Isayalussy11
JF-Expert Member
- Mar 8, 2019
- 695
- 1,058
Acha kupotosha watu unaemzungumzia aloshika namba mbili.Hao Watu wawili tena 'Waandamizi' kabisa wanaotumwa Kwako mara kwa mara kuja 'Kukushawishi' kuwa umuachie Namba Tatu 'agombee' hilo Jimbo na kwamba Wewe 'Utateuliwa' ama kuwa Balozi au Mbunge waambie kuwa Kamati ya Roho Mbaya ya CCM Jimbo la Kigamboni 'itashawishi' Wana CCM wote wampigie 'Kura' Mgombea wa CHADEMA na CCM 'itaanguka' vibaya sana.
Hao Watu wawili wameshajulikana na nakuomba waambie kuwa kama Namba Tatu anataka huo Ubunge asubirie hadi 'Babaake' amteue Novemba.
Inaweza isisambaratike ila itatulazimu kutumia nguvu kubwa na rasilimali za ziada ili kufanikiwa. Mwenyekiti wetu Mungu ampe hekima lakini uchaguzi wa mwaka huu upepo umegeuka na hapo Kigamboni wasithubutu kumkata Ndungulile.Ikiwa Hilo litafanikiwa nataka kuwahakikishia ccm inaenda kusambaratika. Nyie subirini haya yote nijitihada zakutaka kuongezwa muda wa uwongozi
Achana na John Mrema, Kigamboni hawamtaki huyo mpendwa wenu, jamani, mnataka wanakigamboni wajieleze ili muwaelewe?Hivi jon mrema alishinda kura za maoni Ubunge segerea tuanzie hapo kwanza!!
Umejuaje kama hawamtaki?? Tatizo mmejawa chuji na makonda hamna jipya! Msilete double standards. Kama ambavyo chama chenu kimempitisha Jon mrema segerea vivyo hivyo ccm inaweza kumpitisha makonda! Acheni kupapalikia mambo ya ccm wakati yenu yanawashinda !!Achana na John Mrema, Kigamboni hawamtaki huyo mpendwa wenu, jamani, mnataka wanakigamboni wajieleze ili muwaelewe?
Ni kwamba HAWAMTAKI msiwalazimishe...
GENTA... kafungua uzi wa Kigamboni, na wewe ungefungua wa Segerea. Kuleta habari za Mrema hapa ni kuharibu uzi wa mwenzioUmejuaje kama hawamtaki?? Tatizo mmejawa chuji na makonda hamna jipya! Msilete double standards. Kama ambavyo chama chenu kimempitisha Jon mrema segerea vivyo hivyo ccm inaweza kumpitisha makonda! Acheni kupapalikia mambo ya ccm wakati yenu yanawashinda !!
Kama huna hoja kaa tulia! Amefungua uzi , kaandika hoja zake lazima ajibiwe!GENTA... kafungua uzi wa Kigamboni, na wewe ungefungua wa Segerea. Kuleta habari za Mrema hapa ni kuharibu uzi wa mwenzio
Gentamycine mbona unaua bendi?Mpuuzi Mmoja hivi ambaye sasa hivi 'anahangaika' kila mara kumpigia Simu Mama Namba Mbili 'Kikatiba' ili amsaidie kwa 'Babaake' apitishwe Yeye.
Angalia kaka, asije akakukata mtama [emoji16]Sina uhakika kama aina ya Bange / Bangi uliyoivuta leo ilikuwa inakufaa Wewe au ilikuwa inapelekwa kwa Wanamgambo wa Al - Shaabab Somalia.
Aliyeshika Namba Tatu huko Kigamboni unaambiwa 'anahangaika' kwa wana CCM, Waandamizi Serikalini hadi kwa Wajumbe Dodoma ili apite Yeye.
Mama dhamiri inamshtaki kwani kijana alimtabiria na kumuombea kuwa muda ukifika, Basi wampe Mama kiti cha Pili 'Kikatiba'.Na Mama Namba Mbili 'Kikatiba' nae simwelewi kwani huyu Kijana ( Kubwa Jinga ) alikuwa 'hamuheshimu' leo anataka Kumsaidia na Kumbeba pia.
Akili zimerudi mkuu???Kwani jpm akiongezewa muda wewe itakuathiri nini?si ndio mtatu ben saanane wengi???au?Ikiwa Hilo litafanikiwa nataka kuwahakikishia ccm inaenda kusambaratika. Nyie subirini haya yote nijitihada zakutaka kuongezwa muda wa uwongozi
Mheshimiwa Ndungulile kwa jinsi ninavyomfahamu kwa miaka mingi sasa , sio mwepesi kiasi hicho !Hao Watu wawili tena 'Waandamizi' kabisa wanaotumwa Kwako mara kwa mara kuja 'Kukushawishi' kuwa umuachie Namba Tatu 'agombee' hilo Jimbo na kwamba Wewe 'Utateuliwa' ama kuwa Balozi au Mbunge waambie kuwa Kamati ya Roho Mbaya ya CCM Jimbo la Kigamboni 'itashawishi' Wana CCM wote wampigie 'Kura' Mgombea wa CHADEMA na CCM 'itaanguka' vibaya sana.
Hao Watu wawili wameshajulikana na nakuomba waambie kuwa kama Namba Tatu anataka huo Ubunge asubirie hadi 'Babaake' amteue Novemba.
Huyo namba 3 hana elimu ya uhakika kama ya Nape Nauye?
Ni Mara chache sana umewahi kusema uongo. Nadhank mara ya mwisho ulikuwa na miaka 6 hivi. Kama hawatakusikia achana nao ili tukutane kwenye sanduku la kura ndo watajua wapiga kura ni zaidi ya wajumbe, labda wajiandae kupiga risasi watu wakati wa kutangaza matokeo.Hao Watu wawili tena 'Waandamizi' kabisa wanaotumwa Kwako mara kwa mara kuja 'Kukushawishi' kuwa umuachie Namba Tatu 'agombee' hilo Jimbo na kwamba Wewe 'Utateuliwa' ama kuwa Balozi au Mbunge waambie kuwa Kamati ya Roho Mbaya ya CCM Jimbo la Kigamboni 'itashawishi' Wana CCM wote wampigie 'Kura' Mgombea wa CHADEMA na CCM 'itaanguka' vibaya sana.
Hao Watu wawili wameshajulikana na nakuomba waambie kuwa kama Namba Tatu anataka huo Ubunge asubirie hadi 'Babaake' amteue Novemba.
Wacha jazba, wajumbe wanamtaka mtu wao.Kama huna hoja kaa tulia! Amefungua uzi , kaandika hoja zake lazima ajibiwe!
Gentamycine Antibiotic katika ubora wake. Tumetega masikio kujua yatokanayo na vikao huko.Hujui na wala hutajua kwanini 'nimekwepesha' hivyo. Kwahiyo kwa madai yako kabisa Mwenyewe unajua kuwa GENTAMYCINE nimekosea hapo?
πππHao Watu wawili tena 'Waandamizi' kabisa wanaotumwa Kwako mara kwa mara kuja 'Kukushawishi' kuwa umuachie Namba Tatu 'agombee' hilo Jimbo na kwamba Wewe 'Utateuliwa' ama kuwa Balozi au Mbunge waambie kuwa Kamati ya Roho Mbaya ya CCM Jimbo la Kigamboni 'itashawishi' Wana CCM wote wampigie 'Kura' Mgombea wa CHADEMA na CCM 'itaanguka' vibaya sana.
Hao Watu wawili wameshajulikana na nakuomba waambie kuwa kama Namba Tatu anataka huo Ubunge asubirie hadi 'Babaake' amteue Novemba.
MakondaktaNamba tatu ndo nani huyo?
Mtz mingi ni mijinga! achana nao, sisi tumekuelewa!Tatizo la Watanzania huwa mnataka Mtu 'afumbe' mtakavyo nyie. Hivi kwa Mtu mwenye 'Akili' nzuri hapa hajajua tu kuwa 'Mlengwa' ni nani huko?