Ndugu wa Hamza, mhalifu aliyeua Askari Selander bridge watiwa mbaroni na polisi

Ndugu wa Hamza, mhalifu aliyeua Askari Selander bridge watiwa mbaroni na polisi

Hakika, waza mbali zaidi ya hapo maana, pengine hao askari ni wa Mtwara au Manyara sio Dar.

Waza kama huyo jamaa alikua anahusika na mtandao wowote wa kigaidi, huoni huo mtandao wake (WAKIGAIDI) unaweza amua kuuwa hao wanafamilia ili kupoteza ushahidi wa tukio hilo??
Wadau wanasema jamaa si Gaidi ila kuna dhulma kafanyiwa. Sema sina uhakika, lakini polisi wamefanya jambo la maana kuwachukua wanafamilia ili kukusanya dots
 
Hizo ni taratibu za kiusalama, hebu tuache ujuaji mavi basi.

We mtu anajua kutumia siraha ya kivita na amefanya tukio kama hilo unategemea watu wake wa karibu waachwe tu jambo liishe tu kinyemela?

Baadhi ya watu wake wa karibu wataminywa na hatimae ukweli unaweza kupatikana.
 
Wadau wanasema jamaa si Gaidi ila kunadhuruma kafanyiwa. Sema sina uhakika, lakini polisi wamefanya jambo la maana kuwachukua wanafamilia ili kukusanya dots
Hakika, wamefanya la maana ila ukubali usikunali mpaka sasa inahitaji muda kuthibitisha nini ni nini maana yasemwayo ni mengi.
 
Hakika, wamefanya la maana ila ukubali usikunali mpaka sasa inahitaji muda kuthibitisha nini ni nini maana yasemwayo ni mengi.
Kwani familia ndiyo walimtuma kwenda kufanya shambulio? alikwenda nao sehemu ya shambulio?
 
Hizo kesi 147 zilizofutwa na wa KUDEMKA kama siyo KUKURUPUKA kwa polisiccm ili kubambikia watanzania kesi FEKI ni kitu gani hicho! Unadhani yule dhalimu mwendazake asingeondoka zile kesi FEKI ZINGEFUTWA!? Tumia akili yako japo kiduchu tu. Hawa polisiccm wameumiza Watanzania wengi sana kwa KUKURUPUKA kwao.
Hawajakurupuka wala hakuna mahala polisi wamesema ndugu wa Hamza ni waharifu. Kuwa chini ya ulinzi au kukamatwa haimaanishi mtu anatuhumiwa.

Nakupa kisa. Nchini Russia mwaka 2014 wasichana wawili wenye asili ya Chechen walitengeneza bomu la kienyeji na kumpa kaka yao aliyejilipua kwenye airport ya Domodedovo (2nd largest in Russia) na kuua watu 32. Hawa wawili walishashtukiwa ila kaka akaachwa. Hata taarifa za FBI na mashirika mengine ya uchunguzi zinaonesha ⅓ ya magaidi wana uhusiano wa kifamilia.

Watatoa taarifa muhimu kama sababu ya kushika silaha, mwenendo wake, hali yake kiakili na mengine. Na pia yawezekana wamekamatwa ili kupewa ulinzi, what if kuna watu wanapanga retaliation kwao
 
Ivi jamaa walishamzima kabisa ama. Kummk hii nchi nikiwa na bi zangu kadhaa naiacha. Shida Sana kuishi na masikini yaani basi tu. I hate it too much
Jamaa walimpiga kimya itakuwa, manake pamoja na Rais na PM kutoa maagizo lakini TRA walikaza.
 
Sasa hawa ndugu zake wanahusikaje??

siku hizi unaweza ishi na ndugu lakini hujui kabisa analopanga!!

Je ikija kutokea ndugu wa waziri kafanya hivi, waziri atakamatwa ??
Hizi ni taratibu za kawaida za kiusalama, uchunguzi na kisheria. Wataachiwa baada ya mamlaka kujiridhisha kuwa mwendazake alikuwa peke yake na kujua chanzo cha uhayawani kama huu ili kuweza kuzuia inapotokea hali kama hii. Kama hawajatenda kosa lolote wala wasiwe na wasi wasi.
 
Hawajakurupuka wala hakuna mahala polisi wamesema ndugu wa Hamza ni waharifu. Kuwa chini ya ulinzi au kukamatwa haimaanishi mtu anatuhumiwa.

Nakupa kisa. Nchini Russia mwaka 2014 wasichana wawili wenye asili ya Chechen walitengeneza bomu la kienyeji na kumpa kaka yao aliyejilipua kwenye airport ya Domodedovo (2nd largest in Russia) na kuua watu 32. Hawa wawili walishashtukiwa ila kaka akaachwa. Hata taarifa za FBI na mashirika mengine ya uchunguzi zinaonesha ⅓ ya magaidi wana uhusiano wa kifamilia.

Watatoa taarifa muhimu kama sababu ya kushika silaha, mwenendo wake, hali yake kiakili na mengine. Na pia yawezekana wamekamatwa ili kupewa ulinzi, what if kuna watu wanapanga retaliation kwao
 
Izo ni taratibu za kiusalama ebu tuache ujuaji mavi basi,

We mtu anajua kutumia siraha ya kivita na amefanya tukio kama hilo unategemea watu wake wa karibu waachwe tu jambo liishe tu kinyemela?

Baadhi ya watu wake wa karibu wataminywa na hatimae ukweli unaweza kupatikana.
Ujuaji mavi ni kusahau kuwa watu walipitia JKT au Magambo na huko hawakwenda na familie zao, kwenda kuwaminya watu ambao hawakumtuma kwenda kufanya shambulio ni upelelezi wa uonevu ni unyanyasaji mkubwa kumpiga mtu aseme ukweli wakati hana ukweli wowote ni utesaji wa kishetani matokeo yake wengine huamua kuwataja watu wasiohusika ili kuepuka kipigo, acheni kufanya uchunguzi kwa njia haramu za kishetani
 
Mbinu za upelelezi zafaa zifanyiwe marekebisho mkubwa
 
Back
Top Bottom