Papushikashi
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 10,963
- 13,287
wapi hao watajeNdugai yuko sawa kabisa yaani hawa watu wanaturudisha nyuma kuliko toka!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wapi hao watajeNdugai yuko sawa kabisa yaani hawa watu wanaturudisha nyuma kuliko toka!
"....wakati fulani Dodoma ilikuwa mchaka mchaka wa hakika kuelekea kuwa Mji mkuu wa Serikali ki vitendo na hata ulipokuwa unawaangalia Viongozi wakuu wa Serikali ulikuwa unaona nyuso za haja za kulimaliza hilo mapema kabisa."
"...sasa hivi kila warsha na kongamano ni Dar!"
"...hii siyo sawasawa kabisa Dodoma ni Mji na makao makuu ya Nchi ki sheria na hata hao wanaofanya kampeni za kufifisha safari hiyo wanapoteza muda wao bure tu."
"...ndugu zangu wapende ama wasipende Dodoma ni lazima wataishi kwa sababu Bunge lilishatunga sheria na kamwe haiwezi kubadirika."
Amesema Ndugai.
Hatumii akili,ikiwa iliwezekana kubadili sheria za vyama na katiba kuhusu sifa na vigezo vya mtu kuwa mbunge.Eti "sheria ya Dom mji mkuu kamwe haiwezi kubadilika", hii ni kweli ndugu zangu ?
Yafanyike pia huko Katavi , kwa nini Dar tu? Huko kwingine sio Tanzania kwani?Kwa akili za Ndugai,warsha na seminar na makongamano yakifanyika yote Dom ndio inakuwa Mji mkuu?
Una akili kweli wewe Ndugai? Kwamba kwenye miji yote mikuu Duniani ila warsha na makongamano yanafanyika kwenye capital cities?
Huyu mzee; ati sheria ya Bunge haiwezi kufutwa ama kubadilishwa ?"...ndugu zangu wapende ama wasipende Dodoma ni lazima wataishi kwa sababu Bunge lilishatunga sheria na kamwe haiwezi kubadirika."
Hana uzee,labda uzee wa uzuzuHuyu mzee; ati sheria ya Bunge haiwezi kufutwa ama kubadilishwa ?
Issue kuwa Jiji au kuwa makao makuu?Sheria kitu gani bwana! Dodoma ni Kijiji hapafai na hapana hadhi ya kuwa jiji.
Loo! Salale! Kama supika (siyo spika) analalamikia serikali huyo machinga asemeje?
Ule ilikuwa mpango mzima, unashindwa unganisha dots nini kilifuata kwa untouchable?Yatima hadeki ingawa kuna watu walitoa jasho kwenda ikulu kujisalimisha na leo wamesahau na kukejeli
Yule jamaa alikua fix sana, tumia clip hiyo Kisha tafuta clip ya marehemu Kinjeketile akiwa hospital jamaa alivyo mnukuu uwongo mtupu wakati tulimsikia. Eti Ccm ni chama changu. Sasa ndiyo uje umuamini ktk mkataba aliousoma yeye.Simuongelei prof mkuu! Huu mkataba magu aliuusoma kidogo mashariti yake na nafikiri ukitafuta iyo clip ipo mkuu kwa uchache ule unatosha kuuwona huu mradi miyeyusho
Aache upuuzi na akae kimya kabisa.. Kuna gharama kubwa isiyo na sababu kwa kwenda kufanyia kila kitu Dodoma.. Hiyo pesa anayeukia ni mwananchi wa kawaida"....wakati fulani Dodoma ilikuwa mchaka mchaka wa hakika kuelekea kuwa Mji mkuu wa Serikali ki vitendo na hata ulipokuwa unawaangalia Viongozi wakuu wa Serikali ulikuwa unaona nyuso za haja za kulimaliza hilo mapema kabisa."
"...sasa hivi kila warsha na kongamano ni Dar!"
"...hii siyo sawasawa kabisa Dodoma ni Mji na makao makuu ya Nchi ki sheria na hata hao wanaofanya kampeni za kufifisha safari hiyo wanapoteza muda wao bure tu."
"...ndugu zangu wapende ama wasipende Dodoma ni lazima wataishi kwa sababu Bunge lilishatunga sheria na kamwe haiwezi kubadirika."
Amesema Ndugai.
Hata kama yuko sawa si waambizane kwenye vikao vyao vya chama na serikali?!Ndugai yuko sawa kabisa yaani hawa watu wanaturudisha nyuma kuliko toka!
Wewe ndiye unajifurahisha baada ya kuondokewa na yule tahira mwenzio! Na kwa taarifa yako Samia ndiye Rais wako hadi 2030 kama hutaki KUFAEndelea kujifurahisha pimbi! Wewe!