Mwande na Mndewa
JF-Expert Member
- Feb 26, 2021
- 1,117
- 3,153
NDUGU NAPE POKEA MCHANGANUO WANGU WA DOLA 9 BILLIONI ALIZOKULA JPM.
Kwa hesabu zangu za darasa la saba B,Bwawa la Umeme la Mwalimu Julius Nyerere,JPM aliweka mzigo wa Usd $5 Billion,SGR Dar-Morogoro-Makutupora Dodoma JPM aliweka mzigo wa Usd $3 Billioni,SGR toka Mwanza-Isaka JPM aliweka mzigo wa Usd $ 500 Million,Ukarabati Bandari ya Dar na Mtwara Usd $400 Million
Kwa mahesabu yangu napata Usd $ 9 Billion ukizidisha kwa rate ya dola 2300 unapata,Kuna wenzangu na Mimi la sita b wanasema JPM alikopa Trillioni 78 Sasa kama kakopa Trillion 78 na deni letu ni Trillion 64 toka tupate Uhuru😀😀 nashindwa kumuelewa huyu la sita b,
Nape kasema JPM kakopa Usd $ 9 Billion,hii ya Nape nimempa mchanganuo hapo juu kwa hesabu zangu za darasa la saba b,hapo sikuweza Mafly Over ya Ubungo,Tazara,sijaweka Madaraja ya Baharini na Ziwa Victoria,hapo sijaweka Matrillioni ya Ndege Maboeing,Maairbus,sijaweka Maujenzi ya Mameli makubwa Ziwa Victoria,Ziwa Tanganyika,Ziwa Nyasa,Hapo sijaweka mabarabara ya Kibaha hadi Dar,Mamiradi mikubwa ya Maji ya Dar, Morogoro,Dodoma,Kigoma,Tabora na Shinyanga,Maelimu bure,Mahospitali na Mazahanati 500,Mabomba ya Mafuta ya Mahoima uko,
Nimalizie kwa kusema,Rais Magufuli is litmus Test,A measuring stick,kipimo cha Watanzania kwa kiongozi wanayemtaka,Wewe unayemtukana Rais Magufuli, Watanzania watakupima watakuweka kwenye kundi lako, Ahsante sana Wanyonge wenzangu.