masopakyindi Platinum Member Joined Jul 5, 2011 Posts 18,207 Reaction score 13,839 Jun 6, 2023 Thread starter #21 chwechwe said: View attachment 2647402 Click to expand... Du...bibie kamuwahi!
masopakyindi Platinum Member Joined Jul 5, 2011 Posts 18,207 Reaction score 13,839 Jun 6, 2023 Thread starter #22 Nipeni Gwajimaaaa.........nipeni Gwajimaaaa....! Gwajima mwenyewe bomu!
Jidu La Mabambasi JF-Expert Member Joined Oct 20, 2014 Posts 16,419 Reaction score 26,594 Jun 6, 2023 #23 Tindo said: Kwani yuko hapo kwa ajili ya kura alizopata? Mtishie kwa jingine ila sio hilo la kura. Siku hizi mshindi anapangwa na uongozi wa CCM, kisha tume ya uchaguzi inapangiwa idadi ya kura za kumtangaza. Click to expand... Du... wale jamaa zangu huwa wansema.......... mboombo ngafu!
Tindo said: Kwani yuko hapo kwa ajili ya kura alizopata? Mtishie kwa jingine ila sio hilo la kura. Siku hizi mshindi anapangwa na uongozi wa CCM, kisha tume ya uchaguzi inapangiwa idadi ya kura za kumtangaza. Click to expand... Du... wale jamaa zangu huwa wansema.......... mboombo ngafu!
Moronight walker JF-Expert Member Joined Aug 3, 2021 Posts 3,103 Reaction score 4,704 Jun 15, 2023 #24 hewamkaa said: Mbona umemkosea adabu? Huyo ni Askofu, mheshimiwa pia ni mNEC wa CCM. Tafadhali edit umpe heshima yake Click to expand... Askofu anaza na mke wa mtu
hewamkaa said: Mbona umemkosea adabu? Huyo ni Askofu, mheshimiwa pia ni mNEC wa CCM. Tafadhali edit umpe heshima yake Click to expand... Askofu anaza na mke wa mtu
C Component JF-Expert Member Joined Jan 31, 2019 Posts 508 Reaction score 370 Jun 15, 2023 #25 TARURA wamesikia kilio khs hilo.
masopakyindi Platinum Member Joined Jul 5, 2011 Posts 18,207 Reaction score 13,839 Jun 15, 2023 Thread starter #26 Component said: TARURA wamesikia kilio khs hilo. Click to expand... Yaani watakuwa wametuhamasisha kumpa kura zote.
Component said: TARURA wamesikia kilio khs hilo. Click to expand... Yaani watakuwa wametuhamasisha kumpa kura zote.