Ndugai: Ujenzi wa bandari ya Bagamoyo uendelee, Dkt. Magufuli alishauriwa vibaya

Aiseee unga wa ndere umekuwa replaced na unga wa rutuba!

Nimejikuta nashangaa tuu, ni lini hasa Mh. Spiika alitambua kuwa Mh. wetu alishauriwa vibaya? ifikie wakati tuunde taasisi imara ili ikitokea Mhimili mmoja umeshauriwa vibaya mwingine usimame kidete kuhakikisha hakuna linaloharibika.
 

Aliko jiwe atakuwa anaangalia na kujisemea hiiiiii!

Na bado!
 
We nae unaona umeongea ya maana!??... Tatizo ni mtu mweusi na ubinafsi wake na kuendekeza njaa.. haya mambo ya CCM,CUF na CDM mnashikana uchawi bure tu. Wale wabunge 19 wa CHADEMA walioingia bungeni walichaguliwa na nani!?.. Si ndio lilikuwa jeshi la wamama mnaloliamini CHADEMA!?... Kubali kataa mtu mweusi ni selfish sana, wote sio Mbowe, Lissu, Mnyika wala CCM. Hapa mnatafutana uchawi tu.
 
Duh!
 
Hili alilizungumza siku nyingi kidogo kabla hata hayati JPM hajatutoka....
 
Jiwe enzi zake wakurugenzi na watendaji waliokuwa kwenye wizara take kama humpi 1o% unahamishwa au kushushwa wadhifa. Tunayajua madudu yake mengi
 
Walahi kwa hii kasi Magufuli atakuwa ameamua kulala kifudifudi huko kaburini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…