Ndugai: Toka Magufuli aage Dunia, umuhimu wa Dodoma unafifishwa kwa makusudi kabisa

"....wakati fulani Dodoma ilikuwa mchaka mchaka wa hakika kuelekea kuwa Mji mkuu wa Serikali ki vitendo na hata ulipokuwa unawaangalia Viongozi wakuu wa Serikali ulikuwa unaona nyuso za haja za kulimaliza hilo mapema kabisa."

"...sasa hivi kila warsha na kongamano ni Dar!"

"...hii siyo sawasawa kabisa Dodoma ni Mji na makao makuu ya Nchi ki sheria na hata hao wanaofanya kampeni za kufifisha safari hiyo wanapoteza muda wao bure tu."

"...ndugu zangu wapende ama wasipende Dodoma ni lazima wataishi kwa sababu Bunge lilishatunga sheria na kamwe haiwezi kubadirika."

Amesema Ndugai.

Mkitoa hoja kwa malalamiko hazitafanyiwa kazi badala yake watoe maelezo ya moja kwa moja kusaidia watendaji. Kama ni mkutano basi utaje, kama ni mradi basi utaje
 
Hujafika Dodoma kabisa wewe sio bure, Dom ni porini!
Hao washazoea kupumuliana na kupakana mijasho kwenye magari ya usafiri huku wakiingia majumbani usiku wakitoka kazini na hiyo ndo akili kwao! Huku wakijitwika ujuaji usio na kichwa wala miguu!
 
"....wakati fulani Dodoma ilikuwa mchaka mchaka wa hakika kuelekea kuwa Mji mkuu wa Serikali ki vitendo na hata ulipokuwa unawaangalia Viongozi wakuu wa Serikali ulikuwa unaona nyuso za haja za kulimaliza hilo mapema kabisa."

"...sasa hivi kila warsha na kongamano ni Dar!"

"...hii siyo sawasawa kabisa Dodoma ni Mji na makao makuu ya Nchi ki sheria na hata hao wanaofanya kampeni za kufifisha safari hiyo wanapoteza muda wao bure tu."

"...ndugu zangu wapende ama wasipende Dodoma ni lazima wataishi kwa sababu Bunge lilishatunga sheria na kamwe haiwezi kubadirika."

Amesema Ndugai.
Mh tumia kofia yako ya uenyekiti wa ccm muondoshe usipka huyo hakukubali
 
Jinsi Mda unavyoenda ndiyo Mama atakuja jua kwamba Hana support! Pole pole Ana muscles nyuma yake!

Mama yangu Samia, katika watu ambao watakuwa Na Uzee wa uzuni unaweza Kuwa top 10 Kwa Tanzania leaders.
Ukiwasaliti wenzio nawe watakusaliti tu unavuna ulichopanda
 
"....wakati fulani Dodoma ilikuwa mchaka mchaka wa hakika kuelekea kuwa Mji mkuu wa Serikali ki vitendo na hata ulipokuwa unawaangalia Viongozi wakuu wa Serikali ulikuwa unaona nyuso za haja za kulimaliza hilo mapema kabisa."

"...sasa hivi kila warsha na kongamano ni Dar!"

"...hii siyo sawasawa kabisa Dodoma ni Mji na makao makuu ya Nchi ki sheria na hata hao wanaofanya kampeni za kufifisha safari hiyo wanapoteza muda wao bure tu."

"...ndugu zangu wapende ama wasipende Dodoma ni lazima wataishi kwa sababu Bunge lilishatunga sheria na kamwe haiwezi kubadirika."

Amesema Ndugai.
Inabidi tutunge sheria mpya kuhamishia makao makuu kwenda Singida.
 
Huyo ni mbwa hapaswi kusilipizwa..... Kwani dodoma ndio inaleta ajira kwa vijana maelfu waliomaliza vyuo tangu 2015????
 
"....wakati fulani Dodoma ilikuwa mchaka mchaka wa hakika kuelekea kuwa Mji mkuu wa Serikali ki vitendo na hata ulipokuwa unawaangalia Viongozi wakuu wa Serikali ulikuwa unaona nyuso za haja za kulimaliza hilo mapema kabisa."

"...sasa hivi kila warsha na kongamano ni Dar!"

"...hii siyo sawasawa kabisa Dodoma ni Mji na makao makuu ya Nchi ki sheria na hata hao wanaofanya kampeni za kufifisha safari hiyo wanapoteza muda wao bure tu."

"...ndugu zangu wapende ama wasipende Dodoma ni lazima wataishi kwa sababu Bunge lilishatunga sheria na kamwe haiwezi kubadirika."

Amesema Ndugai.
Dodoma kumekaa kishamba sana. Ndugai ni mgogo yeye ameshapazoea.
 
Back
Top Bottom