Ndugu Gwajima, hii barabara isipotengezwa kiwango cha lami, kura katafute Mbweni!

Ndugu Gwajima, hii barabara isipotengezwa kiwango cha lami, kura katafute Mbweni!

Nipeni Gwajimaaaa.........nipeni Gwajimaaaa....!
Gwajima mwenyewe bomu!
 
Kwani yuko hapo kwa ajili ya kura alizopata? Mtishie kwa jingine ila sio hilo la kura. Siku hizi mshindi anapangwa na uongozi wa CCM, kisha tume ya uchaguzi inapangiwa idadi ya kura za kumtangaza.
Du... wale jamaa zangu huwa wansema.......... mboombo ngafu!
 
Back
Top Bottom