Ndugai awaponda wana Mwanza kwa kuezeka nyumba zao na Mabati ya kizamani, Masufuria

Akitoa salamu zake mbele ya raisi samia kwenye sherehe za wafanyakazi, spika wa bunge job ndugai amesema mwanza ingependeza kama wangeacha kuezeka nyumba zao kwa masufuria, akisema

"mwanza kunapendeza lakinni kwanini mnafunika nyumba zenu na masufuria? ,Ingependeza kama mngeezeka nyumba zenu na mabati ya kijani".

Hii ni dharau kubwa sana kwa mtu mkubwa kama spika kutoa dharau kwa watu ambao kipato chao ni kidogo na ndiyo maana nyumba zao wameezeka na mabati ya sufuria. Kweli viingozi wetu wakipata uwezo mkubwa wa fedha wanasahau kabisa kwamba kuna wengine hawana uwezo kama wa kwao .
Hao ni watani Zake , kwa hiyo usiumize kichwa sana mkuu
 
Haiwezekani wakazi wote wa Mwanza wakawa watani wake. Yeye ni kiongozi wa taifa lenye makabila mengi na ile ilikuwa sherehe ya kitaifa kwa hiyo ujumbe uwe na mantiki kitaifa.
Baada ya chadema kuishiwa hoja,kuzalisha mifarakano imekuwa ndio sehemu ya Maisha yenu!
FB_IMG_1619726835884.jpg
 
Akitoa salamu zake mbele ya raisi Samia kwenye sherehe za wafanyakazi, spika wa bunge Job Ndugai amesema Mwanza ingependeza kama wangeacha kuezeka nyumba zao kwa masufuria, akisema

"Mwanza kunapendeza lakini kwanini mnafunika nyumba zenu na masufuria? ,Ingependeza kama mngeezeka nyumba zenu na mabati ya kijani".

Hii ni dharau kubwa sana kwa mtu mkubwa kama spika kutoa dharau kwa watu ambao kipato chao ni kidogo na ndiyo maana nyumba zao wameezeka na mabati ya sufuria.

Kweli viingozi wetu wakipata uwezo mkubwa wa fedha wanasahau kabisa kwamba kuna wengine hawana uwezo kama wa kwao .

Ujinga mtupu. Watu kama nyie mlisomaje na mkafaulu. Common Sense ingekujibu kabla hata hujakurupuka.
 
Simpendi Ndugai ila katika hili namtetea. Huo ni utani wa wagogo na wasukuma, ndomana hakuwa serious kipindi anaongea.. kwahyo hizo ni tamaduni za kawaida

Hivi mwanamume mwenzako Halali na mkeo wala mwanao unaanzaje kumchukukia. Tofauti Sawa Lakini kumchukia. That’s too much
 
Akitoa salamu zake mbele ya raisi Samia kwenye sherehe za wafanyakazi, spika wa bunge Job Ndugai amesema Mwanza ingependeza kama wangeacha kuezeka nyumba zao kwa masufuria, akisema

"Mwanza kunapendeza lakini kwanini mnafunika nyumba zenu na masufuria? ,Ingependeza kama mngeezeka nyumba zenu na mabati ya kijani".

Hii ni dharau kubwa sana kwa mtu mkubwa kama spika kutoa dharau kwa watu ambao kipato chao ni kidogo na ndiyo maana nyumba zao wameezeka na mabati ya sufuria.

Kweli viingozi wetu wakipata uwezo mkubwa wa fedha wanasahau kabisa kwamba kuna wengine hawana uwezo kama wa kwao .
Ucha hizo alikuwa anawatania watani zake.alisema ngoja nichokoze watani zangu
 
Akitoa salamu zake mbele ya raisi Samia kwenye sherehe za wafanyakazi, spika wa bunge Job Ndugai amesema Mwanza ingependeza kama wangeacha kuezeka nyumba zao kwa masufuria, akisema

"Mwanza kunapendeza lakini kwanini mnafunika nyumba zenu na masufuria? ,Ingependeza kama mngeezeka nyumba zenu na mabati ya kijani".

Hii ni dharau kubwa sana kwa mtu mkubwa kama spika kutoa dharau kwa watu ambao kipato chao ni kidogo na ndiyo maana nyumba zao wameezeka na mabati ya sufuria.

Kweli viingozi wetu wakipata uwezo mkubwa wa fedha wanasahau kabisa kwamba kuna wengine hawana uwezo kama wa kwao .
Yaan wewe unaenda milembe then unashangaa kuona vichaa wakati ndo base yao,huyo ndugai ni wa kumpuuza tu ana faili milembe huyo
 
Kwani jimboni kwa Ndugai wananchi wake wameezeka nyumba zao na kitu gani??
 
Akitoa salamu zake mbele ya raisi Samia kwenye sherehe za wafanyakazi, spika wa bunge Job Ndugai amesema Mwanza ingependeza kama wangeacha kuezeka nyumba zao kwa masufuria, akisema

"Mwanza kunapendeza lakini kwanini mnafunika nyumba zenu na masufuria? ,Ingependeza kama mngeezeka nyumba zenu na mabati ya kijani".

Hii ni dharau kubwa sana kwa mtu mkubwa kama spika kutoa dharau kwa watu ambao kipato chao ni kidogo na ndiyo maana nyumba zao wameezeka na mabati ya sufuria.

Kweli viingozi wetu wakipata uwezo mkubwa wa fedha wanasahau kabisa kwamba kuna wengine hawana uwezo kama wa kwao .
Utani tu mbona marehemu alisema hawezi kuzikwa kwa wagogo washamba wa makao makuu akina Ndugai na matongotongo yao wakanyagekanyage kaburi lake no fcukn way akazikwa Cheltenham
 
Akitoa salamu zake mbele ya raisi Samia kwenye sherehe za wafanyakazi, spika wa bunge Job Ndugai amesema Mwanza ingependeza kama wangeacha kuezeka nyumba zao kwa masufuria, akisema

"Mwanza kunapendeza lakini kwanini mnafunika nyumba zenu na masufuria? ,Ingependeza kama mngeezeka nyumba zenu na mabati ya kijani".

Hii ni dharau kubwa sana kwa mtu mkubwa kama spika kutoa dharau kwa watu ambao kipato chao ni kidogo na ndiyo maana nyumba zao wameezeka na mabati ya sufuria.

Kweli viingozi wetu wakipata uwezo mkubwa wa fedha wanasahau kabisa kwamba kuna wengine hawana uwezo kama wa kwao .
Mkuu mambo ya Wagogo na Wasukuma achana nayo, chukua jembe lako ukalime. Labda hao unaowatetea wakikusikia watakuona wewe ndio hamnazo!
 
utani ni lazima mkuu. Unafanya watu wasiboreke na hotuba yako. Ukiwa siriazii sana unakua unaboa
Sawa, lakini kuna utani wa kuelimisha na kuunganisha watu utani wa kijinga wa kuchochea ukabila.

Tena haya mambo ya utani wa kikabila viongozi wa kitaifa wangewaachia wananchi wa kawaida, kwa sababu sasa hivi ni rahisi sana kusema kitu hata kwa nia nzuri kikatafsiriwa vibaya.

Viongozi wa kisiasa wanatakiwa ku "stay on message". Ama sivyo wanatengeneza mizozoz isiyo ya lazima na message yao inakuwa distorted.

Ila Tanzania hatujajua hayo bado.

Na pengine huyo Spika hana message zaidi ya huo utani.
 
Rais hawezi kuongeza mshahara mwaka wa majonzi kama huu!! Tumuenzi Magufuli kwa vitendo apeleke fedha zote kwenye Miradi ya maji. Kazi Iendelee
Mama alishasema yeye na Magufuli kitu kimoja.Hataniii mama kwa mnaodhani anapaka rangi kaeni mkisubiri neema.Kwa mwenye akuli hawezi kumkana JPM
Inflation mtamsaidia kuidhibiti??????? Au mtamkana mara tatu,mama kachomoa betri hazalani
 
Sawa, lakini kuna utani wa kuelimisha na kuunganisha watu utani wa kijinga wa kuchochea ukabila.

Tena haya mambo ya utani wa kikabila viongozi wa kitaifa wangewaachia wananchi wa kawaida, kwa sababu sasa hivi ni rahisi sana kusema kitu hata kwa nia nzuri kikatafsiriwa vibaya.

Viongozi wa kisiasa wanatakiwa ku "stay on message". Ama sivyo wanatengeneza mizozoz isiyo ya lazima na message yao inakuwa distorted.

Ila Tanzania hatujajua hayo bado.

Na pengine huyo Spika hana message zaidi ya huo utani.
sawa kiongozi umeeleweka.
 
Back
Top Bottom