Ego is the Enemy
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 8,201
- 16,246
Hata ukiwaambia kuwa punguzeni hawakusikilizi kabisa mkuu.Kutakuwa na ushindani. Na kukiwa ma ushindani bei na huduma zitakuwa rafiki. Kumbuka mabasi yakiwa yanasimama stendi basi mfanya biashara yoyote ana uhuru wa kufungua huduma kwenye eneo husika. Tunarudi kule kule kwenye kanuni yetu. Supply itakuwa kubwa na demand ndogo hivyo bei na huduma zitakuwa nzuri. Sasa hivi wanapotupeleka kwenye hizo hoteli zao ndiyo wanatupiga bei wanayotaka tena kwa kuringa. Umezaliwa lini? Zamani wakati mabasi yanasimama stendi huduma zilikuwa nzuri na bei pia.
Yaani na huku namie ni machinga najuaga biashara zilivyo.
Huko stendi vijana wauza matunda watajiajiri kwa wale tunaosafiri tu nakula matunda tutanunua kwa maringo makubwa sana.
Kuna muda unaambiwa kuwa chungwa sh 300 nawaangalia nawaacha wao wanajuaga kuwa wasafiri Hela zao ni nyepesi ama zinapatikana kiulaini ,hawajui kuwa wapo wanaosafiri kwa shida wanajua wote wana uwezo