Huyu jamaa taarifa zake zinahutajika, maana anaonekana ni mzoefu wa silaha, unajuaje alipojifunzia CHARITY BEGINS AT HOME, unahakika gani ndugu zake hawajui kufanya vile alivyofanya yeye??
Yaani kwa aliyoyafanya pale kuna maswali mengi sana yanahitaji majibu, sasa ikiwa ndugu wataachwa ni nani atayajibu maswali hayo?
Hawa ndugu zake wakiachwa nyumbani pale, wanaweza vuruga ushahidi maana wanaweza kupanga nini wakazungumze, hawa hata wakifika polisi inabidi watenganishwe wasije wakaeleza mambo ya kutunga. Lakini pia yawezekana wamekagua wakakuta kuna vitu vyenye kuleta maswali zaidi kwahiyo wanatakiwa hata wao watolee maelezo yao.
TUWENI MAKINI, HAKUNA ANAYEPENDA KUONEA WATU BILA SABABU TENA NI PUBLIC HIVYO.