 - Expelled from Switzerland (100 Jews executed by hanging).
1306 - Expelled from France (3,000 burned alive).
1360 - Expelled from Hungary.
1391 - Expelled from Spain (30,000 executed, 5,000 burned alive).
September 17, 1394 - Expelled from France.
1407 - Expelled from Poland.
1492 - Expelled from Spain (law banning Jews from entering the country forever).
1492 - Expelled from Sicily.
1495 - Expelled from Lithuania and Kiev.
1496 - Expelled from Portugal.
1510 - Expelled from England.
1516 - Expelled from Portugal.
1516- Laws in Sicily allow Jews to live only in ghettos.
1541 - Expelled from Austria.
1555 - Expelled from Portugal.
1555-A law is passed in Rome allowing Jews to live in ghettos only.
1567 - Expelled from Italy.
1570 - Expelled from Germany (Brandenburg).
1580 - Expelled from Novgorod (Ivan the Terrible).
1592 - Expelled from France.
1616 - Expelled from Switzerland.
1629 - Expelled from Spain and
Portugal (Philip IV).
1634 Expelled from Switzerland.
1655 Expelled from Switzerland.
1660 - Expelled from Kyiv.
1701 Completely expelled from Switzerland (Edict of Philip V).
1806 - Napoleon's Ultimatum.
1828 - Expelled from Kyiv.
1933 - Expelled from Germany and genocide.
Kinachokusumbua wewe ni Islamphobia tu.