UCHAGUZI wa 2025,Maana yake yale yote aliyoleta Mpina yamezikwa rasmi. Laiti tungekuwa na uchaguzi huru na haki tusingeshuhudia ujinga huu kwani tungetoa hukumu kwenye sanduku la kura, lakini kwa kile kilichofanyika 2020 ni dhahiri kamwe watawala hawatakaa waweheshimu wananchi tena kwani wanajua hatuna cha kuwafanya.
Ukoo wa panya 😂 nakushangaa unavowaamini hao chama cha mambuziSalaam, Shalom!!
Leo naongea na Ndugu Gwajima kama kiongozi na mwakilishi wa wananchi, na SI kama Askofu madhabahuni.
Nimekusikia ukidai na kumtuhumu Ndugu Mpina kuwa mwongo bila kuthibitisha UONGO huo Kwa data na ushahidi kama alioutoa ndugu Mpina hadharani.
Umeenda mbali zaidi na Kutoa LAANA Kwa Ndugu Mpina ukiquote maandiko kuwa " Amelaaniwa mtu ampigaye ndugu yake Kwa Siri" Sasa Mpina na Bashe Wana undugu Gani? Nani aliyepaswa kuitwa kamati ya maadili kati ya Mpina na Bashe? Giza na Nuru lini vimewahi kuchangamana?
Leo umeungwa mkono na mtu aina ya chiembe, hiyo ni dhahiri kuwa umetoka kwenye line ya HAKI.
Ndugu Gwajima, ndugu zako ni wananchi maskini, ndugu zako ni wote wanaamini juu ya HAKI kutawala juu ya nchi,
Ndugu Gwajima huna ndugu CCM, wewe unatambulika una Damu ya Upinzani, na record Bado zipo wazi juu ya uhusika wako wa wazi kumleta Lowwassa CDM, hivyo ninakukumbusha kuwa huna mizizi CCM.
Nikupe taarifa kuwa Wananchi tumekielewa alichokisema ndugu Mpina, na ameyasema hayo Kwa Uzalendo wake Kwa nchi na hakuongozwa na chuki binafsi juu ya Waziri Bashe kama unavyodai.
HOJA zijibiwe Kwa HOJA,
Evidence ipingwe Kwa EVIDENCE SI porojo za kisiasa.
USHAURI: Ndugu Gwajima ,BUSARA ni kunyamaza, ulinyamaza kwenye sakata la DP world na ulieleweka kuliko sasa unavyofungua kinywa kumkemea NABII MPINA.
Amebarikiwa sana NABII MPINA Kwa kuwa amesimama upande wa KWELI na HAKI.
Mungu ibariki nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿, Amen
Source: Uhondo Tv.
Karibuni 🙏
Nadhani umesahau kuwa Mpina ni CCM pia.U
Ukoo wa panya 😂 nakushangaa unavowaamini hao chama cha mambuzi
Gwajima kwenye issue ya Mpina kajidhalilisha sana,na bbada ya kauli yake kajuta sanaSalaam, Shalom!!
Leo naongea na Ndugu Gwajima kama kiongozi na mwakilishi wa wananchi, na SI kama Askofu madhabahuni.
Nimekusikia ukidai na kumtuhumu Ndugu Mpina kuwa mwongo bila kuthibitisha UONGO huo Kwa data na ushahidi kama alioutoa ndugu Mpina hadharani.
Umeenda mbali zaidi na Kutoa LAANA Kwa Ndugu Mpina ukiquote maandiko kuwa " Amelaaniwa mtu ampigaye ndugu yake Kwa Siri" Sasa Mpina na Bashe Wana undugu Gani? Nani aliyepaswa kuitwa kamati ya maadili kati ya Mpina na Bashe? Giza na Nuru lini vimewahi kuchangamana?
Leo umeungwa mkono na mtu aina ya chiembe, hiyo ni dhahiri kuwa umetoka kwenye line ya HAKI.
Ndugu Gwajima, ndugu zako ni wananchi maskini, ndugu zako ni wote wanaamini juu ya HAKI kutawala juu ya nchi,
Ndugu Gwajima huna ndugu CCM, wewe unatambulika una Damu ya Upinzani, na record Bado zipo wazi juu ya uhusika wako wa wazi kumleta Lowwassa CDM, hivyo ninakukumbusha kuwa huna mizizi CCM.
Nikupe taarifa kuwa Wananchi tumekielewa alichokisema ndugu Mpina, na ameyasema hayo Kwa Uzalendo wake Kwa nchi na hakuongozwa na chuki binafsi juu ya Waziri Bashe kama unavyodai.
HOJA zijibiwe Kwa HOJA,
Evidence ipingwe Kwa EVIDENCE SI porojo za kisiasa.
USHAURI: Ndugu Gwajima ,BUSARA ni kunyamaza, ulinyamaza kwenye sakata la DP world na ulieleweka kuliko sasa unavyofungua kinywa kumkemea NABII MPINA.
Amebarikiwa sana NABII MPINA Kwa kuwa amesimama upande wa KWELI na HAKI.
Mungu ibariki nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA [emoji1241], Amen
Source: Uhondo Tv.
Karibuni [emoji120]
Hapiti wote waliomzodoa Mpina wanalaanaAnatafuta njia ili CCM imupitishe kula za maoni kwa kuwa msaliti
Amefanya KAZI aliyopasa kufanya kibajaji na musukuma!!Gwajima kwenye issue ya Mpina kajidhalilisha sana,na bbada ya kauli yake kajuta sana
Dah kila nikipita mtaani na kukuta bango la itel, nasema dahSalaam, Shalom!!
Leo naongea na Ndugu Gwajima kama kiongozi na mwakilishi wa wananchi, na SI kama Askofu madhabahuni.
Nimekusikia ukidai na kumtuhumu Ndugu Mpina kuwa mwongo bila kuthibitisha UONGO huo Kwa data na ushahidi kama alioutoa ndugu Mpina hadharani.
Umeenda mbali zaidi na Kutoa LAANA Kwa Ndugu Mpina ukiquote maandiko kuwa " Amelaaniwa mtu ampigaye ndugu yake Kwa Siri" Sasa Mpina na Bashe Wana undugu Gani? Nani aliyepaswa kuitwa kamati ya maadili kati ya Mpina na Bashe? Giza na Nuru lini vimewahi kuchangamana?
Leo umeungwa mkono na mtu aina ya chiembe, hiyo ni dhahiri kuwa umetoka kwenye line ya HAKI.
Ndugu Gwajima, ndugu zako ni wananchi maskini, ndugu zako ni wote wanaamini juu ya HAKI kutawala juu ya nchi,
Ndugu Gwajima huna ndugu CCM, wewe unatambulika una Damu ya Upinzani, na record Bado zipo wazi juu ya uhusika wako wa wazi kumleta Lowwassa CDM, hivyo ninakukumbusha kuwa huna mizizi CCM.
Nikupe taarifa kuwa Wananchi tumekielewa alichokisema ndugu Mpina, na ameyasema hayo Kwa Uzalendo wake Kwa nchi na hakuongozwa na chuki binafsi juu ya Waziri Bashe kama unavyodai.
HOJA zijibiwe Kwa HOJA,
Evidence ipingwe Kwa EVIDENCE SI porojo za kisiasa.
USHAURI: Ndugu Gwajima ,BUSARA ni kunyamaza, ulinyamaza kwenye sakata la DP world na ulieleweka kuliko sasa unavyofungua kinywa kumkemea NABII MPINA.
Amebarikiwa sana NABII MPINA Kwa kuwa amesimama upande wa KWELI na HAKI.
Mungu ibariki nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿, Amen
Source: Uhondo Tv.
Karibuni 🙏
2025 uchaguzi utakuwepo?UCHAGUZI wa 2025,
Itakuwa wa aina yake.
Tusubiri.
Wadau kuna hoja gani hapa?
DALALI MKUU alikuwa anakutafuta sasa kachanganya Majina.Wadau kuna hoja gani hapa?
Ananitafutia nini tena?DALALI MKUU alikuwa anakutafuta sasa kachanganya Majina.
Ulidai kuwa unatafuta ofisi ya kupangisha, sasa Yeye ndugu dalali akaona fursa, ulimuahid kumchek pm, sasa kakosea anajaribu pm ambazo zimepigwa Pini!!Ananitafutia nini tena?
Uchaguzi huru na WA Haki hautakuwepo.2025 uchaguzi utakuwepo?
"Amwambiaye mtu mwovu, Wewe una haki; Kabila za watu watamlaani, taifa watamchukia. Bali kwao wakemeao furaha itakuwako; Na baraka ya kufanikiwa itawajilia" (Mithali 24:24-25)Alaaniwe askofu wa mchongo Josephat Gwajima kwa kusimama upande wa mafisadi
Nadhani umesahau kuwa Mpina ni CCM pia.
Tulia atapata shida sanaMpina: Kuna wabunge tumewapokea Kutoka upinzani, Leo wanageuka na kuanza kunishambulia na kunichongea nifukuzwe CCM, Uadilifu na Uzalendo wangu ndani ya chama, Si wa kutiliwa shaka, hivyo watapata taabu sana!!