Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado tunajiandaa kufuta jina lako kwenye solo lile solo mjinga mbwa wewe damu ya lisu inakuandama"....wakati fulani Dodoma ilikuwa mchaka mchbaka wa hakika kuelekea kuwa Mji mkuu wa Serikali ki vitendo na hata ulipokuwa unawaangalia Viongozi wakuu wa Serikali ulikuwa unaona nyuso za haja za kulimaliza hilo mapema kabisa."
"...sasa hivi kila warsha na kongamano ni Dar!"
"...hii siyo sawasawa kabisa Dodoma ni Mji na makao makuu ya Nchi ki sheria na hata hao wanaofanya kampeni za kufifisha safari hiyo wanapoteza muda wao bure tu."
"...ndugu zangu wapende ama wasipende Dodoma ni lazima wataishi kwa sababu Bunge lilishatunga sheria na kamwe haiwezi kubadirika."
Amesema Ndugai.
"....wakati fulani Dodoma ilikuwa mchaka mchaka wa hakika kuelekea kuwa Mji mkuu wa Serikali ki vitendo na hata ulipokuwa unawaangalia Viongozi wakuu wa Serikali ulikuwa unaona nyuso za haja za kulimaliza hilo mapema kabisa."
"...sasa hivi kila warsha na kongamano ni Dar!"
"...hii siyo sawasawa kabisa Dodoma ni Mji na makao makuu ya Nchi ki sheria na hata hao wanaofanya kampeni za kufifisha safari hiyo wanapoteza muda wao bure tu."
"...ndugu zangu wapende ama wasipende Dodoma ni lazima wataishi kwa sababu Bunge lilishatunga sheria na kamwe haiwezi kubadirika."
Amesema Ndugai.
Mpaka leo hajatoa picha ya Magufuli kwenye ofisi yake
Sheria ndio nini? Mbona wewe ufuati sheria, umekaa na wabunge wasio na chama bungeni unafuata sheria iliyotungwa na bunge gani?"....wakati fulani Dodoma ilikuwa mchaka mchaka wa hakika kuelekea kuwa Mji mkuu wa Serikali ki vitendo na hata ulipokuwa unawaangalia Viongozi wakuu wa Serikali ulikuwa unaona nyuso za haja za kulimaliza hilo mapema kabisa."
"...sasa hivi kila warsha na kongamano ni Dar!"
"...hii siyo sawasawa kabisa Dodoma ni Mji na makao makuu ya Nchi ki sheria na hata hao wanaofanya kampeni za kufifisha safari hiyo wanapoteza muda wao bure tu."
"...ndugu zangu wapende ama wasipende Dodoma ni lazima wataishi kwa sababu Bunge lilishatunga sheria na kamwe haiwezi kubadirika."
Amesema Ndugai.
Akubaliane na hali, hakuna kidumucho mileleMpaka leo hajatoa picha ya Magufuli kwenye ofisi yake
soko lake halina watejaaNdugai analilia nini
Poleni Wagogo wenzangu
Anayefifisha hamasa ni sisi
Kabudi sikuku hii kubwa yupo wapi
YangaChawene wapi
Wagogo kwa ujumla ndiyo maana Mwendakwao mwishoni aliwatukana hadhatani na kumnyima dogo Mavunde unaibu waziri sisi bado sana?!!
Usikiuze mkuu utajuta badae Chato itakua sehemu ya hija takatfu kwa Dr Magufuli.Na wale wa Chato wanasemaje? Bei ya hotel na guest house kwa sasa zimepanda?😄😄
Nina kiwanja nauza Chato laki mbili tu mwenye anakitaka anirushie tigo pesa nimkabidhi kwa mwenyekiti wa mtaa.😄😄
We ngugayembe pole Sana ,analalamika kwa sababu mambo hayo yanafanyika na mikoa mingine sio Dom na Dar tuu.Yafanyike pia huko Katavi , kwa nini Dar tu? Huko kwingine sio Tanzania kwani?
Unataka spika wa bunge awe pamoja na rais ili iweje?Kufifisha Dom ni kupi? Mbona anahangaika Sana?
Mh.Rais hivi hakuna namna ya kuweza kumbadili maana sijawahi muelewa na mambo anayoongea huwa hayana ushahidi..
Serikali iliamua kuhamia Dom toka enzi za Mwl na kila Rais amekuwa anafanya jitihada kuhakikisha hilo linawezekana.
Yaani Rais aache kufanya masuala yake na mengine ya Nchi awe anakaa Dodoma? Mwendazake alikuwa anakaa Chato na Dar, Dom ananisa na kupiga picha afu anasepa..
Hapo Dom miundombinu bado Sana kuweza kuendesha shughuli zote za Serikali. Ndio kwanza airport inajengwa, barabara na Mji wa serikali unajengwa na miradi mingine.
Huyu Job hayuko na Mama ni vyema itafutwe namna.
kwa nini kila kitu cha nchini Urusi ni Moscow, ufaransa ni Paris, Uingereza ni London kila nchi inakuwa na mji mmoja kama rohoHuwa nasema na ntarudia over and over mpaka nione decisions zetu zina reflect "Intelligence"...hatuwezi kuwa na taifa kila kitu ni Dar es Salaam., Hauwezi kuwa na taifa la aina hiyo kamwe na ukasema una viongozi wenye maono ya miaka 50 au 30 mbele. Ni kuhujumiana tu waafrika kwa waafrika kama tuna laana flani hivi.
Hiyo sheria ambayo anasema haiwezi badilika ni msahafu au biblia?"....wakati fulani Dodoma ilikuwa mchaka mchaka wa hakika kuelekea kuwa Mji mkuu wa Serikali ki vitendo na hata ulipokuwa unawaangalia Viongozi wakuu wa Serikali ulikuwa unaona nyuso za haja za kulimaliza hilo mapema kabisa."
"...sasa hivi kila warsha na kongamano ni Dar!"
"...hii siyo sawasawa kabisa Dodoma ni Mji na makao makuu ya Nchi ki sheria na hata hao wanaofanya kampeni za kufifisha safari hiyo wanapoteza muda wao bure tu."
"...ndugu zangu wapende ama wasipende Dodoma ni lazima wataishi kwa sababu Bunge lilishatunga sheria na kamwe haiwezi kubadirika."
Amesema Ndugai.
Hebu tutumie uthibitisho kwamba Ndugai ameyasema haya, sikupingi ila sijayaona sehemu nyingine yoyote zaidi ya humu"....wakati fulani Dodoma ilikuwa mchaka mchaka wa hakika kuelekea kuwa Mji mkuu wa Serikali ki vitendo na hata ulipokuwa unawaangalia Viongozi wakuu wa Serikali ulikuwa unaona nyuso za haja za kulimaliza hilo mapema kabisa."