Ndugai acha kuwaona watanzania ni wajinga. Kama Hayati Magufuli alipotoshwa, wewe kama Spika kwanini haukumshauri?

Nina hakika Ndugai hawezi kujibu swali hili la msingi kabisa.
 
unajiuliza magufuli alikuwa mbovu mbona walimsifia kwa nguvu zote? Mbona walimshauri kwa nguvu zote? Hawakuwa royal kwake hawa waganga njaa.
Sema kiongozi, akisema NDUGAI nashangaa mpaka K VANT inanipalia, Mdugai anashangaa kuwa yeye ni Spika wa Bunge kwa Ubabe wa Magufuli, anasahau kuwa bila magufuli huenda angekuwa ardhini. Short time will tell
 
Aisee poke Sana... Hiyo clip sio ya leo... Aliongeaga siku nyingi magu akiwa hai
 
Hilo gogo lilipewa mzigo, linatetea tumbo lake. Nadhani kichwa chake kimekuwa affected na ugonjwa wake, kiasi kwamba uwezo wake wa kufikiri unatia shaka
 
kwani katiba ya nchi yetu inasemaje kuhusu kumlazimisha spika kujiuzulu?
 
Pasipo maono, taifa huangamia. Hawa watu wanang'ang'ana kutupeleka wasipopajua.
 
Sema kiongozi, akisema NDUGAI nashangaa mpaka K VANT inanipalia, Mdugai anashangaa kuwa yeye ni Spika wa Bunge kwa Ubabe wa Magufuli, anasahau kuwa bila magufuli huenda angekuwa ardhini. Short time will tell
Angekuwa marehem long time.umenikumbusha yaliyompata huyo mpuuzi magufuli akaweka pale nguvu zake akarudi kuwa hai
 
Tatizo marehemu alikuwa hashauriki kabisa, na ukimshauri ndio unakuwa umeharibu kabisa. Hayo ni maneno yake mwenyewe aliwahi kusema.
 
Kwenye clip hiyo hiyo uliyoiona Ndugai anasema kuwa Mkubwa kama yule Hayati akishakataa inabidi unyamaze. Badala ya Ndugai, mlaumu Hayati ambaye aliwaondolea hata wakuu wa Bunge haki ya kuhoji
 
Kwani mwendazake alikuwa anashaurika
 
Unafiki mbaya sana ni zaidi ya uchawi.
Leo ndugai anasema mwendazake alishauriwa vibaya,na nanii,alichukua unamuzi gani kama spika?
Kweli mchawi wa maendeleo ya Tanzania ni mtanzania.
Yote haya yalipita bungeni akiwemo, wakiwemo, wakakata na viuno kwa vifijo na nderemo, huku wakiwananga waliokuwa kinyume nao na kuwabatiza WASALITI
 
Ndugai anataka kutengeneza deal lake mapema mapema. Huu mradi anataka urudi ili anemeeke yeye binafsi.
Mama Samia awe mwangalifu na hawa ndumila kuwili. Wanaweza kuwa wanatengeneza kashfa ambayo itakuja sumbua mbele ya safari. Siwaamini kabisa sasa hivi. Wanabadilika kama vinyonga
 

Shujaa aliyekuwa anatumia vikundi vya kuteka watu hadi kuwaua na kuwaachia vilema vya maisha? Ni hapa Tanzania tu mlevi wa madaraka anaweza kuitwa shujaa. Alilinajisi bunge likawa linaongea atakacho yeye kwa ajili ya hofu ya kutekwa. Kwa sasa watu wako huru hawana hofu tena ya kutekwa inabidi waongee ukweli. Ni hakika taifa sasa haliko mikononi mwa shetani tena, baada ya Mungu kuamua kufanya mabadiliko bila damu kumwagika.
 
Ndugai aliashatoa ushauri bungeni lakini alijibiwa na kusakamwa kama mwizi na wafuasi ikabidi akae kimya...
 
Unafiki mbaya sana ni zaidi ya uchawi.
Leo ndugai anasema mwendazake alishauriwa vibaya,na nanii,alichukua unamuzi gani kama spika?
Kweli mchawi wa maendeleo ya Tanzania ni mtanzania.

Usichanganye wanaccm na watanzania.
 
Mkuu usisumbuke, umesahau kwamba mihimili mingine ilikuwa chini ya muhimili mmoja...pengine waliminywa na sasa wamepata mahali pa kutoa nyongo!
Mkuu kama waliminywa wakalegeza pumpu zao hawafai kabisa wapo kwa ajiri ya matumbo yao,sio kwa ajiri ya tz,nawaomba wa tz wenzangu tuikatae ccm na mambo yao waneniudhi sana,kila siku walikua na kazi ya kumsifia mwenda zake wakaanza na mchakato atake asitake alazimishwe aongeze mda walikua wana maanisha nini.sisi sio wajinga au nasema uongo ndugu zangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…