masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,207
- 13,839
Hii barabara ina walalahoi wengi,
Hii baabara inaenda baraza la mitihani
Hii barabara inaweza kuunganisha Mbezi Ndumbwi na barabara ya Goba
Hii barabara ina hudumia shule kubwa ya St Mary's
Hii barabara tayari ilishajengwa madaraja mawili kuunganisha vitongoji vya kwa Maranda na dispensary ya Ndumbwi.
Hata barabara za Mbezi NSSF na zingine ni hadithi tu!
Lakini tunaona kasi ya barabara za lami Mbweni kwa wazito.
Gwajima, tukupe tahadhari tu, kule Mbweni waliko wazito hawafiki hata 15,000.
Sisi huku tuko nafikiri 150,000(Mbezi Beach, Mbezi Juu, Goba).
Na hili la wakazi tumeanza kulifanya kazi, 2025 siyo mbali.