Mmeishiwa hoja za kuwashawishi wapiga kura, jibuni hoja ya cheti Cha kuzaliwa Cha mgombea wenuUSHOGA SIO KASHIFA HUKO CHADEMA HAHAHAHHAHHAHAHAA KWELI MTAVUSHWA MKAOANE
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmeishiwa hoja za kuwashawishi wapiga kura, jibuni hoja ya cheti Cha kuzaliwa Cha mgombea wenuUSHOGA SIO KASHIFA HUKO CHADEMA HAHAHAHHAHHAHAHAA KWELI MTAVUSHWA MKAOANE
Ukweli kwenu ni mambo ya hovyo wezi nyinyiThe way uanvyoongea hapa unaonekana kama binaadam wa maana sana lakini mambo ya ovyo anayoongea Lissu kamwe hatutayakubali.Na hata kama kuna mpumbavu mwingine anayemuunga mkono naye hatumkubali hata kama ni wewe au mwingine.Bora abakie na huo ushoga wake lakini kitendo cha kusema ataweka mali zetu rehani ili tupate hiyo misaada ya watu wake hatutaki.
Siwezi kuwa mfuasi wa marehemu mwenzangu....watu malofa ndio wanakuwa wafuasi wa watu.HAHAHA HAYA WAFUASI WA LISSU MNASIMAMA WAPI KUHUSIANA NA USHOGA SISI WAFUSIA WA MAGUFULI TUNAKEMEA USHOGAAAAA NA KUUKATAA WAFUASI WA LISUUUU JE
😂😂😂😂CCM hawana hoja. Wamebananishwa kwenye kona, hawana pa kukimbilia. Utawasikia, siyo mwenzetu, mabeberu, ukoloni mamboleo... Kauli za jumla jumla tu ambazo hazina msingi. Hawawezi kuongelea ukiukwaji wa haki, Tume huru, wafanyakazi kutokupandishwa mishahara, biashara kufa, lugha chafu kwa akina mama... Hawawezi. Sasa wanategeemea wizi wao kupitia Tume, basi.
Kwani wew unajua ni chama cha nani boss wanguKashindwa hata kusema Chadema, kaishia kusema chama Cha Mbowe.
Mind your business Mr. Polepole.Kwani wew unajua ni chama cha nani boss wangu
😂😂😂😂😂Mind your business Mr. Polepole.
Kama kweli ni shoga kwanini asisemwe? Na kama ushoga ni mbaya kwanini aufanye? Atasemwa na hata mimi nilishasema kuhusu hili nikapigwa ban. Lakini ukweli hauwezi kupigwa ban!!!Hizi siasa za kuchafuana utu kwa mambo ya kipuuzi, kumshushia mwenzako hadhi ya ubinadamu wake na huku ukijua alikotokea ni jambo la kipuuzi na linapaswa kukemewa hadharani.
Hii inanifanya niamini kuwa hukumu za jana ndani ya mahakama ya Kisutu zilikusudiwa kupangwa kisiasa.
Watanzania tunajua kuwa Tundu Lissu hakupenda kwenda kuishi huko Ulaya ambapo mnasema ana uraia. Kilichompeleka huko ni gharama za siasa zetu mufilisi za kuwa tayari kuua pale mnapokuwa hamkubaliani kwa hoja. Hivyo ni lazima tuwe na hofu ya Mungu maana Karma ni kweli!
Kitendo cha Polepole kumpakazia Tundu Lissu ushoga hadharani kwa kweli hakikubaliki. Alienda Ulaya kutibiwa baada ya kuumizwa na wasiopenda ushindani wa kisiasa! Kusema hivyo ni kukosa hoja mbadala za ushindani wa kisiasa na kutapelekea matatizo zaidi.
Nakuona unaongea kwa ukali kuhusu kada wenu aliyeuawa huko Njombe, kama wewe ulivyoumia basi kila mmoja wetu linapomfika tatizo anapata kipimo hicho hicho cha maumivu. Lazima tuheshimu uhai wa kila mmoja wetu! Nchi hii siyo ya bata na kuku! Ni ya watu wenye miili sawa, na kila mmoja wetu linapomfika tatizo huumia kwa kiwango kile kile kilichokuumiza wewe! Tafadhali sana!
Mtaanza kuja na ujinga wa kudhalilisha utu wa watu kwakuwa tu mnataka madaraka. Hilo kamwe halikubaliki. Tufanye siasa za hoja zikitolewa tuhuma zijibiwe bila kudhalilishana kwa kiwango unachopanga kufanya. Hiyo ndiyo maana halisi ya siasa.
Polepole, unakoelekea siko!
Sijataka hata kujua kasema niniBinafsi siwezi msikiliza Polepole hata Kwa dakika 5
Ni yeyeHizi siasa za kuchafuana utu kwa mambo ya kipuuzi, kumshushia mwenzako hadhi ya ubinadamu wake na huku ukijua alikotokea ni jambo la kipuuzi na linapaswa kukemewa hadharani.
Hii inanifanya niamini kuwa hukumu za jana ndani ya mahakama ya Kisutu zilikusudiwa kupangwa kisiasa.
Watanzania tunajua kuwa Tundu Lissu hakupenda kwenda kuishi huko Ulaya ambapo mnasema ana uraia. Kilichompeleka huko ni gharama za siasa zetu mufilisi za kuwa tayari kuua pale mnapokuwa hamkubaliani kwa hoja. Hivyo ni lazima tuwe na hofu ya Mungu maana Karma ni kweli!
Kitendo cha Polepole kumpakazia Tundu Lissu ushoga hadharani kwa kweli hakikubaliki. Alienda Ulaya kutibiwa baada ya kuumizwa na wasiopenda ushindani wa kisiasa! Kusema hivyo ni kukosa hoja mbadala za ushindani wa kisiasa na kutapelekea matatizo zaidi.
Nakuona unaongea kwa ukali kuhusu kada wenu aliyeuawa huko Njombe, kama wewe ulivyoumia basi kila mmoja wetu linapomfika tatizo anapata kipimo hicho hicho cha maumivu. Lazima tuheshimu uhai wa kila mmoja wetu! Nchi hii siyo ya bata na kuku! Ni ya watu wenye miili sawa, na kila mmoja wetu linapomfika tatizo huumia kwa kiwango kile kile kilichokuumiza wewe! Tafadhali sana!
Mtaanza kuja na ujinga wa kudhalilisha utu wa watu kwakuwa tu mnataka madaraka. Hilo kamwe halikubaliki. Tufanye siasa za hoja zikitolewa tuhuma zijibiwe bila kudhalilishana kwa kiwango unachopanga kufanya. Hiyo ndiyo maana halisi ya siasa.
Polepole, unakoelekea siko!
Kama mwanaume ajibu na la wizi wa mahekari huko karagweHuo muda aliokuwa anaongea upupu, bora TBC 1 wangeweka hata kipindi cha mziki wa zamani na Chacha Maginga.
Yaani siku zote hizo wamekaa ndani wakijadili hoja za kumjibu Lisu, vichwa vyote ndivyo vimemtuma aongee ujinga?
Kwa mwelekeo wa mazungumzo yake, hizo tarehe 7 za mwisho anajiandaa kumtangaza Lisu kama shoga, rejea kauli yake baada ya kusema anasubiri siku saba za mwisho.
One term president.Ccm wamepanick hivyo wanadhani wakitumia mbinu hiyo itawaokoa. Waliomdanganya Magufuli kuwa uchaguzi huu atapita akiwa anapungia tu, ndio hao wanampa mbinu itakayomuacha na aibu ya karne.
Tukumbushane, ivi huyu alipata daraja la ngapi la ufaulu kidato cha nne na sita? Nasikia alisoma Ben Mkapa. Maana tunaweza kupoteza muda kumbe mtu mwenyewe IQ iko chini, na hekima ni zero. Bora ufeli darasani lakini uwe na hekima.Usihangaike na mtu asiye na msimamo , Polepole si size ya Lissu , huyu ni mchumia tumbo aliyeokotwa barabarani na Kikwete
Hebu mwangalie hapa
View attachment 1582529