komredy zephania
Member
- Apr 18, 2021
- 52
- 92
hahaaa[emoji38][emoji38][emoji38]Kumbe masufuria ndo yale mapaa yaliyochomoza kama mapyramid kule upareni kwa watani zangu wapare?[emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahaaa[emoji38][emoji38][emoji38]Kumbe masufuria ndo yale mapaa yaliyochomoza kama mapyramid kule upareni kwa watani zangu wapare?[emoji23][emoji23]
Hao ni watani Zake , kwa hiyo usiumize kichwa sana mkuuAkitoa salamu zake mbele ya raisi samia kwenye sherehe za wafanyakazi, spika wa bunge job ndugai amesema mwanza ingependeza kama wangeacha kuezeka nyumba zao kwa masufuria, akisema
"mwanza kunapendeza lakinni kwanini mnafunika nyumba zenu na masufuria? ,Ingependeza kama mngeezeka nyumba zenu na mabati ya kijani".
Hii ni dharau kubwa sana kwa mtu mkubwa kama spika kutoa dharau kwa watu ambao kipato chao ni kidogo na ndiyo maana nyumba zao wameezeka na mabati ya sufuria. Kweli viingozi wetu wakipata uwezo mkubwa wa fedha wanasahau kabisa kwamba kuna wengine hawana uwezo kama wa kwao .
mkuu kwani walivyo paua kwama sufuria wanavujiwa pindi mvua zikinyesha[emoji848]
Baada ya chadema kuishiwa hoja,kuzalisha mifarakano imekuwa ndio sehemu ya Maisha yenu!Haiwezekani wakazi wote wa Mwanza wakawa watani wake. Yeye ni kiongozi wa taifa lenye makabila mengi na ile ilikuwa sherehe ya kitaifa kwa hiyo ujumbe uwe na mantiki kitaifa.
Akitoa salamu zake mbele ya raisi Samia kwenye sherehe za wafanyakazi, spika wa bunge Job Ndugai amesema Mwanza ingependeza kama wangeacha kuezeka nyumba zao kwa masufuria, akisema
"Mwanza kunapendeza lakini kwanini mnafunika nyumba zenu na masufuria? ,Ingependeza kama mngeezeka nyumba zenu na mabati ya kijani".
Hii ni dharau kubwa sana kwa mtu mkubwa kama spika kutoa dharau kwa watu ambao kipato chao ni kidogo na ndiyo maana nyumba zao wameezeka na mabati ya sufuria.
Kweli viingozi wetu wakipata uwezo mkubwa wa fedha wanasahau kabisa kwamba kuna wengine hawana uwezo kama wa kwao .
Simpendi Ndugai ila katika hili namtetea. Huo ni utani wa wagogo na wasukuma, ndomana hakuwa serious kipindi anaongea.. kwahyo hizo ni tamaduni za kawaida
Mimi nakuja kukulinda wewe ili mimba aliyokuachia isiharibike.Nani analinda kaburi la meko leo saahizi upo huku
Ucha hizo alikuwa anawatania watani zake.alisema ngoja nichokoze watani zanguAkitoa salamu zake mbele ya raisi Samia kwenye sherehe za wafanyakazi, spika wa bunge Job Ndugai amesema Mwanza ingependeza kama wangeacha kuezeka nyumba zao kwa masufuria, akisema
"Mwanza kunapendeza lakini kwanini mnafunika nyumba zenu na masufuria? ,Ingependeza kama mngeezeka nyumba zenu na mabati ya kijani".
Hii ni dharau kubwa sana kwa mtu mkubwa kama spika kutoa dharau kwa watu ambao kipato chao ni kidogo na ndiyo maana nyumba zao wameezeka na mabati ya sufuria.
Kweli viingozi wetu wakipata uwezo mkubwa wa fedha wanasahau kabisa kwamba kuna wengine hawana uwezo kama wa kwao .
Yaan wewe unaenda milembe then unashangaa kuona vichaa wakati ndo base yao,huyo ndugai ni wa kumpuuza tu ana faili milembe huyoAkitoa salamu zake mbele ya raisi Samia kwenye sherehe za wafanyakazi, spika wa bunge Job Ndugai amesema Mwanza ingependeza kama wangeacha kuezeka nyumba zao kwa masufuria, akisema
"Mwanza kunapendeza lakini kwanini mnafunika nyumba zenu na masufuria? ,Ingependeza kama mngeezeka nyumba zenu na mabati ya kijani".
Hii ni dharau kubwa sana kwa mtu mkubwa kama spika kutoa dharau kwa watu ambao kipato chao ni kidogo na ndiyo maana nyumba zao wameezeka na mabati ya sufuria.
Kweli viingozi wetu wakipata uwezo mkubwa wa fedha wanasahau kabisa kwamba kuna wengine hawana uwezo kama wa kwao .
Kwan mwanza Kuna mbunge wa upinzani hata mmoja?Alimaanisha waweke mabati yenye rangi ya CCM kiutani na siyo kwamba wameweka ya kizamani.
Utani tu mbona marehemu alisema hawezi kuzikwa kwa wagogo washamba wa makao makuu akina Ndugai na matongotongo yao wakanyagekanyage kaburi lake no fcukn way akazikwa CheltenhamAkitoa salamu zake mbele ya raisi Samia kwenye sherehe za wafanyakazi, spika wa bunge Job Ndugai amesema Mwanza ingependeza kama wangeacha kuezeka nyumba zao kwa masufuria, akisema
"Mwanza kunapendeza lakini kwanini mnafunika nyumba zenu na masufuria? ,Ingependeza kama mngeezeka nyumba zenu na mabati ya kijani".
Hii ni dharau kubwa sana kwa mtu mkubwa kama spika kutoa dharau kwa watu ambao kipato chao ni kidogo na ndiyo maana nyumba zao wameezeka na mabati ya sufuria.
Kweli viingozi wetu wakipata uwezo mkubwa wa fedha wanasahau kabisa kwamba kuna wengine hawana uwezo kama wa kwao .
Mkuu mambo ya Wagogo na Wasukuma achana nayo, chukua jembe lako ukalime. Labda hao unaowatetea wakikusikia watakuona wewe ndio hamnazo!Akitoa salamu zake mbele ya raisi Samia kwenye sherehe za wafanyakazi, spika wa bunge Job Ndugai amesema Mwanza ingependeza kama wangeacha kuezeka nyumba zao kwa masufuria, akisema
"Mwanza kunapendeza lakini kwanini mnafunika nyumba zenu na masufuria? ,Ingependeza kama mngeezeka nyumba zenu na mabati ya kijani".
Hii ni dharau kubwa sana kwa mtu mkubwa kama spika kutoa dharau kwa watu ambao kipato chao ni kidogo na ndiyo maana nyumba zao wameezeka na mabati ya sufuria.
Kweli viingozi wetu wakipata uwezo mkubwa wa fedha wanasahau kabisa kwamba kuna wengine hawana uwezo kama wa kwao .
Sawa, lakini kuna utani wa kuelimisha na kuunganisha watu utani wa kijinga wa kuchochea ukabila.utani ni lazima mkuu. Unafanya watu wasiboreke na hotuba yako. Ukiwa siriazii sana unakua unaboa
Amekuokoa we na nani?na amekuokoa na nini?Hekima ni kukaa kimya, sio kuongea pumba.
Mungu Fundi sana ametuokoa!
Mama alishasema yeye na Magufuli kitu kimoja.Hataniii mama kwa mnaodhani anapaka rangi kaeni mkisubiri neema.Kwa mwenye akuli hawezi kumkana JPMRais hawezi kuongeza mshahara mwaka wa majonzi kama huu!! Tumuenzi Magufuli kwa vitendo apeleke fedha zote kwenye Miradi ya maji. Kazi Iendelee
sawa kiongozi umeeleweka.Sawa, lakini kuna utani wa kuelimisha na kuunganisha watu utani wa kijinga wa kuchochea ukabila.
Tena haya mambo ya utani wa kikabila viongozi wa kitaifa wangewaachia wananchi wa kawaida, kwa sababu sasa hivi ni rahisi sana kusema kitu hata kwa nia nzuri kikatafsiriwa vibaya.
Viongozi wa kisiasa wanatakiwa ku "stay on message". Ama sivyo wanatengeneza mizozoz isiyo ya lazima na message yao inakuwa distorted.
Ila Tanzania hatujajua hayo bado.
Na pengine huyo Spika hana message zaidi ya huo utani.