Janjaweed
JF-Expert Member
- Jan 20, 2010
- 13,153
- 10,670
Jesus christNdio ujinga mlifundishwa na mwendawazimu. Badala ya kusema tunajenga mradi huu kwa mkopo unasema tunajenga kwa pesa zetu.
Are you this stupid?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jesus christNdio ujinga mlifundishwa na mwendawazimu. Badala ya kusema tunajenga mradi huu kwa mkopo unasema tunajenga kwa pesa zetu.
NDUGU NAPE POKEA MCHANGANUO WANGU WA DOLA 9 BILLIONI ALIZOKULA JPM.
Kwa hesabu zangu za darasa la saba B,Bwawa la Umeme la Mwalimu Julius Nyerere,JPM aliweka mzigo wa Usd $5 Billion,SGR Dar-Morogoro-Makutupora Dodoma JPM aliweka mzigo wa Usd $3 Billioni,SGR toka Mwanza-Isaka JPM aliweka mzigo wa Usd $ 500 Million,Ukarabati Bandari ya Dar na Mtwara Usd $400 Million
Kwa mahesabu yangu napata Usd $ 9 Billion ukizidisha kwa rate ya dola 2300 unapata,Kuna wenzangu na Mimi la sita b wanasema JPM alikopa Trillioni 78 Sasa kama kakopa Trillion 78 na deni letu ni Trillion 64 toka tupate Uhuru[emoji3][emoji3] nashindwa kumuelewa huyu la sita b,
Nape kasema JPM kakopa Usd $ 9 Billion,hii ya Nape nimempa mchanganuo hapo juu kwa hesabu zangu za darasa la saba b,hapo sikuweza Mafly Over ya Ubungo,Tazara,sijaweka Madaraja ya Baharini na Ziwa Victoria,hapo sijaweka Matrillioni ya Ndege Maboeing,Maairbus,sijaweka Maujenzi ya Mameli makubwa Ziwa Victoria,Ziwa Tanganyika,Ziwa Nyasa,Hapo sijaweka mabarabara ya Kibaha hadi Dar,Mamiradi mikubwa ya Maji ya Dar, Morogoro,Dodoma,Kigoma,Tabora na Shinyanga,Maelimu bure,Mahospitali na Mazahanati 500,Mabomba ya Mafuta ya Mahoima uko,
Nimalizie kwa kusema,Rais Magufuli is litmus Test,A measuring stick,kipimo cha Watanzania kwa kiongozi wanayemtaka,Wewe unayemtukana Rais Magufuli, Watanzania watakupima watakuweka kwenye kundi lako, Ahsante sana Wanyonge wenzangu.
Waew mshenzi tu, aliitangqzia dunia kuwa hakopi anajenga kwa pesa yake. Mbona una mahabaaa ya kipambaf???usijitoe ufahamu weweNDUGU NAPE POKEA MCHANGANUO WANGU WA DOLA 9 BILLIONI ALIZOKULA JPM.
Kwa hesabu zangu za darasa la saba B,Bwawa la Umeme la Mwalimu Julius Nyerere,JPM aliweka mzigo wa Usd $5 Billion,SGR Dar-Morogoro-Makutupora Dodoma JPM aliweka mzigo wa Usd $3 Billioni,SGR toka Mwanza-Isaka JPM aliweka mzigo wa Usd $ 500 Million,Ukarabati Bandari ya Dar na Mtwara Usd $400 Million
Kwa mahesabu yangu napata Usd $ 9 Billion ukizidisha kwa rate ya dola 2300 unapata,Kuna wenzangu na Mimi la sita b wanasema JPM alikopa Trillioni 78 Sasa kama kakopa Trillion 78 na deni letu ni Trillion 64 toka tupate Uhuru[emoji3][emoji3] nashindwa kumuelewa huyu la sita b,
Nape kasema JPM kakopa Usd $ 9 Billion,hii ya Nape nimempa mchanganuo hapo juu kwa hesabu zangu za darasa la saba b,hapo sikuweza Mafly Over ya Ubungo,Tazara,sijaweka Madaraja ya Baharini na Ziwa Victoria,hapo sijaweka Matrillioni ya Ndege Maboeing,Maairbus,sijaweka Maujenzi ya Mameli makubwa Ziwa Victoria,Ziwa Tanganyika,Ziwa Nyasa,Hapo sijaweka mabarabara ya Kibaha hadi Dar,Mamiradi mikubwa ya Maji ya Dar, Morogoro,Dodoma,Kigoma,Tabora na Shinyanga,Maelimu bure,Mahospitali na Mazahanati 500,Mabomba ya Mafuta ya Mahoima uko,
Nimalizie kwa kusema,Rais Magufuli is litmus Test,A measuring stick,kipimo cha Watanzania kwa kiongozi wanayemtaka,Wewe unayemtukana Rais Magufuli, Watanzania watakupima watakuweka kwenye kundi lako, Ahsante sana Wanyonge wenzangu.
Hoja ni kuwa jpm, alikuwa akiwaaminisha watu kuwa hakopi pesa bali ni pesa zinatotokana na makusanyo yetu, na ndio maana alikuwa akiulizwa inakuwaje sasa mbona deni la taifa linazidi kukua, anakuwa mkali!!kama una pesa yako inayojitoshereza utakwenda bank kuchukua mkopo wa kujenga nyumba?Unavyojenga nyumba yako kwa hela ya uliyotoa benki.
Hapo unakuwa umetumia hela yako au ya benki?
Tutakuwa tumepigwa Bilioni 9 tumiradi twenyewe ndo huto tu SGR, kabwawa ka Rufiji, tundege, tuflyover kweli? afadhali wao na JK walikopa Bilioni 7 wakaanza kukwetua uwanja wa ndege wa Dar na kumwaga mchanga na kokoto pale kwenye m-flyover wa TAZARA.Mbona yeye alituaminisha ni fedha zetu za ndani sasa imekuwaje tena fedha za mabeberu zitujengee vitu vyetu aakati Tanzania ni tajiri?
Halafu hoja sio mchanganuo wa mkopo bali uchunguzi ufanyike kubaini kipi kilikuwa kinafichwa hadi mikopo inakopwa gizani?Isije kuwa tumepigwa.
Mkuu sio in bilions ni milions$$$NDUGU NAPE POKEA MCHANGANUO WANGU WA DOLA 9 BILLIONI ALIZOKULA JPM.
Kwa hesabu zangu za darasa la saba B,Bwawa la Umeme la Mwalimu Julius Nyerere,JPM aliweka mzigo wa Usd $5 Billion,SGR Dar-Morogoro-Makutupora Dodoma JPM aliweka mzigo wa Usd $3 Billioni,SGR toka Mwanza-Isaka JPM aliweka mzigo wa Usd $ 500 Million,Ukarabati Bandari ya Dar na Mtwara Usd $400 Million
Kwa mahesabu yangu napata Usd $ 9 Billion ukizidisha kwa rate ya dola 2300 unapata,Kuna wenzangu na Mimi la sita b wanasema JPM alikopa Trillioni 78 Sasa kama kakopa Trillion 78 na deni letu ni Trillion 64 toka tupate Uhuru[emoji3][emoji3] nashindwa kumuelewa huyu la sita b,
Nape kasema JPM kakopa Usd $ 9 Billion,hii ya Nape nimempa mchanganuo hapo juu kwa hesabu zangu za darasa la saba b,hapo sikuweza Mafly Over ya Ubungo,Tazara,sijaweka Madaraja ya Baharini na Ziwa Victoria,hapo sijaweka Matrillioni ya Ndege Maboeing,Maairbus,sijaweka Maujenzi ya Mameli makubwa Ziwa Victoria,Ziwa Tanganyika,Ziwa Nyasa,Hapo sijaweka mabarabara ya Kibaha hadi Dar,Mamiradi mikubwa ya Maji ya Dar, Morogoro,Dodoma,Kigoma,Tabora na Shinyanga,Maelimu bure,Mahospitali na Mazahanati 500,Mabomba ya Mafuta ya Mahoima uko,
Nimalizie kwa kusema,Rais Magufuli is litmus Test,A measuring stick,kipimo cha Watanzania kwa kiongozi wanayemtaka,Wewe unayemtukana Rais Magufuli, Watanzania watakupima watakuweka kwenye kundi lako, Ahsante sana Wanyonge wenzangu.
Ndugu yangu NAPE,Hapo uliposema kiongozi waTanzania wanaemtaka ndipo umekosea. Jisemee wewe
Wengine kuna ishu nyingine nyingi tunataka majibu yake:
1. Been Saanane yuko wapi? Tungependa apatikane ahojiwe kuhusu aliyosema juu ya PhD ya Magufuli, na sio apotezwe.
2. Tungependa kujua kwanini cag Prof Assad alisitishwa kazi kabla muda wake haujaisha. Na je I'll 1.5T aliyosema haionekani (= imeibiwa) ilienda wapi?
3. Tungependa kujua kina nani walimpiga risasi Tundu Lissu. Uchunguzi uliofanyika kubaini waliefanya huo uhalifu? CCTV camera zilizokuwa kwenye makazi ya Lissu na viongozi wengine nani vamezificha?
4. Tungependa kujua David Mwangosi yuko wapi?
5. Tungependa kujua mwaka 2019 Tanzania kulikua na covid19 au ugonjwa haukuwepo? Je ni kweli sample za mapapai, oil chafu etc zilipatikana na covid19?
6. Tungependa kujua kwanini audit ya miradi/mashirika eg atcl haikufanyika? Je taratibu za manunuzi ya umma zilifuatwa?
7. Etc etc.
In short my friend, Magufuli was a bad leader. A dictator. A sadist. One man army.
Remember as a nation we have been building development projects every time since independence.
Kuna baadhi ya wakatoliki walianzisha eti mchakato Magufuli awe mtakatifu. This is ridiculous.
Ingependeza ungejibu hoja moja moja. Na me mi sio Nape.Ndugu yangu NAPE,
Rais Magufuli kafa,whatever he was it has gone with him, like a candle in a wind.Magufuli was not a dictator neither a sadist, Nothing.
HATRAGE Wont take you anywhere,Learn to to forgive and forget ,its good for your health.
Forget there is no Comeback.
Wewe huelewi.Uchunguzi ufanyike kwanini mikopo ilichukuliwa kimya kimya huku tukidanganywa ni fedha za ndani.Issue sio miradi iliyoanzishwa bali nini kimejificha hadi kupelekea mikopo ya gizani?Tutakuwa tumepigwa Bilioni 9 tumiradi twenyewe ndo huto tu SGR, kabwawa ka Rufiji, tundege, tuflyover kweli? afadhali wao na JK walikopa Bilioni 7 wakaanza kukwetua uwanja wa ndege wa Dar na kumwaga mchanga na kokoto pale kwenye m-flyover wa TAZARA.
Tuchunguze tu!
Nakuunga mkono hata tumiradi twenyewe tunaonesha tumepigwa. we Bil 9 tumiradi twenyewe tu-bwawa na tu-SGR, tuflyover na tundege tundege tu?Wewe huelewi.Uchunguzi ufanyike kwanini mikopo ilichukuliwa kimya kimya huku tukidanganywa ni fedha za ndani.Issue sio miradi iliyoanzishwa bali nini kimejificha hadi kupelekea mikopo ya gizani?
Hapakuwa na nia ovu kukopa kwa siri?
Usijumlisha inferiority complex yako na watu wengine, we sema ningependa kujua(wewe kama wewe).Ingependeza ungejibu hoja moja moja. Na me mi sio Nape.
1. Been Saanane yuko wapi? Tungependa apatikane ahojiwe kuhusu aliyosema juu ya PhD ya Magufuli, na sio apotezwe.
2. Tungependa kujua kwanini cag Prof Assad alisitishwa kazi kabla muda wake haujaisha. Na je I'll 1.5T aliyosema haionekani (= imeibiwa) ilienda wapi?
3. Tungependa kujua kina nani walimpiga risasi Tundu Lissu. Uchunguzi uliofanyika kubaini waliefanya huo uhalifu? CCTV camera zilizokuwa kwenye makazi ya Lissu na viongozi wengine nani vamezificha?
4. Tungependa kujua David Mwangosi yuko wapi?
5. Tungependa kujua mwaka 2019 Tanzania kulikua na covid19 au ugonjwa haukuwepo? Je ni kweli sample za mapapai, oil chafu etc zilipatikana na covid19?
6. Tungependa kujua kwanini audit ya miradi/mashirika eg atcl haikufanyika? Je taratibu za manunuzi ya umma zilifuatwa?
7. Etc etc.
Ndo hivyo yaani jamaa alikuwa msanii sana ila kwa ambao hawakumjua aliwadanganya kwa gia ya wanyonge.Nakuunga mkono hata tumiradi twenyewe tunaonesha tumepigwa. we Bil 9 tumiradi twenyewe tu-bwawa na tu-SGR, tuflyover na tundege tundege tu?
Wewe ni mmoja wa watu wa hovyo wa taifa hili. Unayemtetea alimaanisha kuwa tunaweza kufanya miradi hii wenyewe kwa fedha zetu wenyewe kupitia kodi kwa sababu sisi ni nchi tajiri!! aliposema "fedha za ndani" alimaanisha kile kile kinachosemwa bungeni kama "makusanyo". JPM alimaanisha fedha tunazo za miradi hii (kwa makusanyo ya kila mwaka mpaka miradi kukamilika). Kumbe hatukuwa na fedha ndio maana akakopa ili tulipe kutoka kwenye makusanyo!!Huna akili kabisa.
Mkopo utalipwa na sisi kwa kodi zetu
Umeona alama za kuuliza? Unajua maana yake?UNA FUNZA KICHWANI
Unakakumbuka kale kamkataba ka Jana Kati ya TANESCO NA WAHINDI, hicho ndio watanzania mnakitaka,msidhani kumkashifu Magu, wasukuma kutawasaidia kitu,wanaulaumu mwezi ili wote mtizame juu mkija kushusha macho chini nyama yote itakuwa imevuja umebaki mchuzi😆😆😆😆Si uache CAG afanye kazi yake?
Hakuna usukuma kwa sasa, nchi iko mokono salama syo ile ya fisadi wa kisukuma
Mkopo ni mkopo tu; sio hela za ndani. Mkopaji unaweza ukashindwa kulipa ukasamehewa au ukapunguziwa deni na/au ukarahisishiwa masharti ya kulipa au ukafilisiwa kabisa. Utaweza kudai umetumia hela zako (sio za ndani) ukimaliza kulipa deni.Huna akili kabisa.
Mkopo utalipwa na sisi kwa kodi zetu
Na yeye tutampima kwa pesa ile Jimbo anayopewa Mbunge.NDUGU NAPE POKEA MCHANGANUO WANGU WA DOLA 9 BILLIONI ALIZOKULA JPM.
Kwa hesabu zangu za darasa la saba B,Bwawa la Umeme la Mwalimu Julius Nyerere,JPM aliweka mzigo wa Usd $5 Billion,SGR Dar-Morogoro-Makutupora Dodoma JPM aliweka mzigo wa Usd $3 Billioni,SGR toka Mwanza-Isaka JPM aliweka mzigo wa Usd $ 500 Million,Ukarabati Bandari ya Dar na Mtwara Usd $400 Million
Kwa mahesabu yangu napata Usd $ 9 Billion ukizidisha kwa rate ya dola 2300 unapata,Kuna wenzangu na Mimi la sita b wanasema JPM alikopa Trillioni 78 Sasa kama kakopa Trillion 78 na deni letu ni Trillion 64 toka tupate Uhuru😀😀 nashindwa kumuelewa huyu la sita b,
Nape kasema JPM kakopa Usd $ 9 Billion,hii ya Nape nimempa mchanganuo hapo juu kwa hesabu zangu za darasa la saba b,hapo sikuweza Mafly Over ya Ubungo,Tazara,sijaweka Madaraja ya Baharini na Ziwa Victoria,hapo sijaweka Matrillioni ya Ndege Maboeing,Maairbus,sijaweka Maujenzi ya Mameli makubwa Ziwa Victoria,Ziwa Tanganyika,Ziwa Nyasa,Hapo sijaweka mabarabara ya Kibaha hadi Dar,Mamiradi mikubwa ya Maji ya Dar, Morogoro,Dodoma,Kigoma,Tabora na Shinyanga,Maelimu bure,Mahospitali na Mazahanati 500,Mabomba ya Mafuta ya Mahoima uko,
Nimalizie kwa kusema,Rais Magufuli is litmus Test,A measuring stick,kipimo cha Watanzania kwa kiongozi wanayemtaka,Wewe unayemtukana Rais Magufuli, Watanzania watakupima watakuweka kwenye kundi lako, Ahsante sana Wanyonge wenzangu.
Liishe hili kwanzaNa yeye tutampima kwa pesa ile Jimbo anayopewa Mbunge.
Tangu awe Mbunge kasaidiaje jamii.
Chuki tu.
Utasubiri sana.Liishe hili kwanza