wakuja town
JF-Expert Member
- Oct 26, 2020
- 898
- 1,343
Tuko pazuriiiiiiiii, tuko pazuriiii ndugu zangu tembeeni vifua mbereeeee, nchi hiii ni tajiriiiiiiii, mimi ni mtumishi wenu mwaminifu[emoji41][emoji41][emoji41]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shirika halina projection ya kutengeza faida yoyote iwe direct au indirect hata ikipita miaka 20, serikali ya Kenya inamiliki chini ya 50% kwenye KQ kwa hiyo haibebi mzigo wa hasara peke yake na bado inatimiza malengo ya kuitangaza nchi kimataifa hasa upande wa utalii, nyinyi mmeibebesha serikali pekee gharama zote za manunuzi ya ndege zaidi ya trillion moja na bado serikali itaendelea kutoa ruzuku kuhudumia hizo ndege, ndo hii hasara imeanza ya billion 60 na hakuna indirect benefits za kuitangaza nchi kimataifa kwenye utalii kwa sababu ndege zenyewe zinaishia tu hapa chato......kuna watu vichwa vimebeba makamasi tu, unaanzaje kutoa matrillion ya pesa za walipa kodi kwenye mradi hewa kama huo wa ndege.....shenzy type!Ripoti ya CAG isiwatishe, tuendelee mbele. Kenya airway moja ya mashirika kongwe ya ndege Africa limepata hasara bil.zaidi ya 700 na bado linahudumu, sisi bil. 60 unaogopa kununua ndege. Hata tupate hasara ili mradi linaingia nchi mbali mbalimbali ni namna ya kuitangaza Tanzania duniani.
kinachosikitisha ni kwamba jiwe hajaacha wafuasi waaminifu/wanafunzi, kina Hitler waliacha mawazo yao kwa watuAiseh leo ndio nimeamini ile kauli ya wanajiografia kuwa "Dunia inazunguka kwa kasi sana".
Kabisa na hii inawezakana ikawa ni kwa sababu ameondoka mapema...kinachosikitisha ni kwamba jiwe hajaacha wafuasi waaminifu/wanafunzi, kina Hitler waliacha mawazo yao kwa watu
Kabisa na hii inawezakana ikawa ni kwa sababu ameondoka mapema...
Muulizeni hivi hajamis kwenda kuzipokea ndegepya?Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai amewataka wabunge kuishauri serikali kama iendelee na mpango wake wa kununua ndege au isitishe hadi itakapoweka mambo sawa, gazeti la Mwananchi nchini humo limeripoti.
Bwana Ndugai ameuliza swali hilo leo bungeni mjini Dodoma, mara baada ya Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali nchini Tanzania, Charles Kicheere kutoa ripoti kuwa Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) limeingiza hasara ya takribani Shilingi Bilioni 150 kwa miaka mitano iliyopita.
Na kwa mwaka mmoja uliopita, ATCL imeingiza hasara ya Shilingi bilioni 60. Bw. Kicheere ameyasema hayo leo Alhamisi alipokuwa akiwasilisha ripoti ya ukaguzi kwa mwaka wa fedha 2019/2020 Bungeni mjini Dodoma.
Aidha Spika amewaambia wabunge kuwa wanatakiwa kuishauri Serikali kama iendelee na mpango wa kuongeza ununuzi wa ndege au wasitishe kwanza badala ya kusubiri kuja kukosoa mambo yatakapoenda kombo.
Vilevile amewataka wabunge hao kushauri pia katika ununuzi wa mabehewa kwa ajili ya uendeshaji wa reli ya kisasa (SGR) kama ni vyema yakanunuliwa na Serikali au ununuzi ukafanywa na wabia wa sekta binafsi.
Gazeti la Mwananchi limeandika kuwa Ndugai alieleza kuwa kuna nchi zinafanya uwekezaji wa miundombinu ya reli na suala la mabehewa linafanywa na wawekezaji binafsi.
#Habari kama ilivyo kutoka katika ukurasa wa #BBC Swahili.
Kweli Dunia hadaa walimweng shujaa, huyu supika aliyekuwa akiki clush wabunge wanapohoji juu ya ununuzi wa ndege!!Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai amewataka wabunge kuishauri serikali kama iendelee na mpango wake wa kununua ndege au isitishe hadi itakapoweka mambo sawa, gazeti la Mwananchi nchini humo limeripoti.
Bwana Ndugai ameuliza swali hilo leo bungeni mjini Dodoma, mara baada ya Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali nchini Tanzania, Charles Kicheere kutoa ripoti kuwa Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) limeingiza hasara ya takribani Shilingi Bilioni 150 kwa miaka mitano iliyopita.
Na kwa mwaka mmoja uliopita, ATCL imeingiza hasara ya Shilingi bilioni 60. Bw. Kicheere ameyasema hayo leo Alhamisi alipokuwa akiwasilisha ripoti ya ukaguzi kwa mwaka wa fedha 2019/2020 Bungeni mjini Dodoma.
Aidha Spika amewaambia wabunge kuwa wanatakiwa kuishauri Serikali kama iendelee na mpango wa kuongeza ununuzi wa ndege au wasitishe kwanza badala ya kusubiri kuja kukosoa mambo yatakapoenda kombo.
Vilevile amewataka wabunge hao kushauri pia katika ununuzi wa mabehewa kwa ajili ya uendeshaji wa reli ya kisasa (SGR) kama ni vyema yakanunuliwa na Serikali au ununuzi ukafanywa na wabia wa sekta binafsi.
Gazeti la Mwananchi limeandika kuwa Ndugai alieleza kuwa kuna nchi zinafanya uwekezaji wa miundombinu ya reli na suala la mabehewa linafanywa na wawekezaji binafsi.
#Habari kama ilivyo kutoka katika ukurasa wa #BBC Swahili.
Vetting aliyofanya alikosea sana ..kumbe aliacha wafia tumbo + mazwazwa + wanafiki waliokubuhukinachosikitisha ni kwamba jiwe hajaacha wafuasi waaminifu/wanafunzi, kina Hitler waliacha mawazo yao kwa watu