Ndugai: Toka Magufuli aage Dunia, umuhimu wa Dodoma unafifishwa kwa makusudi kabisa

Unataka spika wa bunge awe pamoja na rais ili iweje?

Bunge ni mhimili mwingine, hatutaki spika wa kujipendekeza tunataka anayesimamia maslahi ya taifa kwa kuihoji na kuishauri serikali.

Elimu tatizo sana!
Mwambie uyo mtoto atakua ni new school
 
kwa nini kila kitu cha nchini Urusi ni Moscow, ufaransa ni Paris, Uingereza ni London kila nchi inakuwa na mji mmoja kama roho
Kwanini Nigeria, Russia, walihamisha miji yao mikuu? Dar karibu asilimia 80 ni unplanned settlement, ndio roho hiyo?
 
"....wakati fulani Dodoma ilikuwa mchaka mchaka wa hakika kuelekea kuwa Mji mkuu wa Serikali ki vitendo na hata ulipokuwa unawaangalia Viongozi wakuu wa Serikali ulikuwa unaona nyuso za haja za kulimaliza hilo mapema kabisa."

"...sasa hivi kila warsha na kongamano ni Dar!"

"...hii siyo sawasawa kabisa Dodoma ni Mji na makao makuu ya Nchi ki sheria na hata hao wanaofanya kampeni za kufifisha safari hiyo wanapoteza muda wao bure tu."

"...ndugu zangu wapende ama wasipende Dodoma ni lazima wataishi kwa sababu Bunge lilishatunga sheria na kamwe haiwezi kubadirika."

Amesema Ndugai.
Maamuzi ya ndgungai mengi hayaheshimiki kwa kuona tu ni yalikuwa chini yake.....yupo yupo tu.....IQ yake chini mno..... kwa mama makinda ni mbali sana sana......yaani heri kubwa kwa makinda kuliko hiki kilichovimba mashavu
 
"....wakati fulani Dodoma ilikuwa mchaka mchaka wa hakika kuelekea kuwa Mji mkuu wa Serikali ki vitendo na hata ulipokuwa unawaangalia Viongozi wakuu wa Serikali ulikuwa unaona nyuso za haja za kulimaliza hilo mapema kabisa."

"...sasa hivi kila warsha na kongamano ni Dar!"

"...hii siyo sawasawa kabisa Dodoma ni Mji na makao makuu ya Nchi ki sheria na hata hao wanaofanya kampeni za kufifisha safari hiyo wanapoteza muda wao bure tu."

"...ndugu zangu wapende ama wasipende Dodoma ni lazima wataishi kwa sababu Bunge lilishatunga sheria na kamwe haiwezi kubadirika."

Amesema Ndugai.
Huyu Mzee ana matatizo. A person at his position should not be uttering such words in the public. Kimadaraka ni mtu wa tatu au wa nne baada ya raisi. Kwa nini analalamika badala ya kukaa na wakubwa wenzake? Halafu mji mkuu ungekuwa umehamisiwa Singida au manyara kelele hizi toka kwa Ndugai tungesikia?
 
Na wale wa Chato wanasemaje? Bei ya hotel na guest house kwa sasa zimepanda?😄😄

Nina kiwanja nnunua kama utakuwa mkweli kusema ni msukumo gani ulipelekea kukinunua. Au unataka kutuambia ulizawadiwa na Baba Mkwe?
Nitakinunua iwapo utanipa ukweli kuwa ni sababu gani zilikufanya ukakinunua. Au ilikuwa zawadi kutoka kwa Baba Mkwe?
 
Kwanini Nigeria, Russia, walihamisha miji yao mikuu? Dar karibu asilimia 80 ni unplanned settlement, ndio roho hiyo?
Kweli atakayerudisha wizara Dar huyo ni muhujumu uchumi na halipendi taifa
 
Kuna siku atakuja Rais mwingine na kuamua kuhamisha tena na kuipeleka kwao

Hakuna sheria inafuatwa hata kuwe na katiba ya aina gani maana mtu akiwa kiongozi atavunja tu sheria maana anaongozi wasiojielewa

Watu wamekazana eti katiba kwani hii iliyopo inafuatwa? Au hatuna kabisa katiba na mnataka mpya
 
"....wakati fulani Dodoma ilikuwa mchaka mchaka wa hakika kuelekea kuwa Mji mkuu wa Serikali ki vitendo na hata ulipokuwa unawaangalia Viongozi wakuu wa Serikali ulikuwa unaona nyuso za haja za kulimaliza hilo mapema kabisa."

"...sasa hivi kila warsha na kongamano ni Dar!"

"...hii siyo sawasawa kabisa Dodoma ni Mji na makao makuu ya Nchi ki sheria na hata hao wanaofanya kampeni za kufifisha safari hiyo wanapoteza muda wao bure tu."

"...ndugu zangu wapende ama wasipende Dodoma ni lazima wataishi kwa sababu Bunge lilishatunga sheria na kamwe haiwezi kubadirika."

Amesema Ndugai.
Kuhama dar sio jambo jepesi kama unavyo fikiria hapa magufuli mwenyewe alishindwa akaamua kuhamia chato kabisaaaa
 
Na wale wa Chato wanasemaje? Bei ya hotel na guest house kwa sasa zimepanda?[emoji1][emoji1]

Nina kiwanja nauza Chato laki mbili tu mwenye anakitaka anirushie tigo pesa nimkabidhi kwa mwenyekiti wa mtaa.[emoji1][emoji1]
Genge la chadema linaliwaza sana chato
 
wahuni wanataka kuhujumu Makao makuu ya nchi.
Hata Urusi
Kwanini Nigeria, Russia, walihamisha miji yao mikuu? Dar karibu asilimia 80 ni unplanned settlement, ndio roho hiyo?
Urusi walihamisha kutoka Moscow kwenda st Petersburg na Baadae kuurudisha MOSCOW hivyo mpaka leo MOSCOW ndio capital city ya warusi, kuhusu Nigeria ile ni failed state kabisa hatuwezi kuizungumzia, kwa nini usiiongelee yamousokro
Kwanini Nigeria, Russia, walihamisha miji yao mikuu? Dar karibu asilimia 80 ni unplanned settlement, ndio roho hiyo?
 
Ndugai kama ana dharau sana kwa Chief Hangaya.....nani wa kumuonya ?
 
Back
Top Bottom