Nakadori
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 8,778
- 21,010
Ndugu wa msanii wa vichekesho Eric Kisauti ambaye alifariki siku kadhaa zilizopita wametoa tuhuma nzito wakiwatuhumu waliosimamia msiba wa ndugu yao kupora kiasi cha shilingi milioni 60.
Tuhuma hizi zilijibiwa na wasanii waliopata nafasi ya kwenda kuzika kwa kuweka wazi kwamba bajeti ya safari nzima ilikuwa imebana sana kwani michango haikupatikana kabisa hadi kupelekea wao kukosa usafiri hadi pale Lamata Leah na Steve Nyerere walipookoa jahazi kwa kutoa gari.
Maoni yangu: ndugu walipaswa kuwashukuru watu waliopigana kuhakikisha mwili wa ndugu yao unasafirishwa hadi kwao maana wasingejitoa angezikwa na Manispaa.