Ndugai: Wabunge ishaurini Serikali, iendelee kununua ndege au isitishe

tanzania kuna wapumbavu wengi, Rwandair wana ndege 12 bt wanaendesha biashara uzuri, sisi linchi likubwa bt akili ndo kama za mleta mada
 
Rwanda hana diversity economy zaidi ya chai na kahawa na madini ya Congo. Lazima apambane kwenye ndege as source of income. Sisi tuna kila kitu cha kuingiza hela nje ya ndege hizi. Kumbuka ndege ikiwa juu inakula hela ikiwa chini inakula hela sio kama gari ile.
 
Ripoti ya CAG isiwatishe, tuendelee mbele. Kenya airway moja ya mashirika kongwe ya ndege Africa limepata hasara bil.zaidi ya 700 na bado linahudumu, sisi bil. 60 unaogopa kununua ndege. Hata tupate hasara ili mradi linaingia nchi mbali mbalimbali ni namna ya kuitangaza Tanzania duniani.
hapa umenena mkuu,hawa viongozi wanatia dosari miradi bila ata kuendeleza kilichoachwa na mzee, wanajua tu kukosoa lakini kuendeleza hawa ongei chochote,hamnaga shirika la ndege ambalo halijapata hasara "this is business na bizneess ina faida na hasara".
 
Mbona USA watengeneza ndege hawamiliki ndege kama tumeshindwa biashara ya korosho, madini na utalii huko kunakohitaji utaalamu sio siasa hatuwezi kufanikisha msijidanganye ..
Sio kweli, Ndege ni "Core" Asset kwenye airline business. Kufanya biashara ya ndege bila kuzimiliki ni gharama zaidi. Maana utakuwa unakodisha kwa mmiliki, ambae nae anataka kupata faida kwenye hiyo hiyo ndege. In the "long run" gharama za kukodisha utajikuta zimefikia sawasawa au hata kupita ile bei ambayo ungenunulia ndege hiyo hiyo.
 
Mkuu mbona Msemaji mkuu wa serikali ya Awamu ya Tano, Alisema tumepata faida ya takriban 28 bilion.....

Na hao hao ATCL walitoa gawio kwa serikali...ina maana yote hayo yalikuwa changa la macho
Huo muda ni mdogo sana kwa shirika la ndege kununua ndege na kuanza kupata faida. Fuatilia financial statements za mashirika yanayofanya vizuri sasa, likiwemo Ethiopian Airline; utaona ni "turbulences" gani walipitia, kabla ya kufika kuanza na kupata faida.
 
Chonde chonde CCM, ... msikiuke wosia wa hayati, mpaka zitimie 11!
1618043512161.png
 
Maongra
Sio kweli, Ndege ni "Core" Asset kwenye airline business. Kufanya biashara ya ndege bila kuzimiliki ni gharama zaidi. Maana utakuwa unakodisha kwa mmiliki, ambae nae anataka kupata faida kwenye hiyo hiyo ndege. In the "long run" gharama za kukodisha utajikuta zimefikia sawasawa au hata kupita ile bei ambayo ungenunulia ndege hiyo hiyo
Fastjet ndege zake nyingi walikua wanakodi mpaka sasa njia ya Livingstone /Harare walikodi SAA ni vile mnajifanya mnajua kwa vitu msivyojua ndio maana Nchi inakua masikini kila kukicha...kwa Tanzania jinsi tulivyo na resource za kutosha tunahitaji kuhangaika na ndege zinazoleta hasara kila kukicha...
 
Muongoni mwa miradi ya Magufuli itakayopoteza direction mapema ni shirika la ATCL. Upinzani huwa unatoa nondo nzuri sana bungeni lakini kwa sababu ccm hawapend wawaamshe wanyonge ndio wakaamua kuwaondoa kbsa bungeni. Ila mchakato wa kununua ndege walisema sana mchakato ulkua ni wa kukurupuka
 
Maongra

Fastjet ndege zake nyingi walikua wanakodi mpaka sasa njia ya Livingstone /Harare walikodi SAA ni vile mnajifanya mnajua kwa vitu msivyojua ndio maana Nchi inakua masikini kila kukicha...kwa Tanzania jinsi tulivyo na resource za kutosha tunahitaji kuhangaika na ndege zinazoleta hasara kila kukicha...
FastJet iko wapi sasa? Bado ina-operate Tanzania? Kumbe unajijibu vizuri wewe mwenyewe; sasa unataka ATCL ikakodi ije kufa kifo kama cha FastJet? Faida haiwezi kuja kwa ku-operate Ndege miaka minne au mitano.......Sasa kama hakuna Ndege; hizo resources nyingine zitafikika vipi? Tanzania ilivyo kubwa unategemea mtu kutoka Bukoba, Mwanza, Songea, Mbeya, Mtwara akitaka kusafiri atumie usafiri gani? Moja ya re-source ya ku-explore ni utalii. Sasa utakuza Utalii kwa kutumia KQ? Unadhani wao ni wajinga wakuletee watalii huku, wakati kwao kuna Massai Mara?
 
Fastjet wapo huku kusini huko si walifukuzwa kwa ujio wa bombadier Mkuu sisi biashara ya ndege hatuiwezi amini nachokwambia...
 
Dodoma. Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai amewataka wabunge kuchangia Mpango wa Taifa wa Maendeleo kwa kuishauri Serikali kama iendelee na mpango wake wa kununua ndege au isitishe hadi itakapoweka mambo sawa.

Ndugai amesema hayo bungeni mjini Dodoma leo Alhamisi Aprili 8, 2021 kabla kuchangia Mpango wa Tatu wa Taifa wa Maendeleo (2021/22 hadi 2025/26) uliosomwa na Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Mwigulu Nchemba.

Amesema Shirika la Ndege (ATCL) limepata hasara ya Sh60 bilioni, hivyo wabunge wanatakiwa kuishauri Serikali wakati wakichangia mpango huo kama iendelee na mpango wa kuongeza ununuzi wa ndege au wasitishe kwanza hadi watakapoweka mambo sawa.

Amewataka wabunge hao kushauri pia katika ununuzi wa mabehewa kwa ajili ya uendeshaji wa reli ya kisasa (SGR) kama ni vyema yakanunuliwa na Serikali au ununuzi ukafanywa na wabia wa sekta binafsi.

Amesema zipo nchi zinafanya uwekezaji wa miundombinu ya reli na suala la mabehewa linafanywa na wawekezaji binafsi.

Amewataka wabunge kutumia nafasi hiyo kuishauri Serikali na wasisubiri kukosa wakati inapokosea.

Kwani Ndege ilinunuliwa kwa Budget ipi ? Na nani alishauri? Hio Analysis iko wapi ?
 
WABUNGE NA SPIKA NDUGAI NI WAPUMBAVU NA MALAYA WA SIASA TANZANIA
 
Fastjet wapo huku kusini huko si walifukuzwa kwa ujio wa bombadier Mkuu sisi biashara ya ndege hatuiwezi amini nachokwambia...
Usitudanganye Mkuu - Fastjet Hawakufukuzwa, kampuni ilifisilika huku; hivyo ikashindwa ku-meet matakwa ya kisheria ili iendelee ku-operate. Wanadaiwa Bilioni Nyingi tu na Tanzania Civil Aviation Authority (TCAA), Tanzania Airport Authority (TAA) na Swissport. Hao ni wadeni wachache; bado suppliers wadogowadogo na wafanyakazi. Hiyo ndio ile point niliyokwambia, hauwezi kuendesha biashara ya ndege kwa ndege za kukodi. Angalia mfano mzuri wa Ethiopian Airline, ndege zao zote wamenunua; wanazimiliki - sio za kukodi. Usitudanganye kuwa Tanzania hatuwezi kuendesha mashirika ya ndege; sio kweli. Huko kusini unakosema Fastjet wako - mbona South African Airways (SAA) imetengeneza hasara za kutosha?? Unadhani hatujui kinachoendelea huko?? Maana yake na hao watu wa dunia ya kwanza hawajui kuendesha mashirika ya ndege - si ndio?? Ma-CEO wangapi wa SAA wamesha-resign mpaka sasa kwa kushindwa kulifanya hilo shirika profitable kutoka loss-making?? Inaonekana wewe unaongelea siasa badala ya biashara na uhalisia wa mambo.
 
Dodoma. Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai amewataka wabunge kuchangia Mpango wa Taifa wa Maendeleo kwa kuishauri Serikali kama iendelee na mpango wake wa kununua ndege au isitishe hadi itakapoweka mambo sawa.

Ndugai amesema hayo bungeni mjini Dodoma leo Alhamisi Aprili 8, 2021 kabla kuchangia Mpango wa Tatu wa Taifa wa Maendeleo (2021/22 hadi 2025/26) uliosomwa na Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Mwigulu Nchemba.

Amesema Shirika la Ndege (ATCL) limepata hasara ya Sh60 bilioni, hivyo wabunge wanatakiwa kuishauri Serikali wakati wakichangia mpango huo kama iendelee na mpango wa kuongeza ununuzi wa ndege au wasitishe kwanza hadi watakapoweka mambo sawa.

Amewataka wabunge hao kushauri pia katika ununuzi wa mabehewa kwa ajili ya uendeshaji wa reli ya kisasa (SGR) kama ni vyema yakanunuliwa na Serikali au ununuzi ukafanywa na wabia wa sekta binafsi.

Amesema zipo nchi zinafanya uwekezaji wa miundombinu ya reli na suala la mabehewa linafanywa na wawekezaji binafsi.

Amewataka wabunge kutumia nafasi hiyo kuishauri Serikali na wasisubiri kukosa wakati inapokosea.
Hivi Ndugai ameshazungumza lolote kuhusu wale "wabunge" 19 wa viti maalum wasio na chama? Akizungumza mnitag, natoka kidogo.

Sent from my vivo 1904 using JamiiForums mobile app
 
Usitudanganye Mkuu - Fastjet Hawakufukuzwa, kampuni ilifisilika huku; hivyo ikashindwa ku-meet matakwa ya kisheria ili iendelee ku-operate. Wanadaiwa Bilioni Nyingi tu na Tanzania Civil Aviation Authority (TCAA), Tanzania Airport Authority (TAA) na Swissport. Hao ni wadeni wachache; bado suppliers wadogowadogo na wafanyakazi. Hiyo ndio ile point niliyokwambia, hauwezi kuendesha biashara ya ndege kwa ndege za kukodi. Angalia mfano mzuri wa Ethiopian Airline, ndege zao zote wamenunua; wanazimiliki - sio za kukodi. Usitudanganye kuwa Tanzania hatuwezi kuendesha mashirika ya ndege; sio kweli. Huko kusini unakosema Fastjet wako - mbona South African Airways (SAA) imetengeneza hasara za kutosha?? Unadhani hatujui kinachoendelea huko?? Maana yake na hao watu wa dunia ya kwanza hawajui kuendesha mashirika ya ndege - si ndio?? Ma-CEO wangapi wa SAA wamesha-resign mpaka sasa kwa kushindwa kulifanya hilo shirika profitable kutoka loss-making?? Inaonekana wewe unaongelea siasa badala ya biashara na uhalisia wa mambo.
Mkuu unaongea huku mara uguse huku yaani hata ueleweki Zondo commission unaijua ambayo Zuma anahojiwa kwa kuchagua watu wake ili kuiongoza SAA muda alikua anajichotea hela na wiki ijayo anapanda tena...Tanzania ni Nchi masikini sio ya kununua ndege nyingi mtegemee faida kwa kipindi kifupi mtaferi tuu hivyo vitu unaongea on paper kwenye uhalisia ni ngumu mno usijifananishe na myahudi ET watu wana fleet zaidi ya 100 inapeleka wasomi nje ndio wanakuja kuwa kwenye kitengo cha matengenezo na urubani tufanye tunayoyaweza hilo tumefeli Kama wewe unaona tumefaulu sawa siwezi kukubishia kila mtu na utashi wake...
 
SAA hawakuelezea failure yao kama ni kuchotwa pesa na Zuma. Mbona sasa Zuma hayupo; bado hakuna faida?? Hata ET haikuanza na ndege 100 kwa siku moja...ni lazima kwenye biashara uanzie sehemu fulani...Hivyo kusema TZ haiwezi sio kweli. Ni mipango tu. Sema wewe ni mmoja wa Wa-TZ wachache msiejiamini kuwa tunaweza vitu. Ila akija mtu mgeni - Hata Mkenya aliesoma tu University of Nairobi - utamfanyia kazi kwa nguvu kwa kuamini kuwa yeye anaweza; na kampuni kuwa successfully. Kumbe unasasahau kuwa ni efforts zako na wewe za kufanya kazi; ndio zimeleta mafanikio. Kama wewe hauwezi, wapo wa-TZ wanaoweza. Hivyo usiseme Tanzania haiwezi.
 
Tanzania hatuwezi ndio maana Nchi ni masikini mpaka kesho tunazungumzia vitu hivyohivyo kila kukicha umeme sijui megawatts kadhaa harafu mnakuja kwenye sijui effort kuna effort yeyote hapo zaidi ya wizi tuu kila kukicha emu toa mfano kitu gani tumefanya hapo zaidi ya kueneza chuki tuu kila mwaka watu wanazungumzia Uchaguzi...Tanzania ina kila kitu Nchi ni masikini na watu wake harafu unachoongea hata ueleweki..
 
Back
Top Bottom