Uchaguzi 2020 Ndugu Polepole kitendo cha kusema hadharani kuwa Lissu "Siyo mwenzetu" na umepanga kumuanika siku saba za mwisho ni upuuzi mwingine katika siasa!

Uchaguzi 2020 Ndugu Polepole kitendo cha kusema hadharani kuwa Lissu "Siyo mwenzetu" na umepanga kumuanika siku saba za mwisho ni upuuzi mwingine katika siasa!

"Tunataka tushindane kwa hoja, na si kwa matusi" by JK Nyerere,
Wao wanadhani wanajenga kumbe wanabomoa kwa kuwaudhi wapiga kura
 
The way uanvyoongea hapa unaonekana kama binaadam wa maana sana lakini mambo ya ovyo anayoongea Lissu kamwe hatutayakubali.Na hata kama kuna mpumbavu mwingine anayemuunga mkono naye hatumkubali hata kama ni wewe au mwingine.Bora abakie na huo ushoga wake lakini kitendo cha kusema ataweka mali zetu rehani ili tupate hiyo misaada ya watu wake hatutaki.
Ukweli kwenu ni mambo ya hovyo wezi nyinyi
 
HAHAHA HAYA WAFUASI WA LISSU MNASIMAMA WAPI KUHUSIANA NA USHOGA SISI WAFUSIA WA MAGUFULI TUNAKEMEA USHOGAAAAA NA KUUKATAA WAFUASI WA LISUUUU JE
Siwezi kuwa mfuasi wa marehemu mwenzangu....watu malofa ndio wanakuwa wafuasi wa watu.
Mimi ni Mfuasi wa Yesu Kristo.
 
Wacha aendelee kucheza sebene la lisu mwisho wa siku anaona tarehe hii hapa ya kuapishwa lisu
IMG_20200927_005130.jpeg
 
CCM hawana hoja. Wamebananishwa kwenye kona, hawana pa kukimbilia. Utawasikia, siyo mwenzetu, mabeberu, ukoloni mamboleo... Kauli za jumla jumla tu ambazo hazina msingi. Hawawezi kuongelea ukiukwaji wa haki, Tume huru, wafanyakazi kutokupandishwa mishahara, biashara kufa, lugha chafu kwa akina mama... Hawawezi. Sasa wanategeemea wizi wao kupitia Tume, basi.
😂😂😂😂
Kama hawajibu hoja kama mnavotaka nyie wasaidieni basi kama mnavyo mfundisha Lissu cha kuongea😂😂😂😂
Nyie si wasomi nguli wa nchi? Wafundisheni majibu CCm
 
Hizi siasa za kuchafuana utu kwa mambo ya kipuuzi, kumshushia mwenzako hadhi ya ubinadamu wake na huku ukijua alikotokea ni jambo la kipuuzi na linapaswa kukemewa hadharani.

Hii inanifanya niamini kuwa hukumu za jana ndani ya mahakama ya Kisutu zilikusudiwa kupangwa kisiasa.

Watanzania tunajua kuwa Tundu Lissu hakupenda kwenda kuishi huko Ulaya ambapo mnasema ana uraia. Kilichompeleka huko ni gharama za siasa zetu mufilisi za kuwa tayari kuua pale mnapokuwa hamkubaliani kwa hoja. Hivyo ni lazima tuwe na hofu ya Mungu maana Karma ni kweli!

Kitendo cha Polepole kumpakazia Tundu Lissu ushoga hadharani kwa kweli hakikubaliki. Alienda Ulaya kutibiwa baada ya kuumizwa na wasiopenda ushindani wa kisiasa! Kusema hivyo ni kukosa hoja mbadala za ushindani wa kisiasa na kutapelekea matatizo zaidi.

Nakuona unaongea kwa ukali kuhusu kada wenu aliyeuawa huko Njombe, kama wewe ulivyoumia basi kila mmoja wetu linapomfika tatizo anapata kipimo hicho hicho cha maumivu. Lazima tuheshimu uhai wa kila mmoja wetu! Nchi hii siyo ya bata na kuku! Ni ya watu wenye miili sawa, na kila mmoja wetu linapomfika tatizo huumia kwa kiwango kile kile kilichokuumiza wewe! Tafadhali sana!

Mtaanza kuja na ujinga wa kudhalilisha utu wa watu kwakuwa tu mnataka madaraka. Hilo kamwe halikubaliki. Tufanye siasa za hoja zikitolewa tuhuma zijibiwe bila kudhalilishana kwa kiwango unachopanga kufanya. Hiyo ndiyo maana halisi ya siasa.

Polepole, unakoelekea siko!
Kama kweli ni shoga kwanini asisemwe? Na kama ushoga ni mbaya kwanini aufanye? Atasemwa na hata mimi nilishasema kuhusu hili nikapigwa ban. Lakini ukweli hauwezi kupigwa ban!!!
 
Hizi siasa za kuchafuana utu kwa mambo ya kipuuzi, kumshushia mwenzako hadhi ya ubinadamu wake na huku ukijua alikotokea ni jambo la kipuuzi na linapaswa kukemewa hadharani.

Hii inanifanya niamini kuwa hukumu za jana ndani ya mahakama ya Kisutu zilikusudiwa kupangwa kisiasa.

Watanzania tunajua kuwa Tundu Lissu hakupenda kwenda kuishi huko Ulaya ambapo mnasema ana uraia. Kilichompeleka huko ni gharama za siasa zetu mufilisi za kuwa tayari kuua pale mnapokuwa hamkubaliani kwa hoja. Hivyo ni lazima tuwe na hofu ya Mungu maana Karma ni kweli!

Kitendo cha Polepole kumpakazia Tundu Lissu ushoga hadharani kwa kweli hakikubaliki. Alienda Ulaya kutibiwa baada ya kuumizwa na wasiopenda ushindani wa kisiasa! Kusema hivyo ni kukosa hoja mbadala za ushindani wa kisiasa na kutapelekea matatizo zaidi.

Nakuona unaongea kwa ukali kuhusu kada wenu aliyeuawa huko Njombe, kama wewe ulivyoumia basi kila mmoja wetu linapomfika tatizo anapata kipimo hicho hicho cha maumivu. Lazima tuheshimu uhai wa kila mmoja wetu! Nchi hii siyo ya bata na kuku! Ni ya watu wenye miili sawa, na kila mmoja wetu linapomfika tatizo huumia kwa kiwango kile kile kilichokuumiza wewe! Tafadhali sana!

Mtaanza kuja na ujinga wa kudhalilisha utu wa watu kwakuwa tu mnataka madaraka. Hilo kamwe halikubaliki. Tufanye siasa za hoja zikitolewa tuhuma zijibiwe bila kudhalilishana kwa kiwango unachopanga kufanya. Hiyo ndiyo maana halisi ya siasa.

Polepole, unakoelekea siko!
Ni yeye
 
Huo muda aliokuwa anaongea upupu, bora TBC 1 wangeweka hata kipindi cha mziki wa zamani na Chacha Maginga.

Yaani siku zote hizo wamekaa ndani wakijadili hoja za kumjibu Lisu, vichwa vyote ndivyo vimemtuma aongee ujinga?

Kwa mwelekeo wa mazungumzo yake, hizo tarehe 7 za mwisho anajiandaa kumtangaza Lisu kama shoga, rejea kauli yake baada ya kusema anasubiri siku saba za mwisho.
Kama mwanaume ajibu na la wizi wa mahekari huko karagwe
 
Siku zote aliyepapaswa makalio hamsahau aliyetaka kummendea, Polepole amefunguka.
 
Ukifuatilia hotuba za Polepole siku za hivi karibuni nyingi zinalenga kuleta chuki fulani ambayo inaleta taharuki miongoni mwa wanajamii
 
Usihangaike na mtu asiye na msimamo , Polepole si size ya Lissu , huyu ni mchumia tumbo aliyeokotwa barabarani na Kikwete

Hebu mwangalie hapa
View attachment 1582529
Tukumbushane, ivi huyu alipata daraja la ngapi la ufaulu kidato cha nne na sita? Nasikia alisoma Ben Mkapa. Maana tunaweza kupoteza muda kumbe mtu mwenyewe IQ iko chini, na hekima ni zero. Bora ufeli darasani lakini uwe na hekima.
 
Back
Top Bottom