Ndugai alikaa miaka 25 Bungeni ila barabara za Jimboni kwake zilimshinda

Ndugai alikaa miaka 25 Bungeni ila barabara za Jimboni kwake zilimshinda

Tanzania Ina watu wajinga tu , mtu anakaa bungeni miak 10 hajawahi kuongelea shida za wananchi jimboni kwake
 
Ni kazi ya anayechukua kodi ya wananchi kujenga barabara. Sio kazi ya wawakilishi wa wananchi sababu wao hawakusanyi kodi. Kama barabara ni mbovu alaumiwe anayechukua kodi na kununua magari ya kifahari badala ya kuhakikisha wananchi wanapata huduma.
Darasa haliwezi kukosa vitabu na walimu ukamlaumu class monitor. Utakuwa unajiaibisha mwenyewe
Yeye Ndugai kama mbunge alichukua hatua Gani?
 
Yeye Ndugai kama mbunge alichukua hatua Gani?
Atakuwa anawakumbusha lakini anayechukua kodi kwetu anatakiwa ahakikishe huduma zinawafikia wananchi na siyo kununua Prado. By the way mbona barabara zikijengwa mnamsifia mama na zisipojengwa mnamlaumu mbunge? Anyway, mkiambiwa muandamane maandamano ya amani kudai huduma nzuri huwa hamjitokezi, hizo harabara zitakujaje
 
NAMKUMBUKA ALIMCHAPAGA DIWANI FIMBOI AISEE
 
Kwa waziri wa fedha vp nako nasikia vijiji vitingoji lami,mabomba ya maji,zahanati kila kona

Ova
 
Back
Top Bottom