Ndugai awaponda wana Mwanza kwa kuezeka nyumba zao na Mabati ya kizamani, Masufuria



Wewe unatetea nini? Last December nimepita kutoka Arusha mpaka Singida. Kufika Singida, nyumba ziko na mabati ya blue, kijani, kijivu, damu ya mzee nk.
Sasa uchumi wa Singida unauzidi wa Mwanza?
Wasukuma mjiongeze, Mwanza ina rasilimali na vitu vingi kuliko Singida, lkn watu wake wamejitahidi sana. Nyumba zao pale mjini ni shidaa. Utaipenda yani. Hivyo Mwanza hawana sababu ya kujitetea.
😁😀😁
 
Kwao mbona bado wanaezeka kwa udongo?
 
Watani hao

Sent from my TECNO B1p using JamiiForums mobile app
 
Sasa si nafuu hao wa mwanza wanaezeka nyumba zao kwa mabati ya masufuria...kule kongwa sahizi na mvua hizi nyumba nyingi zinavuja ni balaa zimeezekwa kwa nyasi!!
 
Kweli ndugai ana makosa yake, ila kwa hili wewe mleta mada nadhani ujamuelewa Ngugai, Kwanza alianza kwa kusema "naomba niwambie watani zangu wa Mwanza" kwaiyo iyo kauli aliitoa Kama ya utani dhidi ya watani zake"
 
Watani zake hao unataka kuleta ujinga wa UFIPA humu.
Haiwezekani wakazi wote wa Mwanza wakawa watani wake. Yeye ni kiongozi wa taifa lenye makabila mengi na ile ilikuwa sherehe ya kitaifa kwa hiyo ujumbe uwe na mantiki kitaifa.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Haiwezekani wakazi wote wa Mwanza wakawa watani wake. Yeye ni kiongozi wa taifa lenye makabila mengi na ile ilikuwa sherehe ya kitaifa kwa hiyo ujumbe uwe na mantiki kitaifa.
Usicomplicate life utapata stress bure zisizo na kichwa wala miguu yupo eneo la watani zake hapo eeh tumpinge Ndugai kwa kukosea ila sio kwa mambo ya utani ambao upo toka enzi na enzi...
 
Kitu usichokijua ni kuwa . Wasukuma ni watani zake
 
Hekima ni kukaa kimya, sio kuongea pumba.

Mungu Fundi sana ametuokoa!
Fika jimboni kwake kongwa uone wananchi wanalala kwenye nyumna za tembe na wanakunywa matope ya maji.
 
Kumbe masufuria ndo yale mapaa yaliyochomoza kama mapyramid kule upareni kwa watani zangu wapare?[emoji23][emoji23]
 
Ndugai huwa anawatania wasukuma, hata wabunge wasukuma bungeni huwatupia sana vijemba, tatizo sio watu wote wanaopenda utani.
 
Uzi bila picha haunogagi mkuu weka izo picha za hizo nyumba tuoe kisha ndo tutoe maoni
 
Huyu limbukeni ofisi ya Spika imemzidi kimo tangu mwanzo.

Kusema maneno ya ovyo ni dalili ya kutojua maneno yanayofaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…