Ndugai: Taarifa ya CAG imeonyesha ATCL inapata hasara, je tuendelee kununua nyingine?

Daah Job Ndugai kafunga kazi leo.

Meaning kila jambo alilokua anafanya na Magufuli hakuliafiki??

As a Christian lazima akatubu kanisani, hii ni dhambi ya wazi na itamtafuna.

Ndugai ajiuzulu tu , hii ni zaidi ya aibu.
Ndo hulka ya chawa ilivyo pindi blanket la zamani likitupwa.We ukuona yule shehe wa bashite haikupita hata wiki akamkana bashite alipochezea spana.
 
Mama angepanga safu yake mpya na sio hawa jiwe toxin
 
Mama angepanga safu yake mpya na sio hawa jiwe toxin
Sahihi kabisa nadhani rais angewaambia tu wajiuzulu kwa manufaa ya uma, hatuwezi kuwa na kauli za aina hii kila uchwao sijui wanatoa mifano gani kwa vizazi vijavyo,

Ndugai, kigwangala, CAG and the rest is a bad example to the society.
 
Sahihi kabisa nadhani rais angewaambia tu wajiuzulu kwa manufaa ya uma, hatuwezi kuwa na kauli za aina hii kila uchwao sijui wanatoa mifano gani kwa vizazi vijavyo,

Ndugai, kigwangala, CAG and the rest is a bad example to the society.
Kuna mmoja anasema eti walizalisha ajira milioni 12 yaani anadhani bado ni zama za jiwe.Dereva mpya konda wa zamani
 
Ukijumlisha wabunge wote wa chadema tangu iundwe hakuna anaeweza kushauri mambo ya biashara kumzidi mbunge mmoja tu wa CCM mh kimei. Hapo bado sijakutajia wengine kama 100.
 
Jamani, Sasa jpm anabaki na Nani? Maana mpaka ndugai anamkataa.dunia imejaa wanafiki
 
PPP katika miradi yote mikubwa ndio ilikuwa ushauri wa upinzani. Matokeo yake wakaitwa “pingapinga”.

Sasa tumerudi kuleeeeee!!
 
Watu wamejipanga. Hata ndoto zetu umeme kushuka bei baada ya bwawa la Rufiji kukamilika zitayeyuka. Watajibinafsishia na kutukamua. Tuombe Mungu, yajayo yanatisha.
 
Ushauri wa Spika Ndugai ni Mzuri,
kweli ni Bora Serikali yetu kwa sasa ikasitisha ununuzi wa ndege zingine.

Lakini pia Miradi Mingine ambayo inatumia fedha nyingi kama vile daraja la Busisi lisitishwe kwanza maaana nchi yetu itatumbukia ktk hali mbaya zaidi.
 
Kama kuna watu kila nikiwaangalia katika mikutano ya Rais Samia namuona hana furaha kabisa na anakaa kinyonge sana ni huyu bwana Ndugai. Sijui tatizo ni nini?
Ila Majaliwa kazidi sio kwa kujikunyata kule😁😁
 
Kama vipi ziuzwe ibaki moja tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…