masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,207
- 13,839
Ha ha ha!Mbona umemkosea adabu? Huyo ni Askofu, mheshimiwa pia ni mNEC wa CCM. Tafadhali edit umpe heshima yake
Leo ume-comment kagusa kwenye hupataki paguswe ukaona usikae kimyaMbona umemkosea adabu? Huyo ni Askofu, mheshimiwa pia ni mNEC wa CCM. Tafadhali edit umpe heshima yake
Kuingia siasa alikosea njia, sasa wananchi tunataka kile alichoahidi.Mbona umemkosea adabu? Huyo ni Askofu, mheshimiwa pia ni mNEC wa CCM. Tafadhali edit umpe heshima yake
Uongo haufai!Ha ha ha!
Kwanza treni aliloahidi huyu mwongo hajaleta.
Halafu mi nikahama Kawe alipoahidi safari ya Birmingham.
Hivi wale aliowaahidi kuwapeleka Marekani walisharudi ?Mbona umemkosea adabu? Huyo ni Askofu, mheshimiwa pia ni mNEC wa CCM. Tafadhali edit umpe heshima yake
Gwajima ajipange tena upya mwaka 2025 hata ndani ya wajumbe wa CCM yenyewe, kwa kuwa 2020 kura zake hazikutosha isipokuwa akabebwa na JPM. Achilia mbali upinzani atakaoupata kutoka CDM.Hii barabara ina walalahoi wengi,
Hii baabara inaenda baraza la mitihani
Hii barabara inaweza kuunganisha Mbezi Ndumbwi na barabara ya Goba
Hii barabara ina hudumia shule kubwa ya St Mary's
Hii barabara tayari ilishajengwa madaraja mawili kuunganisha vitongoji vya kwa Maranda na dispensary ya Ndumbwi.
Hata barabara za Mbezi NSSF na zingine ni hadithi tu!
Lakini tunaona kasi ya barabara za lami Mbweni kwa wazito.
Gwajima, tukupe tahadhari tu, kule Mbweni waliko wazito hawafiki hata 15,000.
Sisi huku tuko nafikiri 150,000(Mbezi Beach, Mbezi Juu, Goba).
Na hili la wakazi tumeanza kulifanya kazi, 2025 siyo mbali.
Kwa kweli huyu jamaa ni mwanasiasa gharasha!Na barabara ya Bunju - mpiji magohe- Mbezi Louis lazima zimuondoe huyu mpumbavu !! Hopeless guy !
Yaani huyo Gwajima ni boya tu.Na barabara ya Bunju - mpiji magohe- Mbezi Louis lazima zimuondoe huyu mpumbavu !! Hopeless guy !
Hii barabara ina walalahoi wengi,
Hii baabara inaenda baraza la mitihani
Hii barabara inaweza kuunganisha Mbezi Ndumbwi na barabara ya Goba
Hii barabara ina hudumia shule kubwa ya St Mary's
Hii barabara tayari ilishajengwa madaraja mawili kuunganisha vitongoji vya kwa Maranda na dispensary ya Ndumbwi.
Hata barabara za Mbezi NSSF na zingine ni hadithi tu!
Lakini tunaona kasi ya barabara za lami Mbweni kwa wazito.
Gwajima, tukupe tahadhari tu, kule Mbweni waliko wazito hawafiki hata 15,000.
Sisi huku tuko nafikiri 150,000(Mbezi Beach, Mbezi Juu, Goba).
Na hili la wakazi tumeanza kulifanya kazi, 2025 siyo mbali.
Kwani wananchi ndio mnaochagua wabunge?Kuingia siasa alikosea njia, sasa wananchi tunataka kile alichoahidi.
Akishindwa tunampiga chini.
Hatutaki bla bla, tunataka hii barabara kiwango cha lami, nothing less!
Hamna askofu hapo, huyo ni tapeli kwenye koti la dini. Kwani ukiwa mNec wa ccm ndio nini? Ccm yenyewe kama chama ni genge la wahuni tu, sasa mnec ndio nini? Au kwakuwa mnategemea mbeleko ya vyombo vya dola mnaona ccm ni bonge la chama?Mbona umemkosea adabu? Huyo ni Askofu, mheshimiwa pia ni mNEC wa CCM. Tafadhali edit umpe heshima yake
HakikaHamna askofu hapo, huyo ni tapeli kwenye koti la dini. Kwani ukiwa mNec wa ccm ndio nini? Ccm yenyewe kama chama ni genge la wahuni tu, sasa mnec ndio nini? Au kwakuwa mnategemea mbeleko ya vyombo vya dola mnaona ccm ni bonge la chama?
Hahaha . Hivi wale vijana alishawapeleka USA kweli kama alivyoahidi?Hii barabara ina walalahoi wengi,
Hii baabara inaenda baraza la mitihani
Hii barabara inaweza kuunganisha Mbezi Ndumbwi na barabara ya Goba
Hii barabara ina hudumia shule kubwa ya St Mary's
Hii barabara tayari ilishajengwa madaraja mawili kuunganisha vitongoji vya kwa Maranda na dispensary ya Ndumbwi.
Hata barabara za Mbezi NSSF na zingine ni hadithi tu!
Lakini tunaona kasi ya barabara za lami Mbweni kwa wazito.
Gwajima, tukupe tahadhari tu, kule Mbweni waliko wazito hawafiki hata 15,000.
Sisi huku tuko nafikiri 150,000(Mbezi Beach, Mbezi Juu, Goba).
Na hili la wakazi tumeanza kulifanya kazi, 2025 siyo mbali.
Kumtumikia Mungu na Fedha havijawahi kwenda sambambaHii barabara ina walalahoi wengi,
Hii baabara inaenda baraza la mitihani
Hii barabara inaweza kuunganisha Mbezi Ndumbwi na barabara ya Goba
Hii barabara ina hudumia shule kubwa ya St Mary's
Hii barabara tayari ilishajengwa madaraja mawili kuunganisha vitongoji vya kwa Maranda na dispensary ya Ndumbwi.
Hata barabara za Mbezi NSSF na zingine ni hadithi tu!
Lakini tunaona kasi ya barabara za lami Mbweni kwa wazito.
Gwajima, tukupe tahadhari tu, kule Mbweni waliko wazito hawafiki hata 15,000.
Sisi huku tuko nafikiri 150,000(Mbezi Beach, Mbezi Juu, Goba).
Na hili la wakazi tumeanza kulifanya kazi, 2025 siyo mbali.
Gwajima nni laghai sana.Kumtumikia Mungu na Fedha havijawahi kwenda sambamba