Ndugu Nape pokea mchanganuo wangu wa dola 9 billioni alizokula Magufuli

Hovyoooo. Kamfufue uzikwe wewe
 

Ulivyotaja Bomba la mafuta nikajua wewe ni mashabiki tu wala huji lolote
 
Nimalizie kwa kusema,Rais Magufuli is litmus Test,A measuring stick,kipimo cha Watanzania kwa kiongozi wanayemtaka,Wewe unayemtukana Rais Magufuli, Watanzania watakupima watakuweka kwenye kundi lako, Ahsante sana Wanyonge wenzangu.
Hapo uliposema kiongozi waTanzania wanaemtaka ndipo umekosea. Jisemee wewe

Wengine kuna ishu nyingine nyingi tunataka majibu yake:
1. Been Saanane yuko wapi? Tungependa apatikane ahojiwe kuhusu aliyosema juu ya PhD ya Magufuli, na sio apotezwe.
2. Tungependa kujua kwanini cag Prof Assad alisitishwa kazi kabla muda wake haujaisha. Na je I'll 1.5T aliyosema haionekani (= imeibiwa) ilienda wapi?
3. Tungependa kujua kina nani walimpiga risasi Tundu Lissu. Uchunguzi uliofanyika kubaini waliefanya huo uhalifu? CCTV camera zilizokuwa kwenye makazi ya Lissu na viongozi wengine nani vamezificha?
4. Tungependa kujua David Mwangosi yuko wapi?
5. Tungependa kujua mwaka 2019 Tanzania kulikua na covid19 au ugonjwa haukuwepo? Je ni kweli sample za mapapai, oil chafu etc zilipatikana na covid19?
6. Tungependa kujua kwanini audit ya miradi/mashirika eg atcl haikufanyika? Je taratibu za manunuzi ya umma zilifuatwa?
7. Etc etc.
In short my friend, Magufuli was a bad leader. A dictator. A sadist. One man army.
Remember as a nation we have been building development projects every time since independence.
Kuna baadhi ya wakatoliki walianzisha eti mchakato Magufuli awe mtakatifu. This is ridiculous.
 
UASIANGAE NA WACHAWI, MCHAWI ASIPOKULOGA NA NDUMBA ATAKULOGA KWA MANENO.
 
Magufuli is my hero! Nani anaweza kupunguza mshahara wake, ukikopa ukafanya maendeleo kuna ubaya gani? Huyu bwana aache maneno mingi, mbona alikuwa kimya sanaa imekuwaje tena!
 
Pamoja na yote mwendazake alitumia pesa vibaya

Ule msafara wake tu unafikili ulikua unatumia sh ngapi?
Pesa alizokua anagawa njiani Kama njugu zilitoka bajeti ?

Vipi zile za kinunua wabunge na madiwani?

Vipi miladi mingine ,mfano uwanja wa chato,
 
Sawa ! Umechanganua Ila mwamba alituambia kuwa "TUNAJENGA KWA FEDHA ZA NDANI AMBAZO NI ZA KWETU"......Huo mkopo hakuwahi kutuambia. Wewe na NAPE MHOJIWE.
 
After all that happened in the fourth regime we needed such a leader!

Nidhamu ilikuwa hafifu katika taasisi, almost kila mtu alikuwa anajiendesha kama serikali sababu tu ana pesa za kuhonga. Kiburi kilikuwa juu sana baina ya raia sababu mahakama ilikuwa kila mtu anaweza kuitia mfukoni tu as long as ana hela za kuwatuliza mahakimu!

Kiongozi wa nchi alikuwa kwenye vacation almost all times of the year yeye ni kusafiri na kula bata tu duniani huko! Akiwa bongo ni kula bata tu viwanja vya mjini na kupiga selfie na walimbwende wa town pamoja na kuwakaza kisawa sawa.

Simlaumu Magufuli sababu upuuzi ulikuwa mwingi sana! Dhihaka zilikuwa nyingi na sio kila binadamu ana uwezo wa kuhimili kejeli na dhihaka. He did what he did sababu ya mazingira ambayo watz walijengewa na Jakaya.

Naamini Magufuli angekuja before Jakaya transition ingekuwa bora zaidi na nchi ingeendeshwa vyema sana sababu kipindi cha mkapa kulikuwa hamna upuuz upuuzi wa kila mtu kujifanya mjuaji! Waliopotezwa wengi waliponzwa na ujuaji ujuaji thus why me na wewe still tupo.
 
Yule mwendazake alivyokuwa anatufokea halafu ukiambiwa wanamzunguka na kuiba, haiingii akilini
 
VERY STD 6 genius
 
Alikuwa ananishangaza sana,hats utaalam wa kurecharge betri hatuna,wanaojua unawatukana eti vita ya kiuchumi.
Vita ya uhai na kiuchumi ipi kipaumbele.
 
Nina mtoto wa kike sema bado mdogo sana... ungeweza kuwa mkwe wangu... wenye macho lakini hawaoni...
 
Magufuli is my hero! Nani anaweza kupunguza mshahara wake, ukikopa ukafanya maendeleo kuna ubaya gani? Huyu bwana aache maneno mingi, mbona alikuwa kimya sanaa imekuwaje tena!
Alipunguza mshahara wake!!!
Loooh!!!!
Kweli mazuzu yapo mengi sana Tanzania.
 
Unakimbilia wapi??, kwani wewe ndo CAG? Mbona unam-priempty CAG??

Nape kasema anamuomba CAG akague deni la taifa jinsi lilivyokopwa na matumizi yake!
 
Kumbe ule uchumi wa kati maana yake kila mwananchi hata aliyezaliwa leo anadaiwa TZS 1,066,666.67 (64,000,000,000,000)/60,000,000 kwa mujibu wa darasa la 4C.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…