Hawa watu wanaomtukana Magufuli kwamba mwizi ama ni wapumbavu, na kama sio basi ni wachawi ama vyote.
Hata shetani hawezi kuwa ruthless kama wao.
WAnajua kabisa magufuli alijenga miundo mbinni mingapi, lakini hawaoni wanachojua wao ni matusi tu!. Chaki gani hizo zaidi ya shetani? Enyi manyang'au, hata lini mtajipalia laana vichwani mwenu?
Kwa nini hakuna hata mtu anayeongelea wizi wa mabilioni ulifanywa na wafanya kazi wa hazina/wizara ya fedha kuanzia mwezi wa tatu hadi wa tano baada ya kufa Magufuli?
Kwa nini hakuna hata mtu, kuanzia waziri mkuu mwenyewe, waziri wa fedha, ama mtu yeyote anayezungumzia wizi huo? Kukaa kimya kila mtu ni dalili ya kuogopana? Ubia? au conspiracy ya kuchafua Magufuli?
Wizara ya fedha majizi, halafu tunaambiwa serikali haina fedha tunatozwa hadi kodi kwenye matumizi. Unprecedented taxation model!. Halfu mijitu imekaa kumtukana Magufuli!
Mjue Mungu yupo na atawahukumu wote hata kama mnajifanya wajanja kati ya wajinga.
Ni hawa hawa wezi wanaogawana fedha za kodi za walala hoi kwa upumbavu kama alivyouibua waziri mkuu. Mijitu hiyo hiyo inajibainisha kubana matumizi eti kulinda fedha wa wananchi na upuuzi mwingine mwingi tu. Fisi alinde bucha?
Hawako kwa maslahi ya taifa. Wangelikuwa wanataffuta maslahi ya taifa, wangeona aibu kutelekeza miradi ya serikali yenye maslahi mapana ya wanyonge. Wamewaacha solemba waTanzania wanyonge, wanamfukua Magufuli. Hawajil utawala bora wala sheria. Lakini watu hawaoni , wanabakia kutukana Magufuli. Mungu anaishi milele

NDUGU NAPE POKEA MCHANGANUO WANGU WA DOLA 9 BILLIONI ALIZOKULA JPM.
Kwa hesabu zangu za darasa la saba B,Bwawa la Umeme la Mwalimu Julius Nyerere,JPM aliweka mzigo wa Usd $5 Billion,SGR Dar-Morogoro-Makutupora Dodoma JPM aliweka mzigo wa Usd $3 Billioni,SGR toka Mwanza-Isaka JPM aliweka mzigo wa Usd $ 500 Million,Ukarabati Bandari ya Dar na Mtwara Usd $400 Million,Kwa mahesabu yangu napata Usd $ 9 Billion ukizidisha kwa rate ya dola 2300 unapata,Kuna wenzangu na Mimi la sita b wanasema JPM alikopa Trillioni 78 Sasa kama kakopa Trillion 78 na deni letu ni Trillion 64 toka tupate Uhuru😀😀 nashindwa kumuelewa huyu la sita b,
Nape kasema JPM kakopa Usd $ 9 Billion,hii ya Nape nimempa mchanganuo hapo juu kwa hesabu zangu za darasa la saba b,hapo sikuweza Mafly Over ya Ubungo,Tazara,sijaweka Madaraja ya Baharini na Ziwa Victoria,hapo sijaweka Matrillioni ya Ndege Maboeing,Maairbus,sijaweka Maujenzi ya Mameli makubwa Ziwa Victoria,Ziwa Tanganyika,Ziwa Nyasa,Hapo sijaweka mabarabara ya Kibaha hadi Dar,Mamiradi mikubwa ya Maji ya Dar, Morogoro,Dodoma,Kigoma,Tabora na Shinyanga,Maelimu bure,Mahospitali na Mazahanati 500,Mabomba ya Mafuta ya Mahoima uko,
Nimalizie kwa kusema,Rais Magufuli is litmus Test,A measuring stick,kipimo cha Watanzania kwa kiongozi wanayemtaka,Wewe unayemtukana Rais Magufuli, Watanzania watakupima watakuweka kwenye kundi lako, Ahsante sana Wanyonge wenzangu.