Yes. Wanaweza kumvua uanachama na ubunge lakini sio uspika. Kama kawakera sana wamwondoe kwa mtindo wa "Tundu Lissu" ila wasiwe wazembe tena kwenye kulenga shabahaKudhaminiwa na chama sio hoja, hoja ni matakwa ya mtu kuwa spika!! Kudhaminiwa na chama ndo hiyo backup ninayoisema lakini unaweza kugombea uspika hata kama huna chama!!
Mbona huwa anaapishia wabunge popote? Tena akiamua hata kama huna chama anakuapisha unakuwa mbungeAnapigia wapi?[emoji1787][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787]
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
84.(7) Spika atakoma kuwa spika na ataacha kiti cha spika litokeapo lolote kati ya mambo yafuatayo:-Hata Katiba hujui, halafu unabishana na sisi humu.
Nani atamruhusu , hivi wewe unaijua nguvu ya Rais.. Huyo speaker wako si anapigwa House Arrest anachaguliwa mwingine maisha yanaendelea.. watakwambia kwa ajili ya maslahi ya Taifa. Utasema nini?Mbona huwa anaapishia wabunge popote? Tena akiamua hata kama huna chama anakuapisha unakuwa mbunge
Naaam, halafu anatulizwa safe house miaka miwili, nchi inasonga, hawezi kutishia usalama wa watu milioni 60 kwa tamaa zake na kukosa busara84.(7) Spika atakoma kuwa spika na ataacha kiti cha spika litokeapo lolote kati ya mambo yafuatayo:-
a) iwapo mtu huyo alichaguliwa kutoka miongoni mwa wabunge, basi ikiwa atakoma kuwa mbunge kwasababu yoyote ambayo haihusiki na kuvunjwa bunge.
Ndugai akiondolewa uanachama wa ccm anakosa sifa ya kuwa mbunge and therefore hawi sifa ya kuwa spika kwasabau amechaguliwa miongoni mwa wabunge...
Umeelewa sasa nilichokuwa namaanisha, maana watu wengine mpaka muandikiwe kwa kirefu.
Mimi nazungumzia Ndugai hapo na simaanishi sifa za mtu kuchaguliwa kuwa spika..Kakudanganya nani, spika siyo lazima awe mbunge......
Naaam, Naam, baelezee, baelezee papaaNani atamruhusu , hivi wewe unaijua nguvu ya Rais.. Huyo speaker wako si anapigwa House Arrest anachaguliwa mwingine maisha yanaendelea.. watakwambia kwa ajili ya maslahi ya Taifa. Utasema nini?
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Umenikumbusha Delila enzi za JPMNani atamruhusu , hivi wewe unaijua nguvu ya Rais.. Huyo speaker wako si anapigwa House Arrest anachaguliwa mwingine maisha yanaendelea.. watakwambia kwa ajili ya maslahi ya Taifa. Utasema nini?
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Wewe ndio umenena vyema.Ule ushauri wake ndio unawafanya muanze kuona anyang'anywe kadi?
Hivi hii nchi akili tumezipeleka wapi?
Mbona hatuna uwezo wa tafakuri?
Kwanini tusitafakari ushauri wake?
Kwanini kila kauli itolewayo ionekane ni hujuma?
Kwani hata huyo Rais kinachompa sio kadi ya CCM?
Au Katibu Mkuu wa CCM, kinachompa cheo sio kadi?
Yaani hatutaki kupewa ushauri wa tahadhari juu ya mikopo?
Kwani nchi ngapi maskini zimeshazidiwa na mikopo?
Kwa mara ya kwanza nimegundua kwann mtu anasomea sheriaSiyo kweli hakuna takwa lazima uwe mwanachama
View attachment 2065562
Yule mgonjwa bora wammwage tu mfyuuu zakeKuna watu wanamdanganya eti anaweza kutikisa Urais wa Samia .. wasindanganye, siku anaanza ndio siku anafutiwa uanachama, ubunge wake unakoma, na uspika unakoma
Akili zako umetoka milembe.Ule ushauri wake ndio unawafanya muanze kuona anyang'anywe kadi?
Hivi hii nchi akili tumezipeleka wapi?
Mbona hatuna uwezo wa tafakuri?
Kwanini tusitafakari ushauri wake?
Kwanini kila kauli itolewayo ionekane ni hujuma?
Kwani hata huyo Rais kinachompa sio kadi ya CCM?
Au Katibu Mkuu wa CCM, kinachompa cheo sio kadi?
Yaani hatutaki kupewa ushauri wa tahadhari juu ya mikopo?
Kwani nchi ngapi maskini zimeshazidiwa na mikopo?
Tatizo sio ushauri tatizo ni namna alivyouwasilisha kwa dharau na kejeli kwa Rais Samia na taifa kwa ujumla,shida ndio ilipoanzia hapo.Ule ushauri wake ndio unawafanya muanze kuona anyang'anywe kadi?
Hivi hii nchi akili tumezipeleka wapi?
Mbona hatuna uwezo wa tafakuri?
Kwanini tusitafakari ushauri wake?
Kwanini kila kauli itolewayo ionekane ni hujuma?
Kwani hata huyo Rais kinachompa sio kadi ya CCM?
Au Katibu Mkuu wa CCM, kinachompa cheo sio kadi?
Yaani hatutaki kupewa ushauri wa tahadhari juu ya mikopo?
Kwani nchi ngapi maskini zimeshazidiwa na mikopo?
Bora jpm kuliko mgonjwa wa ukoma na mdudu.Viongozi wajifunze kuridhika na nyadhifa zao sababu kinachoonekana hapo ni kujipendekeza kwa wananchi kwamba anafaa kuwa Raisi wakati watu wanaangalia matendo yako mfano mzuri ni JPM watu waliridhishwa na matendo yake.Kwenye upande wa kinga ya bunge Raisi any time anaweza kuvunja bunge akiona mwenendo wake hauridhishi,Raisi ndio mwenye kiti wa chama wa huyo mpingaji akimvua uanachama hatakiwi kuwemo hapo bungeni sababu ubunge nao unakuwa umeondoka.
Dharau gani?Tatizo sio ushauri tatizo ni namna alivyouwasilisha kwa dharau na kejeli kwa Rais Samia na taifa kwa ujumla,shida ndio ilipoanzia hapo.
Kwa mujibu wa katiba, mtu yeyote anaweza kugombea uspika na kuchaguliwa. Ni kweli anaweza kuvuliwa uanachama na kupoteza ubunge lakini hawezi kupoteza uspika. Vile vile hata ikilazimishwa apoteze uspika anaweza kugombea tena uspika kama raia huru au kudhaminiwa na chama kingine na wabunge kama wanampenda watamchagua tena kuwa spika.Kuna watu wanamdanganya eti anaweza kutikisa Urais wa Samia. Wasidanganye, siku anaanza ndio siku anafutiwa uanachama, ubunge wake unakoma, na uspika unakoma
Too academicKwa mujibu wa katiba, mtu yeyote anaweza kugombea uspika na kuchaguliwa. Ni kweli anaweza kuvuliwa uanachama na kupoteza ubunge lakini hawezi kupoteza uspika. Vile vile hata ikilazimishwa apoteze uspika anaweza kugombea tena uspika kama raia huru au kudhaminiwa na chama kingine na wabunge kama wanampenda watamchagua tena kuwa spika.