Ndugu Faustine Ndugulile tafadhali 'Usitusaliti' na usikubali huo 'Ushawishi' unaopewa ili Namba Tatu agombee

Atamteua wapi wakati Raisi wa Jamhuri ya Muungano Tanzania kuanzia October 2020 ni Tundu Antipas Lissu
 
Una uhakika wa 100% Mkuu? Kichwani mwako zinakutosha sawa sawa? Nyie ndiyo Watu wachache ambao huwa mnaniboa na nawajibu Kunya hapa.
Bashite ndo anapitishwa - mpende msipende. Hizi ni habari za uhakika kabisa. Sorry Dr Ndugulile utateuliwa Balozi ukafanye dimplomasia ya kiuchumi!
 
Atamteua wapi wakati Raisi wa Jamhuri ya Muungano Tanzania kuanzia October 2020 ni Tundu Antipas Lissu

Sina uhakika kama aina ya Bange / Bangi uliyoivuta leo ilikuwa inakufaa Wewe au ilikuwa inapelekwa kwa Wanamgambo wa Al - Shaabab Somalia.
 
Mleta mada Hakuna kitu huwa unakiongea kinafanikiwa kikishindwa unakuja kujikomba komba CCM ohh tuache makundi tuwe wamoja una unafiki ulikithiri Hadi unakera mtu mzima hovyo kabisa wewe

Yakitoka tu yaliyo kinyume na utabiri wakonwa kinafiki unajitia kubweka bweka kuhurumiwa Kama bwege
 
Wewe ndio poyoyo Sasa. Huna taarifa

Hujui na wala hutajua kwanini 'nimekwepesha' hivyo. Kwahiyo kwa madai yako kabisa Mwenyewe unajua kuwa GENTAMYCINE nimekosea hapo?
 
Nazidi kuchoma ubani wauane kabisa.
 
Mkuu kinachoonekana walioshindwa kura za maoni watapitishwa kama ilivyotokea leo kwa madiwani.
 
Dodoma nasikia ngumi zapigwa uko upande wa ngazi ya udiwani
 
Hujui na wala hutajua kwanini 'nimekwepesha' hivyo. Kwahiyo kwa madai yako kabisa Mwenyewe unajua kuwa GENTAMYCINE nimekosea hapo?
Umeweka code za kitoto mno. Yaani iko wazi Sana. Sikunyingine umiza kichwa zaidi.
 
Bashite ndo anapitishwa - mpende msipende. Hizi ni habari za uhakika kabisa. Sorry Dr Ndugulile utateuliwa Balozi ukafanye dimplomasia ya kiuchumi!

Na ndiyo maana baada ya GENTAMYCINE 'kuzipata' hizi tena leo hii hii nimeona 'nimtahadharishe' mapema tu Ndugu Faustine Ndugulile asitusaliti.
 
Hujawahi kuwa na hata 1% tu ya IQ pindi uwapo hapa Jamvini ( JamiiForums ) hivyo basi acha niendelee Kujadili na Werevu baki na Ujuha wako.
 
Dodoma nasikia ngumi zapigwa uko upande wa ngazi ya udiwani

Tegemeeni 'Fujo' Kubwa kutokea huko Kigamboni kama 'Mtoto Mpendwa' atapitishwa 'Kilazima' na 'Kiupendeleo' na F. Ndugulile 'Kutupwa' Kando.
 
Mtoa UZI nikushauri jambo !
Embu ya kaisari mpeni kaisari. Embu tii mamlaka za wakubwa
 
Hujawahi kuwa na hata 1% tu ya IQ pindi uwapo hapa Jamvini ( JamiiForums ) hivyo basi acha niendelee Kujadili na Werevu baki na Ujuha wako.
Ngoja uone kitakachotokea kilicho kinyume na matarajio yako ndipo utajithibitisha mwenyewe kuwa Huna akili huhitaji wa kukupima akili yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…