Ndugu wa Hamza, mhalifu aliyeua Askari Selander bridge watiwa mbaroni na polisi

Kama ni kweli huu ni upumbavu wa KUKURUPUKA. Ndugu kuwa mhalifu haina maana ndugu zake wote ni wahalifu labda kama kuna ushahidi wa uhalifu wa ndugu zake. Wakamate na maccm yote basi yaliyokuwa karibu na huyo muuaji. View attachment 1908450
Hawajakurupuka wala hakuna mahala polisi wamesema ndugu wa Hamza ni waharifu. Kuwa chini ya ulinzi au kukamatwa haimaanishi mtu anatuhumiwa.

Nakupa kisa. Nchini Russia mwaka 2014 wasichana wawili wenye asili ya Chechen walitengeneza bomu la kienyeji na kumpa kaka yao aliyejilipua kwenye airport ya Domodedovo (2nd largest in Russia) na kuua watu 32. Hawa wawili walishashtukiwa ila kaka akaachwa. Hata taarifa za FBI na mashirika mengine ya uchunguzi zinaonesha ⅓ ya magaidi wana uhusiano wa kifamilia.

Watatoa taarifa muhimu kama sababu ya kushika silaha, mwenendo wake, hali yake kiakili na mengine. Na pia yawezekana wamekamatwa ili kupewa ulinzi, what if kuna watu wanapanga retaliation kwao
 
Ndugu wa kijana Hamza aliyeuwa polisi watatu na yeye kuuawa pale daraja la salenda wametiwa mbaroni na polisi usiku huu

Ndugu wote wamekamatwa na nyumba yao imefungwa na iko chini ya ulinzi

Source: Ayo tv
Intelijensia ya Tanzania..
 
Kuna siku nimeona jamaa analia kakamatwa kwenye fuso,kapakia mbao zake na vibali vyote anavyo lakini bado askari wakamtoa pesa ndefu.
Ramadhan Ntunzwe wa Kariakoo alifilisiwa mtaji wake kwa kukataa kutoa rushwa kwa polisi na tra,wakamzima.
Nasubiri nisikie kuhusu huyu msomali shida ni nini hasa.
 
Sasa hawa wanafamilia wanahusikaje??

siku hizi unaweza ishi na ndugu lakini hujui kabisa anafanya kazi ipi

Je ikija kutokea ndugu wa waziri kafanya hivi, waziri atakamatwa??

Yule kijana alietishia bastola dereva kwanini hawakukamata ndugu zake
Ukita

Jipitishe mtaa wa Faya mara tatu, utajuwa kosa lao nini!
 
Kuna siku nimeona jamaa analia kakamatwa kwenye fuso,kapakia mbao zake na vibali vyote anavyo lakini bado askari wakamtoa pesa ndefu.
Ramadhan Ntunzwe wa Kariakoo alifilisiwa mtaji wake kwa kukataa kutoa rushwa kwa polisi na tra,wakamzima.
Nasubiri nisikie kuhusu huyu msomali shida ni nini hasa.
Ni Gaidi kama wewe
 
ni vema polisi wangelinda eneo lao kuliko kuwasweka rumande , wana kosa gani ?
Hili tukio kubwa, ndugu hawana kosa lakini hiyo nyumba inaweza ikawa ni crime scene. Sasa ukiacha watu humo, wanaweza wanatemper na ushahidi.

Swali wanapelekwa wapi? Wakati mwingine watataka wawahoji kila mmoja peke yake, ili wasiweze "kupanga" cha kuongea.

In short watapata tabu, kiasi gani itategemea na wanachokipata. Maisha sio fair. Inawezekana ndugu zake hawajui chochote, ila wanakuwa guilty by association
 
AISEEEE WAWAMINYEETU HATUJAFIKIAHUKOTZ
 
Hawajakurupuka wala hakuna mahala polisi wamesema ndugu wa Hamza ni waharifu. Kuwa chini ya ulinzi au kukamatwa haimaanishi mtu anatuhumiwa.

Nakupa kisa. Nchini Russia mwaka 2014 wasichana wawili wenye asili ya Chechen walitengeneza bomu la kienyeji na kumpa kaka yao aliyejilipua kwenye airport ya Domodedovo (2nd largest in Russia) na kuua watu 32. Hawa wawili walishashtukiwa ila kaka akaachwa. Hata taarifa za FBI na mashirika mengine ya uchunguzi zinaonesha ⅓ ya magaidi wana uhusiano wa kifamilia.

Watatoa taarifa muhimu kama sababu ya kushika silaha, mwenendo wake, hali yake kiakili na mengine. Na pia yawezekana wamekamatwa ili kupewa ulinzi, what if kuna watu wanapanga retaliation kwao

Tambua kwamba kukamatwa na Polisi Tanzania ni tofauti na kukamatwa na Polisi Urusi au Marekani. Wenzetu angalau wanaheshimu haki za binadamu.
 
Back
Top Bottom