Knock life
JF-Expert Member
- Oct 11, 2024
- 2,465
- 7,764
Edit maandishi yakoKweli ndio maana raia wameshetekea kifo chake.
Iko barabara ya lami kuanzia barabara kuu ya Dodoma mpaka Kongwa mjini...Kiufupi Ndugai hajaacha Legacy yoyote .
Miaka 25 Bungeni , miaka saba Kama Speaker wa Bunge Ila hakuna alichoacha kwao Kongwa .
TAIFA halina cha kujivunia .
Naipa pole familia yake.
AiseeKiufupi Ndugai hajaacha Legacy yoyote .
Miaka 25 Bungeni , miaka saba Kama Speaker wa Bunge Ila hakuna alichoacha kwao Kongwa .
TAIFA halina cha kujivunia .
Naipa pole familia yake.
Kwani alikuwaga vti maalumu?Sio kwa aibu ile ya wananchi wake kusherehekea kifo kama kafa shetani aisee!
Ni kazi ya anayechukua kodi ya wananchi kujenga barabara. Sio kazi ya wawakilishi wa wananchi sababu wao hawakusanyi kodi. Kama barabara ni mbovu alaumiwe anayechukua kodi na kununua magari ya kifahari badala ya kuhakikisha wananchi wanapata huduma.Kiufupi Ndugai hajaacha Legacy yoyote .
Miaka 25 Bungeni , miaka saba Kama Speaker wa Bunge Ila hakuna alichoacha kwao Kongwa .
TAIFA halina cha kujivunia .
Naipa pole familia yake.
labda alikuwaga uteuzi wa rais miaka yote mkuuSasa kwenye kura za wajumbe alipita vipi
hata msukumo alishindwa kuweka mkuu? mbona wengine wanapiga kelele mpaka kinafanyika ktu.Ni kazi ya anayechukua kodi ya wananchi kujenga barabara. Sio kazi ya wawakilishi wa wananchi sababu wao hawakusanyi kodi. Kama barabara ni mbovu alaumiwe anayechukua kodi na kununua magari ya kifahari badala ya kuhakikisha wananchi wanapata huduma.
Darasa haliwezi kukosa vitabu na walimu ukamlaumu class monitor. Utakuwa unajiaibisha mwenyewe
Maadui wa hili taifa ambao niNi kazi ya anayechukua kodi ya wananchi kujenga barabara. Sio kazi ya wawakilishi wa wananchi sababu wao hawakusanyi kodi. Kama barabara ni mbovu alaumiwe anayechukua kodi na kununua magari ya kifahari badala ya kuhakikisha wananchi wanapata huduma.
Darasa haliwezi kukosa vitabu na walimu ukamlaumu class monitor. Utakuwa unajiaibisha mwenyewe