Ndugai: Wabunge ishaurini Serikali, iendelee kununua ndege au isitishe

Mbona USA watengeneza ndege hawamiliki ndege kama tumeshindwa biashara ya korosho, madini na utalii huko kunakohitaji utaalamu sio siasa hatuwezi kufanikisha msijidanganye ..
 
Mbona USA watengeneza ndege hawamiliki ndege kama tumeshindwa biashara ya korosho, madini na utalii huko kunakohitaji utaalamu sio siasa hatuwezi kufanikisha msijidanganye ..
mkuu ni kweli ulichosema kwamba US haimiliki ndege ? mbona kuna mashirika kadhaa ya ndege huko je unataka kusema zote ni za private sector ? naomba ufafanuzi wako
 
Mkuu mbona Msemaji mkuu wa serikali ya Awamu ya Tano, Alisema tumepata faida ya takriban 28 bilion.....

Na hao hao ATCL walitoa gawio kwa serikali...ina maana yote hayo yalikuwa changa la macho
 
Spika asichagulie watu nini cha kujadili waanze kujadili ripoti ya Assad aliyozuia kuhusu matibabu yake
 
Alafu kinachonichanganya...

Bunge la Kikwete si lililaumu sana kwa Shirika kubwa la ndege kama la kwetu halina ndege?

Kwa hiyo leo hii tunazipinga tena?

Kenya walipata hasara ya 800b..ila bado wanachapa kazi
hii nayo ni hoja kwa kiasi fulani, wasiponunua sasa hivi hawatonunua tena, alafu ndege haziozi pia
 
Mkuu mbona Msemaji mkuu wa serikali ya Awamu ya Tano, Alisema tumepata faida ya takriban 28 bilion.....

Na hao hao ATCL walitoa gawio kwa serikali...ina maana yote hayo yalikuwa changa la macho
huwenda hilo gawio ndio part of loss😂 yani unapata faida 5000, unaipa serikali 3000 alafu unabaki na buku mbili kwa ajili ya ku oparate biashara ambapo haitoshi inabidi ukope tena
 
Mwendazake angekusikia unampinga ungeshughulikiwa na vyombo vyote vya ulinzi na usalama.
 
hilo ndilo kosa kubwa sana alilofanya na mbaya zaidi walimuuza akiwa bado hajafa kwa kutoa taarifa zake za ndani huko
iseee...

taarifa isitoshe wakaamua kumpost akiwa amerest kabisa kwenye jeneza.

Balaa kabisa...tuwe makini na waliotuzunguka.

Nilichogundua ukiyagusa maslahi ya mtu atakufanya kitu hamna!
 
Nami naomba nichangie kidogo kuhusu ununuzi wa ndege ingawa mimi sio mbunge lakini kama raia wa Tanzania.
1. Ndege moja ya rais
2. Ndege moja ya viongozi wa juu (makamu wa rais na waziri mkuu e.t.c)
3. Ndege mbili ndogo za abiria 70, kwa ajili ya safari za ndani.
5. Ndege ya tano kubwa kwa ajili ya route muhimu kama kwenda China/India washirika wa kibiashara.
Hizo nyingine ziuzwe fedha tupeleke kwenye miradi ya maendeleo.
Kama taifa bado hatuwezi kubeba hasara ya ndege 11 kwa sasa.
"KAZI IENDELEE"
 
Na nje hakuna itakayokwenda, maana zitadakwa jukwaju..!!! Mahusiano na wengine ni muhimu
 
iseee...

taarifa isitoshe wakaamua kumpost akiwa amerest kabisa kwenye jeneza.

Balaa kabisa...tuwe makini na waliotuzunguka.

Nilichogundua ukiyagusa maslahi ya mtu atakufanya kitu hamna!
ile picha ukiiangalia hata kama humpendi jamaa utamuonea huruma fulani utajikuta unaona anakosewa
 
Wamuuzie , anatafta ya kutumia kuzurura ....!!!hata akiwa anawalipa mdogo mdogo sio mbaya ...
Litamfilisi trust me... Lile moja bado linataga pale airport mpaka leo halijatotoa kifaranga hata kimoja licha ya ripoti kuonesha lililishwa bilion 4 kasoro mia
 
ile picha ukiiangalia hata kama humpendi jamaa utamuonea huruma fulani utajikuta unaona anakosewa
Hakika Chief..

Binadamu kazi sana,aliyeipiga hiyo picha huyo huyo ndo Magu alikuwa anampa ugali.

tuchague marafiki + watu sahihi

Ikibidi ni kuwa kivyako tuu ngumu ngumu....saa zingine washkaji ni masnitch tuu

Nimeanza kuamini ule msemo wa (be yourself + private)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…