Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Mwigulu alikua anamwambia nani?Unamwambia nani sasa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwigulu alikua anamwambia nani?Unamwambia nani sasa!
Hovyoooo. Kamfufue uzikwe weweNDUGU NAPE POKEA MCHANGANUO WANGU WA DOLA 9 BILLIONI ALIZOKULA JPM.
Kwa hesabu zangu za darasa la saba B,Bwawa la Umeme la Mwalimu Julius Nyerere,JPM aliweka mzigo wa Usd $5 Billion,SGR Dar-Morogoro-Makutupora Dodoma JPM aliweka mzigo wa Usd $3 Billioni,SGR toka Mwanza-Isaka JPM aliweka mzigo wa Usd $ 500 Million,Ukarabati Bandari ya Dar na Mtwara Usd $400 Million
Kwa mahesabu yangu napata Usd $ 9 Billion ukizidisha kwa rate ya dola 2300 unapata,Kuna wenzangu na Mimi la sita b wanasema JPM alikopa Trillioni 78 Sasa kama kakopa Trillion 78 na deni letu ni Trillion 64 toka tupate Uhuru😀😀 nashindwa kumuelewa huyu la sita b,
Nape kasema JPM kakopa Usd $ 9 Billion,hii ya Nape nimempa mchanganuo hapo juu kwa hesabu zangu za darasa la saba b,hapo sikuweza Mafly Over ya Ubungo,Tazara,sijaweka Madaraja ya Baharini na Ziwa Victoria,hapo sijaweka Matrillioni ya Ndege Maboeing,Maairbus,sijaweka Maujenzi ya Mameli makubwa Ziwa Victoria,Ziwa Tanganyika,Ziwa Nyasa,Hapo sijaweka mabarabara ya Kibaha hadi Dar,Mamiradi mikubwa ya Maji ya Dar, Morogoro,Dodoma,Kigoma,Tabora na Shinyanga,Maelimu bure,Mahospitali na Mazahanati 500,Mabomba ya Mafuta ya Mahoima uko,
Nimalizie kwa kusema,Rais Magufuli is litmus Test,A measuring stick,kipimo cha Watanzania kwa kiongozi wanayemtaka,Wewe unayemtukana Rais Magufuli, Watanzania watakupima watakuweka kwenye kundi lako, Ahsante sana Wanyonge wenzangu.
NDUGU NAPE POKEA MCHANGANUO WANGU WA DOLA 9 BILLIONI ALIZOKULA JPM.

Ukishakopa Pesa, inakua yako kwasababu lazima ulipeKumbe tumejenga kwa mkopo tena, si tuliambiwa ni mapato ya ndani
Hapo uliposema kiongozi waTanzania wanaemtaka ndipo umekosea. Jisemee weweNimalizie kwa kusema,Rais Magufuli is litmus Test,A measuring stick,kipimo cha Watanzania kwa kiongozi wanayemtaka,Wewe unayemtukana Rais Magufuli, Watanzania watakupima watakuweka kwenye kundi lako, Ahsante sana Wanyonge wenzangu.
Ndio ujinga mlifundishwa na mwendawazimu. Badala ya kusema tunajenga mradi huu kwa mkopo unasema tunajenga kwa pesa zetu.Ukishakopa Pesa, inakua yako kwasababu lazima ulipe
Unless huna basic financial literacy
UASIANGAE NA WACHAWI, MCHAWI ASIPOKULOGA NA NDUMBA ATAKULOGA KWA MANENO.NDUGU NAPE POKEA MCHANGANUO WANGU WA DOLA 9 BILLIONI ALIZOKULA JPM.
Kwa hesabu zangu za darasa la saba B,Bwawa la Umeme la Mwalimu Julius Nyerere,JPM aliweka mzigo wa Usd $5 Billion,SGR Dar-Morogoro-Makutupora Dodoma JPM aliweka mzigo wa Usd $3 Billioni,SGR toka Mwanza-Isaka JPM aliweka mzigo wa Usd $ 500 Million,Ukarabati Bandari ya Dar na Mtwara Usd $400 Million
Kwa mahesabu yangu napata Usd $ 9 Billion ukizidisha kwa rate ya dola 2300 unapata,Kuna wenzangu na Mimi la sita b wanasema JPM alikopa Trillioni 78 Sasa kama kakopa Trillion 78 na deni letu ni Trillion 64 toka tupate Uhuru😀😀 nashindwa kumuelewa huyu la sita b,
Nape kasema JPM kakopa Usd $ 9 Billion,hii ya Nape nimempa mchanganuo hapo juu kwa hesabu zangu za darasa la saba b,hapo sikuweza Mafly Over ya Ubungo,Tazara,sijaweka Madaraja ya Baharini na Ziwa Victoria,hapo sijaweka Matrillioni ya Ndege Maboeing,Maairbus,sijaweka Maujenzi ya Mameli makubwa Ziwa Victoria,Ziwa Tanganyika,Ziwa Nyasa,Hapo sijaweka mabarabara ya Kibaha hadi Dar,Mamiradi mikubwa ya Maji ya Dar, Morogoro,Dodoma,Kigoma,Tabora na Shinyanga,Maelimu bure,Mahospitali na Mazahanati 500,Mabomba ya Mafuta ya Mahoima uko,
Nimalizie kwa kusema,Rais Magufuli is litmus Test,A measuring stick,kipimo cha Watanzania kwa kiongozi wanayemtaka,Wewe unayemtukana Rais Magufuli, Watanzania watakupima watakuweka kwenye kundi lako, Ahsante sana Wanyonge wenzangu.
Pamoja na yote mwendazake alitumia pesa vibayaNDUGU NAPE POKEA MCHANGANUO WANGU WA DOLA 9 BILLIONI ALIZOKULA JPM.

After all that happened in the fourth regime we needed such a leader!Hapo uliposema kiongozi waTanzania wanaemtaka ndipo umekosea. Jisemee wewe
Wengine kuna ishu nyingine nyingi tunataka majibu yake:
1. Been Saanane yuko wapi? Tungependa apatikane ahojiwe kuhusu aliyosema juu ya PhD ya Magufuli, na sio apotezwe.
2. Tungependa kujua kwanini cag Prof Assad alisitishwa kazi kabla muda wake haujaisha. Na je I'll 1.5T aliyosema haionekani (= imeibiwa) ilienda wapi?
3. Tungependa kujua kina nani walimpiga risasi Tundu Lissu. Uchunguzi uliofanyika kubaini waliefanya huo uhalifu? CCTV camera zilizokuwa kwenye makazi ya Lissu na viongozi wengine nani vamezificha?
4. Tungependa kujua David Mwangosi yuko wapi?
5. Tungependa kujua mwaka 2019 Tanzania kulikua na covid19 au ugonjwa haukuwepo? Je ni kweli sample za mapapai, oil chafu etc zilipatikana na covid19?
6. Tungependa kujua kwanini audit ya miradi/mashirika eg atcl haikufanyika? Je taratibu za manunuzi ya umma zilifuatwa?
7. Etc etc.
In short my friend, Magufuli was a bad leader. A dictator. A sadist. One man army.
Remember as a nation we have been building development projects every time since independence.
Kuna baadhi ya wakatoliki walianzisha eti mchakato Magufuli awe mtakatifu. This is ridiculous.
Mijitu miongo kama baba yao.Daraja la baharini ni msaada wa serikali ya Korea kusini
VERY STD 6 geniusNDUGU NAPE POKEA MCHANGANUO WANGU WA DOLA 9 BILLIONI ALIZOKULA JPM.
Kwa hesabu zangu za darasa la saba B,Bwawa la Umeme la Mwalimu Julius Nyerere,JPM aliweka mzigo wa Usd $5 Billion,SGR Dar-Morogoro-Makutupora Dodoma JPM aliweka mzigo wa Usd $3 Billioni,SGR toka Mwanza-Isaka JPM aliweka mzigo wa Usd $ 500 Million,Ukarabati Bandari ya Dar na Mtwara Usd $400 Million
Kwa mahesabu yangu napata Usd $ 9 Billion ukizidisha kwa rate ya dola 2300 unapata,Kuna wenzangu na Mimi la sita b wanasema JPM alikopa Trillioni 78 Sasa kama kakopa Trillion 78 na deni letu ni Trillion 64 toka tupate Uhuru😀😀 nashindwa kumuelewa huyu la sita b,
Nape kasema JPM kakopa Usd $ 9 Billion,hii ya Nape nimempa mchanganuo hapo juu kwa hesabu zangu za darasa la saba b,hapo sikuweza Mafly Over ya Ubungo,Tazara,sijaweka Madaraja ya Baharini na Ziwa Victoria,hapo sijaweka Matrillioni ya Ndege Maboeing,Maairbus,sijaweka Maujenzi ya Mameli makubwa Ziwa Victoria,Ziwa Tanganyika,Ziwa Nyasa,Hapo sijaweka mabarabara ya Kibaha hadi Dar,Mamiradi mikubwa ya Maji ya Dar, Morogoro,Dodoma,Kigoma,Tabora na Shinyanga,Maelimu bure,Mahospitali na Mazahanati 500,Mabomba ya Mafuta ya Mahoima uko,
Nimalizie kwa kusema,Rais Magufuli is litmus Test,A measuring stick,kipimo cha Watanzania kwa kiongozi wanayemtaka,Wewe unayemtukana Rais Magufuli, Watanzania watakupima watakuweka kwenye kundi lako, Ahsante sana Wanyonge wenzangu.
Matapeli ya mwendakuzimu + MaCCM ni hamnazo.Ulivyotaja Bomba la mafuta nikajua wewe ni mashabiki tu wala huji lolote
Alikuwa ananishangaza sana,hats utaalam wa kurecharge betri hatuna,wanaojua unawatukana eti vita ya kiuchumi.CAG Kicheere ametuahidi ataupiga mwingi hadi watu washangae kwenye hizi Trilioni 9 za mabeberu.
Mchana unawatukana usiku unaenda kukopa kwao.
Mchana unawatukana kumbe ni wao waliookoa maisha yako kwa kufunga betri hapo kifuani.
Njia ya muongo ni fupi.
Nina mtoto wa kike sema bado mdogo sana... ungeweza kuwa mkwe wangu... wenye macho lakini hawaoni...NDUGU NAPE POKEA MCHANGANUO WANGU WA DOLA 9 BILLIONI ALIZOKULA JPM.
Kwa hesabu zangu za darasa la saba B,Bwawa la Umeme la Mwalimu Julius Nyerere,JPM aliweka mzigo wa Usd $5 Billion,SGR Dar-Morogoro-Makutupora Dodoma JPM aliweka mzigo wa Usd $3 Billioni,SGR toka Mwanza-Isaka JPM aliweka mzigo wa Usd $ 500 Million,Ukarabati Bandari ya Dar na Mtwara Usd $400 Million
Kwa mahesabu yangu napata Usd $ 9 Billion ukizidisha kwa rate ya dola 2300 unapata,Kuna wenzangu na Mimi la sita b wanasema JPM alikopa Trillioni 78 Sasa kama kakopa Trillion 78 na deni letu ni Trillion 64 toka tupate Uhuru😀😀 nashindwa kumuelewa huyu la sita b,
Nape kasema JPM kakopa Usd $ 9 Billion,hii ya Nape nimempa mchanganuo hapo juu kwa hesabu zangu za darasa la saba b,hapo sikuweza Mafly Over ya Ubungo,Tazara,sijaweka Madaraja ya Baharini na Ziwa Victoria,hapo sijaweka Matrillioni ya Ndege Maboeing,Maairbus,sijaweka Maujenzi ya Mameli makubwa Ziwa Victoria,Ziwa Tanganyika,Ziwa Nyasa,Hapo sijaweka mabarabara ya Kibaha hadi Dar,Mamiradi mikubwa ya Maji ya Dar, Morogoro,Dodoma,Kigoma,Tabora na Shinyanga,Maelimu bure,Mahospitali na Mazahanati 500,Mabomba ya Mafuta ya Mahoima uko,
Nimalizie kwa kusema,Rais Magufuli is litmus Test,A measuring stick,kipimo cha Watanzania kwa kiongozi wanayemtaka,Wewe unayemtukana Rais Magufuli, Watanzania watakupima watakuweka kwenye kundi lako, Ahsante sana Wanyonge wenzangu.
Alipunguza mshahara wake!!!Magufuli is my hero! Nani anaweza kupunguza mshahara wake, ukikopa ukafanya maendeleo kuna ubaya gani? Huyu bwana aache maneno mingi, mbona alikuwa kimya sanaa imekuwaje tena!
Unakimbilia wapi??, kwani wewe ndo CAG? Mbona unam-priempty CAG??NDUGU NAPE POKEA MCHANGANUO WANGU WA DOLA 9 BILLIONI ALIZOKULA JPM.
Kwa hesabu zangu za darasa la saba B,Bwawa la Umeme la Mwalimu Julius Nyerere,JPM aliweka mzigo wa Usd $5 Billion,SGR Dar-Morogoro-Makutupora Dodoma JPM aliweka mzigo wa Usd $3 Billioni,SGR toka Mwanza-Isaka JPM aliweka mzigo wa Usd $ 500 Million,Ukarabati Bandari ya Dar na Mtwara Usd $400 Million
Kwa mahesabu yangu napata Usd $ 9 Billion ukizidisha kwa rate ya dola 2300 unapata,Kuna wenzangu na Mimi la sita b wanasema JPM alikopa Trillioni 78 Sasa kama kakopa Trillion 78 na deni letu ni Trillion 64 toka tupate Uhuru😀😀 nashindwa kumuelewa huyu la sita b,
Nape kasema JPM kakopa Usd $ 9 Billion,hii ya Nape nimempa mchanganuo hapo juu kwa hesabu zangu za darasa la saba b,hapo sikuweza Mafly Over ya Ubungo,Tazara,sijaweka Madaraja ya Baharini na Ziwa Victoria,hapo sijaweka Matrillioni ya Ndege Maboeing,Maairbus,sijaweka Maujenzi ya Mameli makubwa Ziwa Victoria,Ziwa Tanganyika,Ziwa Nyasa,Hapo sijaweka mabarabara ya Kibaha hadi Dar,Mamiradi mikubwa ya Maji ya Dar, Morogoro,Dodoma,Kigoma,Tabora na Shinyanga,Maelimu bure,Mahospitali na Mazahanati 500,Mabomba ya Mafuta ya Mahoima uko,
Nimalizie kwa kusema,Rais Magufuli is litmus Test,A measuring stick,kipimo cha Watanzania kwa kiongozi wanayemtaka,Wewe unayemtukana Rais Magufuli, Watanzania watakupima watakuweka kwenye kundi lako, Ahsante sana Wanyonge wenzangu.
Kumbe ule uchumi wa kati maana yake kila mwananchi hata aliyezaliwa leo anadaiwa TZS 1,066,666.67 (64,000,000,000,000)/60,000,000 kwa mujibu wa darasa la 4C.NDUGU NAPE POKEA MCHANGANUO WANGU WA DOLA 9 BILLIONI ALIZOKULA JPM.