Ndugu Nape pokea mchanganuo wangu wa dola 9 billioni alizokula Magufuli

Hawa watu wanaomtukana Magufuli kwamba mwizi ama ni wapumbavu, na kama sio basi ni wachawi ama vyote.
Hata shetani hawezi kuwa ruthless kama wao.

WAnajua kabisa magufuli alijenga miundo mbinni mingapi, lakini hawaoni wanachojua wao ni matusi tu!. Chaki gani hizo zaidi ya shetani? Enyi manyang'au, hata lini mtajipalia laana vichwani mwenu?

Kwa nini hakuna hata mtu anayeongelea wizi wa mabilioni ulifanywa na wafanya kazi wa hazina/wizara ya fedha kuanzia mwezi wa tatu hadi wa tano baada ya kufa Magufuli?

Kwa nini hakuna hata mtu, kuanzia waziri mkuu mwenyewe, waziri wa fedha, ama mtu yeyote anayezungumzia wizi huo? Kukaa kimya kila mtu ni dalili ya kuogopana? Ubia? au conspiracy ya kuchafua Magufuli?

Wizara ya fedha majizi, halafu tunaambiwa serikali haina fedha tunatozwa hadi kodi kwenye matumizi. Unprecedented taxation model!. Halfu mijitu imekaa kumtukana Magufuli!

Mjue Mungu yupo na atawahukumu wote hata kama mnajifanya wajanja kati ya wajinga.

Ni hawa hawa wezi wanaogawana fedha za kodi za walala hoi kwa upumbavu kama alivyouibua waziri mkuu. Mijitu hiyo hiyo inajibainisha kubana matumizi eti kulinda fedha wa wananchi na upuuzi mwingine mwingi tu. Fisi alinde bucha?

Hawako kwa maslahi ya taifa. Wangelikuwa wanataffuta maslahi ya taifa, wangeona aibu kutelekeza miradi ya serikali yenye maslahi mapana ya wanyonge. Wamewaacha solemba waTanzania wanyonge, wanamfukua Magufuli. Hawajil utawala bora wala sheria. Lakini watu hawaoni , wanabakia kutukana Magufuli. Mungu anaishi milele



 
Hawa wanaokuaminisha kwamba Magufli alikuwa mbaya, ndio hawa hawa waliomwabudu hata kumfitinisha na Mungu. Hawa hawa ndio wwaliokuletea wakikuambia huyu ni jembe anafaa kuwa raisi. Hawa hawa ndiyo waliokuwa wanasema Raisi wetu tumepata tena tumwongezee muda.

Unaweza kuniambia lipi katika haya nisa sahi? La leo ama la jana? Kwa kigezo gani?
Kama ninelikuwa niko kichwan kwako nimeliamini waliyoyasema wakati yuko hai. Yanayobadilika baada ya hapo ni umbea na uzandiki. Kwa nini miradi sasa haiendelei?
CCM ni janga la taifa.
 
Wasiona alichokifanya JPM kwenye nchi hii ni kipofu nayefanana na Nape aliyekwenda Ikulu akilia akiwa anatembea kwa miguu
 
Mchanganuo wa bilioni 9 unauweka kwenye paragraph 3 sio??? Nyie ndio mnazidi kufanya tunapata hasira ya kuchunguza ufisadi zaidi .
 
Hiyo miradi unayoitaja hsijakamilika na pia hsijalipiwa 100 %. Mahesabu yako yangekuwa na mashiko kama ingekuwa imelipiwa upfront.
 
Na ile miradi aliyojenga kwa pesa za ndani ni tofauti na hii au ni hii?? 🤣🤣🤣🤣
 
Akili za wasukuma fupi sana,yaani hapo mwenyewe umejenga hoja kubwa sana


Sasa pesa yako unaikopaje,unailipiaje riba,inataifishaje mali zako unaposhindwa kuilipa?

UNA FUNZA KICHWANI
 
Akili za wasukuma fupi sana,yaani hapo mwenyewe umejenga hoja kubwa sana


Sasa pesa yako unaikopaje,unailipiaje riba,inataifishaje mali zako unaposhindwa kuilipa?

UNA FUNZA KICHWANI
Wewe ndiyo una akili fupi kama mke wa amsterdam
 
Unavyojenga nyumba yako kwa hela ya uliyotoa benki.
Hapo unakuwa umetumia hela yako au ya benki?
Usipindishe maneno mkuu ,jiwe alisema wanajenga kwa fedha zao wenyewe! Hakusema kama alichukua mkopo kwenye banks za ndani...Kwa jinsi alivyokuwa anasema inamaana fedha zilitokana na kodi/tozo/dividends etc
 
Umesahau za kununua binadamu, a.k.a. wapinzani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…