Ndugu wa marehemu Erick Kisauti wawatuhumu bongo movies kufuja milioni 60 za rambirambi

Ndugu wa marehemu Erick Kisauti wawatuhumu bongo movies kufuja milioni 60 za rambirambi

Wasanii na fursa zao lol, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Waliunga unga wakasafirisha kupeleka kwao Mbeya hukoo!hawana shukrani nadhani walidhani ndugu yao Ana jina kuubwa kumbe Hana lolote!

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Hahaha kuna pasta mmoja tulimsafirisha kwenda tanga kuzikwa...tulipofika wakawa wanalia eti mengi wao amefarikiiiii wakati sie Town tulimuona wa kawaida tuu
 
Back
Top Bottom