Ndugu wa Hamza, mhalifu aliyeua Askari Selander bridge watiwa mbaroni na polisi

Ndugu wa Hamza, mhalifu aliyeua Askari Selander bridge watiwa mbaroni na polisi

Kuhojiwa ni muhimu, acha wakasaidie kazi ya police
 
Sasa hawa wanafamilia wanahusikaje??

siku hizi unaweza ishi na ndugu lakini hujui kabisa anafanya kazi ipi

Je ikija kutokea ndugu wa waziri kafanya hivi, waziri atakamatwa??

Yule kijana alietishia bastola dereva kwanini hawakukamata ndugu zake
Kwao ni fursa ya kutengeneza mazingira ya Rushwa na uchunguzi wao hujaa walakini ndiyo maana hata Rais Samia kawambia waache kukamata watu pasipo uchunguzi kukamilika
 
fake picture na aliyetuma anafuatiliwa
Leo mpka umeze ulimi,sema ccm mmejaa magaidi na majambazi
tapatalk_1629915890592.jpeg
 
Gaidi jingine hili hapa. Polisi njooni kamata gaidi lipo huku JF.
Wewe ndiyo gaidi la kuwabambikia wengine kesi waanze kukukamata wewe kwa kuhimiza ugaidi wa kuwabambikia wengine kesi kwa njia haramu za kishetani
 
Kama hujui uliza.
Sasa kama mtu amefahamika watapata wapi dots za kumjua mhusika lengo lake?
Ila wabongo Tuache Unafiki.
 
Tusilaumu kabla ya kupata hitimisho au undani wa jambo hili
 
Kama hujui uliza.
Sasa kama mtu amefahamika watapata wapi dots za kumjua mhusika lengo lake?
Ila wabongo Tuache Unafiki.
Uchunguzi wao hujaa mapungufu mengi na mojawapo ya mapungufu ni kwenda kukamata familia badala ya kuwahoji tu ingetosha kupata taarifa zote
 
Wasombwe tu, usalama wa Tanzania ni muhimu, pia kwa usalama wao, yani ndugu yako kaua mzazi, ndugu, mfanyakazi, wa mwenzio hujui wanaweza kukufanyia nini
 
Ugaidi ni kuwaonea watu wasio na hatia kwenda kukusanya watu kuwasunda ndani ni uonevu unyanyasaji mkubwa, Hamza hakwenda na mtu alikwenda mwenyewe hapo na endapo kazi ingefanywa na FBI wasingewakata watu ambao hawahusiki
 
Uchunguzi wao hujaa mapungufu mengi na mojawapo ya mapungufu ni kwenda kukamata familia badala ya kuwahoji tu ingetosha kupata taarifa zote
Mkuu Tatizo hujui ukiwaacha usalama wao itakuwaje?
Fahamu jamaa ameuwa je walio poteza ndugu zao wakija kulipa kisasi kwa familia.
Kaa chini kunywa maji harafu fkria.
 
Back
Top Bottom