Kufifisha Dom ni kupi? Mbona anahangaika Sana?
Mh.Rais hivi hakuna namna ya kuweza kumbadili maana sijawahi muelewa na mambo anayoongea huwa hayana ushahidi..
Serikali iliamua kuhamia Dom toka enzi za Mwl na kila Rais amekuwa anafanya jitihada kuhakikisha hilo linawezekana.
Yaani Rais aache kufanya masuala yake na mengine ya Nchi awe anakaa Dodoma? Mwendazake alikuwa anakaa Chato na Dar, Dom ananisa na kupiga picha afu anasepa..
Hapo Dom miundombinu bado Sana kuweza kuendesha shughuli zote za Serikali. Ndio kwanza airport inajengwa, barabara na Mji wa serikali unajengwa na miradi mingine.
Huyu Job hayuko na Mama ni vyema itafutwe namna.