Mgeni wa Jiji
JF-Expert Member
- Jul 27, 2017
- 9,758
- 18,431
Ule uzi wa malalamiko upo wapi wajamenii tumepata sampo hapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haka katoa mada katakuwa hakajitambui! Juzi tu watu wamelia kwamba wanapigwa kwenye hizo hotel sasa sijui kanatakaje?Dah! Ila binadamu bwana tuna mambo!
Malalamiko si yamekuwa yakitolewa humu humu 'repeatedly' kwamba hoteli ambazo mabasi husimama chakula ni ghali sana, hakuna value for money na hakuna options? Kwa hiyo mabasi yatakiwe kuimama sehemu zinazowafaa wananchi wote.
Sasa malalamiko yamefanyiwa kazi, kabla hata utekelezaji haujaanza, waja tunalalamika tena? Eti kwa nini mapendekezo ya walalamikaji yamefanyiwa kazi. Duh!
Kwa hili polepole yuko sahihi sana na amekuwa very efficient. Kama kuna wa kulaumiwa kwenye hilo, basi ni waliolalamika ambao sasa wamepewa wanachotaka kisha wanalalamika tena.
Ni vyema tukawa tunajiridhisha kuwa tunataka nini au hatutaki nini kabla ya kuomba, vinginevyo kama kila ambacho mtu hupewa (hata kama kaomba) analalamika, mwishowe mfanya maamuzi huchanganyikiwa na kuamua chochote ili iwe vyovyote na chanzo cha tatizo la namna hiyo ni 'consumers'.
Mwisho wa siku kulalamika wakati mwingine nayo ni tabia, kuna mtu vyovyote itakavyokuwa tu, atalalamika na kulaumu, yaani ni sehemu ya maisha yake.
Watabaki wale wenyewe naunga mkono serikali kuboresha stendi na vyoo na huduma nyinginezo maana Zita boost uchumi wa wajasiriamali kuliko uhuni wa hzo hotel za maporini, halafu toilet nyingi za stendi huwa Safi maana unalipiaVyakula lazima wauze ghali sababu huduma za vyoo Safi, maliwato, maji ya kutosha, hivi stand zetu zinaweza kuhudumia bus 10 KWA wakati mmoja?? KWA vyoo na huduma nyingine??? Inahitajika miundombinu na mikakati ya muda kuweza hii, lakini wakianza ghafla tu, magonjwa milipuko yatakuwa Mengi Sana. Watu wabebe vyakula kutoka majumbani kwao. Tena huko mastand KILA mtu alienda kula kivyake wataachwa naa bus KWA kuchelewa. TBS WAENDE wahakikishe ubora wa vyakula vya hayo mahoteli, na wahimizwe vyakula viwe visafi na vitamu
Inawezekana ni wewe ni mpishi kwenye hizo hotel za njian mfano dar Mbeya ile ya waarabu nyama mbichi kabisa bora tule stand tuKuna hoja ameiwasilisha Polepole kwenye television (chanel 10) kipindi cha papo kwa papo nakuungwa mkono na Mhe Waziri kwamba mabasi badala ya kwenda kwenye hoteli zenye hadhi na chakula salama wawapo safarini Basi mabasi hayo yasimame kwa muda mrefu stand watu wale chakula nakupata huduma nyingine.
Haya maamuzi ni maamuzi yanayosukumwa na watendaji ambao wanatumia mashangingi ya serikali na chama na ambao hawapandi bus kwenda popote. Leo hii vituo vya mabasi vinafahamika, havikujengwa kwa lengo lakutoa huduma ya chakula kwa abiria bali vimejengwa kama points zakusubirua abiria wapande na kushuka. Vituo hivi vina matundu machache sana yakujisaidia na huduma hii inagharamiwa huku kukiwa hakuna usafi Wala maji yakutosha.
Standard yavituo vyetu haikidhi viwango vyakuhudumia abiria labda tuingie kwenye uwekezaji mpya wa kuvikarabati
Turudi kwenye gharama ya chakula, gharama ya chakula inategemea na eneo unapopata huduma. Inashangaza Leo hii uniambia gharama ya Serena hoteli ilingane na gharama ya mama ntilie kisa wananchi wamelalamika.
Kama tutataka kuweka usawa tufike pointi tujadiliane na watoa huduma, wale wamiomiliki wanaopenda wakae stand muda mrefu wajitangaze ili abiria wajue bus ili linasimama stand kwa ajili ya chakula na bus ili linasimama hotel binafsi kwa ajili ya chakula....abiria wachague watapanda gari gani lakini si kulazimisha watu wote waishi, wasafiri na kula kwa maelekezo ya Waziri.
Polepole umechemka acha siasa kwenye huduma, pokea kero wakabidhi vijana wa chama wazifanyie utafiti the waishauri serikali njia inayofaa siyo kumlazimisha Waziri atoe msimamo wa kisera kwenye media.....w
Mbona unatupangia kama Hela unatusaidia kuitafuta ndugu. Ina mana tukiwa safarini ndo unatujali sana. Mbona abiria anaweza akapata shida kidogo ila hamsisikilizi.Kuna hoja ameiwasilisha Polepole kwenye television (chanel 10) kipindi cha papo kwa papo nakuungwa mkono na Mhe Waziri kwamba mabasi badala ya kwenda kwenye hoteli zenye hadhi na chakula salama wawapo safarini Basi mabasi hayo yasimame kwa muda mrefu stand watu wale chakula nakupata huduma nyingine.
Haya maamuzi ni maamuzi yanayosukumwa na watendaji ambao wanatumia mashangingi ya serikali na chama na ambao hawapandi bus kwenda popote. Leo hii vituo vya mabasi vinafahamika, havikujengwa kwa lengo lakutoa huduma ya chakula kwa abiria bali vimejengwa kama points zakusubirua abiria wapande na kushuka. Vituo hivi vina matundu machache sana yakujisaidia na huduma hii inagharamiwa huku kukiwa hakuna usafi Wala maji yakutosha.
Standard yavituo vyetu haikidhi viwango vyakuhudumia abiria labda tuingie kwenye uwekezaji mpya wa kuvikarabati
Turudi kwenye gharama ya chakula, gharama ya chakula inategemea na eneo unapopata huduma. Inashangaza Leo hii uniambia gharama ya Serena hoteli ilingane na gharama ya mama ntilie kisa wananchi wamelalamika.
Kama tutataka kuweka usawa tufike pointi tujadiliane na watoa huduma, wale wamiomiliki wanaopenda wakae stand muda mrefu wajitangaze ili abiria wajue bus ili linasimama stand kwa ajili ya chakula na bus ili linasimama hotel binafsi kwa ajili ya chakula....abiria wachague watapanda gari gani lakini si kulazimisha watu wote waishi, wasafiri na kula kwa maelekezo ya Waziri.
Polepole umechemka acha siasa kwenye huduma, pokea kero wakabidhi vijana wa chama wazifanyie utafiti the waishauri serikali njia inayofaa siyo kumlazimisha Waziri atoe msimamo wa kisera kwenye media.....w
Serekali ikiamua hakuna cha KLM ndege Wala KLM bus za mchaga.Hizi ni ndoto za alinacha..mabasi kama KLM yaende kusimama kwenye vistendi vya ovyo ovyo..? Kila basi Liwe na hotel yake kama KLM anavyofanya
Acha mawazo mgando ya kikabila basiiSerekali ikiamua hakuna cha KLM ndege Wala KLM bus za mchaga.
Sio ukabila nyie wachaga mnajionaga mko juu sana, Magu kazia hapohapoAcha mawazo mgando ya kikabila basii
Miaka 5 sio mingi. Yataisha na hayo. Wewe sasa...Sio ukabila nyie wachaga mnajionaga mko juu sana, Magu kazia hapohapo
Vyakula vinavyouzwa kwenye hizo hotel ni Gharama kubwa halafu haviendani na ubora wa bei ya chakula wanachouza there is no quality and quantity of the food. Soda ya elfu 1000 watakuuzia hata 3000 . Chips za 2000 watakuuzia elfu 7000 . Bei zipo juu mno kiasi kwamba hakuna uhakikaKuna hoja ameiwasilisha Polepole kwenye television (chanel 10) kipindi cha papo kwa papo nakuungwa mkono na Mhe Waziri kwamba mabasi badala ya kwenda kwenye hoteli zenye hadhi na chakula salama wawapo safarini Basi mabasi hayo yasimame kwa muda mrefu stand watu wale chakula nakupata huduma nyingine.
Haya maamuzi ni maamuzi yanayosukumwa na watendaji ambao wanatumia mashangingi ya serikali na chama na ambao hawapandi bus kwenda popote. Leo hii vituo vya mabasi vinafahamika, havikujengwa kwa lengo lakutoa huduma ya chakula kwa abiria bali vimejengwa kama points zakusubirua abiria wapande na kushuka. Vituo hivi vina matundu machache sana yakujisaidia na huduma hii inagharamiwa huku kukiwa hakuna usafi Wala maji yakutosha.
Standard yavituo vyetu haikidhi viwango vyakuhudumia abiria labda tuingie kwenye uwekezaji mpya wa kuvikarabati
Turudi kwenye gharama ya chakula, gharama ya chakula inategemea na eneo unapopata huduma. Inashangaza Leo hii uniambia gharama ya Serena hoteli ilingane na gharama ya mama ntilie kisa wananchi wamelalamika.
Kama tutataka kuweka usawa tufike pointi tujadiliane na watoa huduma, wale wamiomiliki wanaopenda wakae stand muda mrefu wajitangaze ili abiria wajue bus ili linasimama stand kwa ajili ya chakula na bus ili linasimama hotel binafsi kwa ajili ya chakula....abiria wachague watapanda gari gani lakini si kulazimisha watu wote waishi, wasafiri na kula kwa maelekezo ya Waziri.
Polepole umechemka acha siasa kwenye huduma, pokea kero wakabidhi vijana wa chama wazifanyie utafiti the waishauri serikali njia inayofaa siyo kumlazimisha Waziri atoe msimamo wa kisera kwenye media.....w
Wewe sio msafiri, ile pale Manyoni imekufa,zile pale jirani na Mombo zipo hoi, kwenda Iringa ndio wanatia huruma.
Inawezekana wewe hufanya safari kwa ajili ya kula njiani, sisi wengine hufanya safari kwa ajili ya kufika tuendako, hata hivyo wapo abiria wengine hawapendi kula kwenye hizo hoteli za njiani. Unapounga mkono eti mabasi yasimame kwa muda mrefu ili kila mtu akatafute chakula anachokitaka! Hiyo safari ni ya lengo la kula tu njiani na si kufika kwa wakati waendako. Inaonekana wewe haujawahi kuziona hoteli husika, baadhi yake zimejengwa na wenye mabasi jambo ambalo ni jema kwani zimezingatia usafi wa huduma za vyoo ambazo hutolewa bure na sehemu za chakula. Wanaofanya usafi wa vyoo hulipwa kutokana na mauzo ya chakula, sasa unataka bei ya chakula ipunguzwe na vyoo viwe vya kulipia? Ujue si abiria wote wanaotumia vyoo wanakula kwenye hoteli hizo, wapo wasiopenda kula njiani. Hoteli hizo hupata wateja kati ya saa sita na tisa mchana muda ambao mabasi ya toka pande mbili hukutana, na baada ya hapo biashara hukata mpaka kesho tena. Wafanyakazi wa hoteli hizo ni wakudumu hivyo muda abiria hawapo wao mshahara wao unaingia!Dah! Ila binadamu bwana tuna mambo!