Wewe kwanini hujawa hao wengine wanaopiga kelele ?hata msukumo alishindwa kuweka mkuu? mbona wengine wanapiga kelele mpaka kinafanyika ktu.
Wewe kwanini hujawa hao wengine wanaopiga kelele ?hata msukumo alishindwa kuweka mkuu? mbona wengine wanapiga kelele mpaka kinafanyika ktu.
sijaelewa kwa hiyo ulitaka atoe fedha mfukoni mwake kujenga barabara au? kicking the man when he is already down ni moja dalili kuu za psychopathy ...
We kweli kijakazi na utaendelea kuwa kijakazi .sijaelewa kwa hiyo ulitaka atoe fedha mfukoni mwake kujenga barabara au? kicking the man when he is already down ni moja dalili kuu za psychopathy ...
kumbe we kiazi eh??!!Wewe kwanini hujawa hao wengine wanaopiga kelele ?
Mnapenda kuwapimia watu vipimo ambavyo nyinyi wenyewe vinawashinda. Shenzy type.kumbe we kiazi eh??!!
Hawa wanasiasa wajifunze kuridhika, ningekuwa mimi ningeachana kutukanana na watu kwenye siasa nikaenda dubai kula pension yangu, mtu tajiri namna ile unahangaika na mavumbi huko kongwa hadi unahatarisha afyaKiufupi Ndugai hajaacha Legacy yoyote .
Miaka 25 Bungeni , miaka saba Kama Speaker wa Bunge Ila hakuna alichoacha kwao Kongwa .
TAIFA halina cha kujivunia .
Naipa pole familia yake.
we kiazi eh??Mnapenda kuwapimia watu vipimo ambavyo nyinyi wenyewe vinawashinda. Shenzy type.
Mimi kisuwe kiazi eh??
kisu unaliwa?Mimi kisu
Akipewa nafasi ya uongozi ataacha legacyWewe una Legacy gani ambayo utaacha tusipende kushambulia watu
Kiufupi Ndugai hajaacha Legacy yoyote .
Miaka 25 Bungeni , miaka saba Kama Speaker wa Bunge Ila hakuna alichoacha kwao Kongwa .
TAIFA halina cha kujivunia .
Naipa pole familia yake.
Nakumenya wewe kiazikisu unaliwa?
Legacy ya kushambulia watu 🤣🤣🤣🤣Wewe una Legacy gani ambayo utaacha tusipende kushambulia watu
kwani wabunge wa chadema walifanya nini kwenye majimbo yaoKiufupi Ndugai hajaacha Legacy yoyote .
Miaka 25 Bungeni , miaka saba Kama Speaker wa Bunge Ila hakuna alichoacha kwao Kongwa .
TAIFA halina cha kujivunia .
Naipa pole familia yake.
😀😀😀Legacy ya kushambulia watu 🤣🤣🤣🤣