Ndugu J. Gwajima, ushahidi wa Mpina haujathibitishwa popote, hivyo huna HAKI ya kusema amedanganya

Maana yake yale yote aliyoleta Mpina yamezikwa rasmi. Laiti tungekuwa na uchaguzi huru na haki tusingeshuhudia ujinga huu kwani tungetoa hukumu kwenye sanduku la kura, lakini kwa kile kilichofanyika 2020 ni dhahiri kamwe watawala hawatakaa waweheshimu wananchi tena kwani wanajua hatuna cha kuwafanya.
UCHAGUZI wa 2025,

Itakuwa wa aina yake.

Tusubiri.
 
Gwajima namheshimu sana, ila kwenye hili, nadharau mawazo yake kutuona sisi Watanzania hatuna akili mbele ya wala rushwa na wasio na huruma yoyote dhidi ya maisha ya Watanzania

Kilichofanyika kwenye suala la Sukari ni uhaini haupaswi kufumbiwa macho na wanaotetea jambo hili nao ni wanufaikaji wa uhaini huu
 
Mila za Kiafrika haziruhusu kuongea wakati UNAKULA.
Nchi hii mwenye njaa anaona na kufikiri vizuri zaidi ya aliyeshiba japo wanatuhamasisha tuwape chakula watoto wetu wawapo shuleni.
 
U
Salaam, Shalom!!

Leo naongea na Ndugu Gwajima kama kiongozi na mwakilishi wa wananchi, na SI kama Askofu madhabahuni.

Nimekusikia ukidai na kumtuhumu Ndugu Mpina kuwa mwongo bila kuthibitisha UONGO huo Kwa data na ushahidi kama alioutoa ndugu Mpina hadharani.

Umeenda mbali zaidi na Kutoa LAANA Kwa Ndugu Mpina ukiquote maandiko kuwa " Amelaaniwa mtu ampigaye ndugu yake Kwa Siri" Sasa Mpina na Bashe Wana undugu Gani? Nani aliyepaswa kuitwa kamati ya maadili kati ya Mpina na Bashe? Giza na Nuru lini vimewahi kuchangamana?

Leo umeungwa mkono na mtu aina ya chiembe, hiyo ni dhahiri kuwa umetoka kwenye line ya HAKI.

Ndugu Gwajima, ndugu zako ni wananchi maskini, ndugu zako ni wote wanaamini juu ya HAKI kutawala juu ya nchi,

Ndugu Gwajima huna ndugu CCM, wewe unatambulika una Damu ya Upinzani, na record Bado zipo wazi juu ya uhusika wako wa wazi kumleta Lowwassa CDM, hivyo ninakukumbusha kuwa huna mizizi CCM.

Nikupe taarifa kuwa Wananchi tumekielewa alichokisema ndugu Mpina, na ameyasema hayo Kwa Uzalendo wake Kwa nchi na hakuongozwa na chuki binafsi juu ya Waziri Bashe kama unavyodai.

HOJA zijibiwe Kwa HOJA,

Evidence ipingwe Kwa EVIDENCE SI porojo za kisiasa.

USHAURI: Ndugu Gwajima ,BUSARA ni kunyamaza, ulinyamaza kwenye sakata la DP world na ulieleweka kuliko sasa unavyofungua kinywa kumkemea NABII MPINA.

Amebarikiwa sana NABII MPINA Kwa kuwa amesimama upande wa KWELI na HAKI.

Mungu ibariki nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿, Amen

Source: Uhondo Tv.

Karibuni 🙏
Ukoo wa panya 😂 nakushangaa unavowaamini hao chama cha mambuzi
 
Mungu ibariki nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA [emoji1241], Amen

Source: Uhondo Tv.

Karibuni [emoji120]
Gwajima kwenye issue ya Mpina kajidhalilisha sana,na bbada ya kauli yake kajuta sana
 
Salaam, Shalom!!

Leo naongea na Ndugu Gwajima kama kiongozi na mwakilishi wa wananchi, na SI kama Askofu madhabahuni.

Nimekusikia ukidai na kumtuhumu Ndugu Mpina kuwa mwongo bila kuthibitisha UONGO huo Kwa data na ushahidi kama alioutoa ndugu Mpina hadharani.

Umeenda mbali zaidi na Kutoa LAANA Kwa Ndugu Mpina ukiquote maandiko kuwa " Amelaaniwa mtu ampigaye ndugu yake Kwa Siri" Sasa Mpina na Bashe Wana undugu Gani? Nani aliyepaswa kuitwa kamati ya maadili kati ya Mpina na Bashe? Giza na Nuru lini vimewahi kuchangamana?

Leo umeungwa mkono na mtu aina ya chiembe, hiyo ni dhahiri kuwa umetoka kwenye line ya HAKI.

Ndugu Gwajima, ndugu zako ni wananchi maskini, ndugu zako ni wote wanaamini juu ya HAKI kutawala juu ya nchi,

Ndugu Gwajima huna ndugu CCM, wewe unatambulika una Damu ya Upinzani, na record Bado zipo wazi juu ya uhusika wako wa wazi kumleta Lowwassa CDM, hivyo ninakukumbusha kuwa huna mizizi CCM.

Nikupe taarifa kuwa Wananchi tumekielewa alichokisema ndugu Mpina, na ameyasema hayo Kwa Uzalendo wake Kwa nchi na hakuongozwa na chuki binafsi juu ya Waziri Bashe kama unavyodai.

HOJA zijibiwe Kwa HOJA,

Evidence ipingwe Kwa EVIDENCE SI porojo za kisiasa.

USHAURI: Ndugu Gwajima ,BUSARA ni kunyamaza, ulinyamaza kwenye sakata la DP world na ulieleweka kuliko sasa unavyofungua kinywa kumkemea NABII MPINA.

Amebarikiwa sana NABII MPINA Kwa kuwa amesimama upande wa KWELI na HAKI.

Mungu ibariki nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿, Amen

Source: Uhondo Tv.

Karibuni 🙏
Dah kila nikipita mtaani na kukuta bango la itel, nasema dah

Lakini zaidi ni ile kwa miezi kadhaa eti kiwanda hawajazalisha hata sukari kilo moja
 
Ananitafutia nini tena?
Ulidai kuwa unatafuta ofisi ya kupangisha, sasa Yeye ndugu dalali akaona fursa, ulimuahid kumchek pm, sasa kakosea anajaribu pm ambazo zimepigwa Pini!!
 
Alaaniwe askofu wa mchongo Josephat Gwajima kwa kusimama upande wa mafisadi
"Amwambiaye mtu mwovu, Wewe una haki; Kabila za watu watamlaani, taifa watamchukia. Bali kwao wakemeao furaha itakuwako; Na baraka ya kufanikiwa itawajilia" (Mithali 24:24-25)
 
Mpina: Kuna wabunge tumewapokea Kutoka upinzani, Leo wanageuka na kuanza kunishambulia na kunichongea nifukuzwe CCM, Uadilifu na Uzalendo wangu ndani ya chama, Si wa kutiliwa shaka, hivyo watapata taabu sana!!
 
Tulia atapata shida sana
 
Back
Top Bottom