Ndugu wa marehemu Erick Kisauti wawatuhumu bongo movies kufuja milioni 60 za rambirambi

HIYO 60M WATOE WASANII? TENA WA BONGO MOVIES??? HAWA NDUGU WANATANGAZA NJAA MAPEMA SANA
 
Wasanii na USANII wao, hawaaminiki lakini sidhani kama ERICK alikuwa na jumuia ya kumchangia hiyo milioni 60 ukizingatia muda mrefu hana kazi za kubamba kama kipindi kile

Kama zimechangwa na kuliwa ndio hapo msemo wa kufa kufaana unapochukua nafasi
 
Aliwaaminisha ndugu zake kwamba yeye ni msanii mkubwa sana
 
Ila wasanii waache show off za kijinga wakati nyuma ya camera wanadaiwa kila kona mpaka nguo wanakopa.
 
Wasanii na USANII wao, hawaaminiki lakini sidhani kama ERICK alikuwa na jumuia ya kumchangia hiyo milioni 60 ukizingatia muda mrefu hana kazi za kubamba kama kipindi kile

Kama zimechangwa na kuliwa ndio hapo msemo wa kufa kufaana unapochukua nafasi
Hio ndio inaitwa 'Mbwa kala Mbwa"
Ndugu walijipanga kunuifaika na kifo chake wakati waliopanga mpango mzima walikuwa na mipango yao...
 
''naenda kama Steve ukinikuta msibani, daftari likiniona linapata amani..." - Maalim Nash Emcee.

-Kaveli-
 
Ndugu wa msanii wa vichekesho Eric Kisauti ambaye alifariki siku kadhaa zilizopita wametoa tuhuma nzito wakiwatuhumu waliosimamia msiba wa ndugu yao kupora kiasi cha shilingi milioni 60.

Tuhuma hizi zilijibiwa na wasanii waliopata nafasi ya kwenda kuzika kwa kuweka wazi kwamba bajeti ya safari nzima ilikuwa imebana sana kwani michango haikupatikana kabisa hadi kupelekea wao kukosa usafiri hadi pale Lamata Leah na Steve Nyerere walipookoa jahazi kwa kutoa gari.

Maoni yangu: ndugu walipaswa kuwashukuru watu waliopigana kuhakikisha mwili wa ndugu yao unasafirishwa hadi kwao maana wasingejitoa angezikwa na Manispaa.
View attachment 2329844
Yaani Lamata na Steve walikosea Sana, wangeacha hao ndugu wasafirishe tuone Sasa Kama wangeweza na bado wangelaumu bongo Movie hawana uahirikiano
Nshaona Kinyambe alivokufa wakichangisha watu pale Uyole Mbeya ili wamsafirishe kwao
 
Kwa kinyampe ilikuwaje??
 
Back
Top Bottom