Mpemba Mimi
JF-Expert Member
- Jul 6, 2013
- 1,656
- 2,483
Inaonekana wewe ndio haujui unachoongea; ndio maana niliacha kubishana na wewe. Haswa baada ya kusema Zuma alichukua pesa - ambazo hiyo kihasibu inaitwa "Drawings" - ukasema zimesababisha kuleta hasara SAA. Nikajua hata haulewi kuwa Profit/Loss inatokana na "Revenue minus Expenses" kwenye P&L. Nikajua nabishana na mtu asieelewa anachoandika. Si unaona unaandika "Harafu"....Hiyo tu inaeleza wewe ni mtu wa aina gani....Tanzania hatuwezi ndio maana Nchi ni masikini mpaka kesho tunazungumzia vitu hivyohivyo kila kukicha umeme sijui megawatts kadhaa harafu mnakuja kwenye sijui effort kuna effort yeyote hapo zaidi ya wizi tuu kila kukicha emu toa mfano kitu gani tumefanya hapo zaidi ya kueneza chuki tuu kila mwaka watu wanazungumzia Uchaguzi...Tanzania ina kila kitu Nchi ni masikini na watu wake harafu unachoongea hata ueleweki..