Ndugai: Mataifa ya wenzetu huchukua vijana wenye ufaulu class A+ wana negotiate mikataba sisi tunapeleka maprof wazee waliochoka!

 
Ndugai mbona hajayasema hayo wakati alikuwa mkuu wa mhimili wa bunge?

Mnafik tu huyo mgogo.
 
Swali la msingi ktk uongozi wake hakuna mkataba wowote mbovu ulioingiwa????
Mikataba mibovu yote ni wakati wake, ambayo ndiyo hao "maprofesa uchwara" wanaoliingizia taifa hasara ya kulipa matrillioni mpaka leo.

Watu walilalamika sana alikua kafunga masikio na moyo.
 
Issue sio A. Tatizo ni kwamba nimekosa mimi nimekosa sana. Kwa nini ukiri umekosa sana wakati ukijua kuwa haujakosa sana? Sasa kwa kukiri huku nae hizo A zake zimetusaidia nini.
 
But he was right......binafsi siamini wasomi wa Tanzania hata siku moja na hii imetokea baada ya kuona wakili wa serikali anatetemeshwa na kudhalilishwa huko Ulaya akiwa hajuwi nini cha kuongea.
 
Ndugai bhana!!
Haya ilibidi ayafanye yeye na wenzie akiwa kiongozi wa muhimili unaojitegemea.
Sasa sahivi hata akisema, nani atamuelewa? Hivi kumbe viongozi wa nchi hii akili zao zinarudi wakishakua nje ya madaraka. Lol
kumbe hujui kusoma Coca
 
🤣🤣🙌
 
Ndugai bhana!!
Haya ilibidi ayafanye yeye na wenzie akiwa kiongozi wa muhimili unaojitegemea.
Sasa sahivi hata akisema, nani atamuelewa? Hivi kumbe viongozi wa nchi hii akili zao zinarudi wakishakua nje ya madaraka. Lol
Aliyasema akiwa"SPIKA'
 
Itoshe tu kusema hata hawa watawala wenye akili zilizochoka wakae pembeni wawapishe wenye akili A+
Uongozi na mambo ya kitaalamu huwa ni tofauti sana kiongozi ni mtu yeyote mwenye uwezo wa kujenga ushawishi na kuwaunganisha watu kufikia malengo yao.
Kwa sifa hii mtu yeyote anaweza kuwa kiongozi ilimradi anakidhi sifa hii.

Lakini kwenye mambo yanayohitaji utaalamu unahitaji mtu aliyebobeakwenye hiyo kada husika ndio maana kwa kuwa mambo ya mikataba yanahitaji intelligence kubwa nakubaliana na yeye tutafute cream ya taifa ndio iwe inafanya haya mambo
 
Yeye alikuwa haijui hii Nchi kwa mizengwe mizengwe yake ????!

Yeye alikuwa ndio Starring huko kwenye kutunga Sheria !
Nini kilichomzuia asielekeze itungwe Sheria itakayofuatwa katika kuingia hiyo mikataba anayoisema ????!
Zilongwa mbali Zitendwa mbali !
Ndivyo walivyo and they know what they’re doing !
Hoko kulalamika ni kujitoa kimasomaso tu kwa Umma ! Kwa sababu wao wanaamini Siasa ni Uongo uongo tu 😳🙄🤦🏽‍♂️
 
"Black people are good for nothing apart from indulging in sex and having so many wives."

Pieter W. Botha, a former President of South Africa during the Apartheid era.
 
Haaaaa haaaaa hili dongo kalitupa gizani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…